masandare
JF-Expert Member
- Mar 9, 2014
- 671
- 584
Duuuh wewe wa kike au kiume?Me in G wachumba zangu ni G,P,C,C,J,S,D,D sijui apo nani ntafika nae ndoani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh wewe wa kike au kiume?Me in G wachumba zangu ni G,P,C,C,J,S,D,D sijui apo nani ntafika nae ndoani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie hata Kimara tu hamfiki, jitathminini!Hii Kali mfano me Allan mwenzangu Naomi kiutabili inaikuaje
Hahaha naona una kibasi cha masela! Hapo kila mmoja akila mzinga maisha yanasonga au sio?Me in G wachumba zangu ni G,P,C,C,J,S,D,D sijui apo nani ntafika nae ndoani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo lazma patawaka tu! Jiandaeni ha ha!!!Du sasa sister angu Josephine na mumewe Joseph ndo itakuwaje,
Elimu hiyo ni kweli ipo..
Hasa watumiaji wa hiyo ni watu wa Asia... hasa wahindi...wanatumia sana..na hata biashara ...
Labda ndio maana inasadikika wanaendelea sana...wanafanikiwa sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza kupenda but katika mfumo wa kutamani unakuja kujikuta unamuacha na kumcheze mwanamke mzuri sana then unakuja kuoa sura ya mbuziHizi story ni za kufikirika mzee, Labda nikuulize ina maana huwezi kupata hisia za kumpenda mtu mpaka muwe na uwiano wa majina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mfano herufi P na S hebu nipo mchanganuo nione unavyopiga hesabu zakoHabarini wana jf,
Kumekuwa na matatizo mengi sana katika mahusiano yetu ya kila siku,hasa ya kamapenzi na hata kijamii(na wenzetu).Mahusiano hayakai,watu kila siku wanasalitiana,na hata wengine kuchukiana bila sababu.Wengi wamekuwa na majibu yanayofanana huku wengine wakifika mbali kwa kusema kuwa huwezi pendwa au kumpenda mtu pasipo matumizi ya fedha.Lakini ki uhalisia fedha inanafasi ndogo sana tena ndogo mno katika mapenzi,
sababu ya mapenzi kudumu au kupendana baina ya fulani na fulani ni uwiano wa majina,
najua utastuka lakini huo ndo ukweli halisi,majina yanachukua nafasi kubwa sana katika kudumisha na hata furaha katika mapenzi iwe kwa wapenzi wetu na hata wengine wanao tuzunguka na hata pia wale tunaotaka kufanya nao biashara,endapo hakutakuwa na uwiano sahihi wa majina yenu basi uhusiano wenu kamwe hautadumu na hata ukidumu hautakuwa na furaha hivyo hivyo hata katika biashara yenu pia,endapo utafanya biashara na mtu ambae hamna uwiano katika majina yenu ni ngumu sana kufanikiwa na hata mkifanikiwa biashara yenu itaandamwa sana na matatizo mpka pale mtapofilisika.
UTAJUAJE UWIANO WA MAJINA YENU,
Elimu hii ya uwiano wa majina ilikuwa ikitumika sana na wazee wetu na ndio elimu hii hii inayotumika kuwaliza watu kwa kuwatoza gharama kubwa ili wasaidiwe
endapo unataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi,kirafiki na hata kibiashara na mtu,ki uwiano unatakiwa muwe mmezidiana herufi saba au zaidi mfano jerry na rachel wanaweza kuwa wapenzi na kudumu na hata kibiashara lakini jerry na mary hawawezi kuwa wapenzi wala kushirikiana katika biashara na hata wakiwa wapenzi hawawezi kudumu wala kuwa na mahusiano ya furaha.
kanuni hii pia unaweza kuitumia au hata kuithibitisha endapo unataka kupima mapenzi ya watu wawili au kutaka kujua nani anakupenda zaidi kwa kuangalia herufi za mwanzo za majina yao,yule ambae herufi yake ya kwanza ya jina lake na lako zimezidiana(zimepishana herufi saba au zaidi) na herufi yko ya kwanza jua huyo ndo mwenye mapenzi na wewe zaidi kushinda mwengine na hivyo hivyo kwenye kutafuta mpenzi
Ndio maana NDOA ya ASP na TANU imedumu!!!.
Dah mkuu sidhani kama ulifika form 6 kama akili yako ni nzito kiasi hicho. Hapana shaka hisabati lilikuwa somo gumu sana kwako! Mbona vitu vipo clear sana.Hakika ungekua mwalimu wanafunzi wako wote wangetoka kapa. Nimerudia bandkiko lakini wapi nimeona ni upuuzi, ili nifute kauli weka njia ya kueleweka.
Kweli super Dupa. Sio kwa kibasi hicho aisee, masela 8 wamechanganywa katika K moja af kila mmoja anajihisi yupo pekeyake!
Waafrica wazee wakutegemea miracles ndo maana mnabaki kua maskin hakuna kitu kama hki haya ni mambo yakufkrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mimi Z mpenz wangu H hapo jeyeah ni elimu tu ambayo nmeamua leo kushare nanyi ili muache kuumizwa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Nyie hata Kimara tu hamfiki, jitathminini!
Adela na fransiscohapo mapenzi yapo japo fransisco amekufa na kuoza kwa theresia