Fahamu aina 14 za hasira walizonazo wanawake

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
2,157
2,000
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!

2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!

3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!

4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!

5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!

6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!

7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!

8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!

9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!

10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!

11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!

13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.

14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.

HIZI NI HASIRA WALIZONAZO WANAWAKE

N.B

Tuishi nao kwa akili
 

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,989
2,000
Kuna mwingine akikasirika anataka umgegede tu mpka utoke povu au damu badala ya sperms

Na wengine wanakimbilia kulipua mtungi wa gesi

Wengine ukiwauzi wanaanza kuwakumbuka ex zake wa zamani wote...tena anakutajia kabisa utasikia "mwanamme gani wewe huna mbele wala nyuma...bora ningebaki kwa Mshana Jr tu au ningeolewa na yule msukuma matoroli Bujibuji
 

J.wawatu

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
357
1,000
Wengine wakikasirika wanakimbilia kugawa papuchi nje
Wengi wapo hivyo hutegemea na mazingira Tena Hawa mnaogombana kitu kidogo tu wanakimbilia kuondoka ndiyo wanao ongoza kwa kugawa.

Na wengi hukimbilia kwa marafiki au ndugu ktk mazingira ambayo hata wakitoka usiku hawataulizwa.
 

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
2,285
2,000
Demu wamgu mmoja wa zamani mchaga alikuwa akikasirika tu na ny*ge zinampanda mda huohuo.

Njia pekee ya kumuondolea hasira zake ilikuwa ni kumpelekea moto. nilikuwa sifanyi ajizi.
 

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
2,157
2,000
kuna mwingine akikasirika anataka umgegede tu mpka utoke povu au damu badala ya sperms

Na wengine wanakimbilia kulipua mtungi wa gesi


Wengine ukiwauzi wanaanza kuwakumbuka ex zake wa zamani wote...tena anakutajia kabisa utasikia "mwanamme gani wewe huna mbele wala nyuma...bora ningebaki kwa Mshana Jr tu au ningeolewa na yule msukuma matoroli Bujibuji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom