Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,394
- 88,828
Mdoa mada mbona unachagua maswali ya kujibu!?wewe ni 0 IQ!?
Sent by Diaspora
Mi nimeishia latatu nikajichanganya mtaani, hivyo nahitaji ufafanuzi wa kina uambatane na mifano ya kutosha bila kusahau mjeledi. Kwakua Mimi ni mswahili/mwafrika.Dah mkuu sidhani kama ulifika form 6 kama akili yako ni nzito kiasi hicho. Hapana shaka hisabati lilikuwa somo gumu sana kwako! Mbona vitu vipo clear sana.
Msekwa na Halfan kama jibu baya usinambie 😀😀swali lipi halikujibuwa ndugu
Jah bless....Hapo wewe ni mguu kwa mguu na S hadi kwenye kiapo Aisee.
Live broHahaha naona una kibasi cha masela! Hapo kila mmoja akila mzinga maisha yanasonga au sio?
Duuu kwa hiyo kila mwenye herufi ya mwanzoni kuliko mwenzake, yeye ndio anakua amependa zaidi?hapo mapenzi yapo japo fransisco amekufa na kuoza kwa theresia
Nipangishe MimiSijajua maana mimi na shemeji yako herufi zinafanana lol ngoja nitafute mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
