Fahamu athari ya jina lako katika mapenzi

Fahamu athari ya jina lako katika mapenzi

maelezo yako butu! ongea kwa mfano, Wema vs Abduli , au Hamis Vs Fatima, PIA UNATAKIWA UELEZE JE Majina yenye kiswahili na kiingereza yanatambuliwaje kwenye formula yako mfano, Fatima>Fetty , Khamisi etc

yaani hata mada yenye nimekuja kuelewa baada ww kuandika hivi kidogo nimeelewa
 
unaweza kunitajia majina mawili iwe unawafahamu au unawajua then kupitia majina yao ntakufafanulia nani mwenye mapenzi kwa mwenzake hope utaelewa zaidi
Khadija na Juma,, au Amina na said
 
Fact yangu ni kwamba ulioongea hapo huo ni upuuzi na nia ya kuwaibia watu wenye matatizo ya mahusiano
Jina halipendi unaopenda ni moyo ungeniambia kuwa jina la mtu linaweza kusadifu tabia yake kidogo inamantiki japo hii dhana inaande kupotea kabisa

Ingekuwa hivyo kusingekuwa na maumivu ya mapenzi kwa sababu wote mnakuwa hamna hisia sababu ya majina hayajapishana herufi saba,

Mapenzi ni hisia inayoanzia kwenye macho hadi moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu hakuna sehemu nlotaka hela ya mtu rudia uzi wang
 
Mkuu jina huwa ni lipi? Kama mdau mmoja hapo juu alivyoeleza kuwa na majina zaidi ya mawili, vivyo hivyo hata mimi pia Jina langu Allency, nilivyoanza kazi wakaanza niita la ukoo likianza na N, wakati official name linaanza na I na lipo kwa passport na official docs, so hapo kwako jina langu ni lipi????


Sent from my iPhone using JamiiForums

jina ni lile ulilopewa la kwanza
 
Majina? Mbona Kuna Watu Wana Majina Mawili Na Yote Yanatumika Na Kufahamika Kwa Wengi, Sasa Ni Jina Gani Linaathiriwa Na Hii Nadharia?

jina lako la kwanza ulilopewa baada tu ya kuzaliwa
 
Huenda ikawa labda sababu mie nimepitwa herufi zaidi ya kumi na tano hukooo. Na ndio sababu bado tunadunda tu miaka nenda rudi.

Ila nawaza tu hivyo kipindi hicho unachokisemea hakuna wazee ambao mahusiano yao yaliishia njiani?

ni kwa wale ambao hawakuwa na elimu hiyo
 
maelezo yako butu! ongea kwa mfano, Wema vs Abduli , au Hamis Vs Fatima, PIA UNATAKIWA UELEZE JE Majina yenye kiswahili na kiingereza yanatambuliwaje kwenye formula yako mfano, Fatima>Fetty , Khamisi etc

jina halijaloshi iwe la kizungu au kiingereza we unachotakiwa kuangalia ni utofauti wa herufi ya kwanza kati ya hayo majina mawili mfano wema na abdul,hawa wanamapenzi ya dhati na wanapendana na abduli ndiyo mwenye kumpenda sana wema sababu ya herufi zao za mwanzo kupishana kwa zaidi ya herufi saba A&W lakini hapo kwa ila hapo kwa hamisi na fatima hakuna mapenzi
 
Hakika ungekua mwalimu wanafunzi wako wote wangetoka kapa. Nimerudia bandkiko lakini wapi nimeona ni upuuzi, ili nifute kauli weka njia ya kueleweka.
 
Elimu hiyo ni kweli ipo..
Hasa watumiaji wa hiyo ni watu wa Asia... hasa wahindi...wanatumia sana..na hata biashara ...
Labda ndio maana inasadikika wanaendelea sana...wanafanikiwa sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom