King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,057
blaza K-lynn na Mengi wamepshana herufi moja tu (L) ila wapo pamoja mpaka leo na mapacha wamezaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
blaza K-lynn na Mengi wamepshana herufi moja tu (L) ila wapo pamoja mpaka leo na mapacha wamezaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapemba wao wanatumia nyota,ukitaka kuposa binti yao huwa wanachungulia kwenye majina yenu yani jina lako na la binti yao,wakiona hayaendani lazima binti yao abadilishwe jina ili mmatch hata katika maisha yenu ya ndoa.
Hii habari ya uhakika siyo ya kusimuliwa,imewahi kumtokea jamaa yetu alienda kuoa Pemba,siku ya harusi msikitini wazee wakamuita jamaa wakamwambia binti yao wanataka aolewe kwa jina lingine ambalo wamelichagua wazee wa kipemba,jamaa alipewa sababu lakini hakuewaelewa..
Basi wazee wakaruhusu acha aolewe kwa jina lake la zamani,ilipita ndoa wakabahatika kupata watoto wawili.
Lakini maisha ya ndoa ilikuwa balaa ndani ya nyumba mpaka jamaa aliamua kubwaga manyanga chini aiseeee.
Kazi kweli kweli hii Kama sijakosea Ni elimu ya nyota
hujaelewa wap mkuu usaidiwe?Kama hujaelewa kama mimi gonga like.
yeah japo unaweza kuona umri kama changamoto but mapenzi yao ni ya dhati kulingana na mchanganuo wa majina yaoJackline na Reginald kwa mujibu wa ulonzi ni J na R ndio zinatumika kwahiyo J kazama kaoza kwa R na watadumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mahusiano yenu yatadumu na kuwa na mapenzi ya dhati.
Mwalimu nilita kujua vp kwa Ambo majina yao haya uwiano likn wanaishiJanet na John hawawezi iva chungu kimoja!!! Tena huu ndo mfano haswa ! Huyu mtoa mada inawezekana kabisa akawa sahihi!! Au mimi J na Y tunaivana kinoma ila J na L kilasiku timbwili tu. Hii elimu niliwahi kumsikia marehemu Sheikh Yahaya akiongea kupitia channel Ten.
Hapo mkuu mwenyewe unajuaje mwenye mapenzi Sana Kwa mwenzakehapo mtadumu na kuna mapenzi ya kweli japo wewe unampenda zaidi naomi
ni just hesabu tu za namba za majina ambazo wengi huwa wanasahau au hawajuiHapo mkuu mwenyewe unajuaje mwenye mapenzi Sana Kwa mwenzake