Facts za wadada wenye ajira nzuri

Facts za wadada wenye ajira nzuri

maisha sio mshahara tu wewe,acha kukariri
Wanaokariri ni wale wanaotaka mwanamke wa karne ya 21 awe tegemezi na wa kumkandamiza... Wakati ana fursa kibao za kutumia kujikwamua ikiwemo elimu
 
**wana confidence sana**[emoji736]
-Sio tu akiwa na ajira nzuri hata akiwa ameolewa na mume tajiri anaempa uhuru au hata mtoto wa kike ambae amezaliwa kwenye familia
...Confidence interval yao ni asilimia 99.
 
Wanaume wenye IQ ndogo shida sana hawajiamini kila kitu ana associate! Wanawake msiache kusoma na kutafuta hela mkiolewa heshimuni waume zenu hawa mbwa wezi wakutia mkia miguu ya nyuma kisa uoga wasiwakatishe tamaa.
 
Jeuri iko wapi, mambo yamebadilika nakupa ukweli uliopo tu.
Kinachowasumbua wanaume wengi ni kwamba unataka mwanamke awe kama mwanao unamtuma, unamkaripia, unampiga na unamtisha anatetereka... Ni sawa maandiko yanaagiza wanawake wawaheshimu waume zao wengi wanafanya hivyo na Wapo waliovumilia sana wakafika mahali wakachoka maana akili za wanaume wengi hasa wa kiafrika ni kwamba wao wajuaji wa kila kitu wanasahau na wanawake wana akili tena sana tu. Na mwanamke huwa anareact kutokana na unavyo-mtreat vinginevyo ni tabia yake tu.
Kuna wanawake bahati mbaya wameolewa na wanaume wapumbavu (kama nabali ktk biblia,stori ya Daudi) hawa wanawatetea waume zao na kuwafichia aibu lkn wanaume huwatesa ili kijitutumua kwamba wako juu. Mwanaume mwenye akili hatishiki na mafanikio ya mkewe, anajua kuna siku atasaidiwa, asilimia kubwa pesa ya mwanamke inatumika katika familia ataona vyombo atanunua n.k wakati baba analewa na kuhonga.
Ni vema muoe wanawake wa hadhi zenu na wanaowapenda, wanawake wenye mafanikio waachieni wanaume wenye akili.
Mkeo ni partner katika maendeleo ya familia sio mtumwa wala dobi, anatafuta hela ndo maana yuko bize. Tafuta msaidizi wa ndani au saidia kuziba gepu unaloona katika familia ikiwemo kusaidia kufua.
Hizi ni zama mpya, isaidie familia kwa kuipa mama mwenye kipato kizuri.
Uanaume wako uonekane katika matunzo na malezi bora ya familia.
..Hata mkiwa n.a. pesa zenyu mnazibana,..unakuta kidume anahangaika na kamshahara kake kisha unamretea kiburi juu,..mnaudhi.
 
Naona ume generalise sana, mwanamke mlieoana kwa kupendana hawezi kufanya ushenzi kwa makusudi kisa ana kazi
Kama yupo wa hivyo ni hulka yake na wala sio wote
pengine unapenda kuwa boss wa mkeo na wala sio mume,
hivyo ukioa mke asiependa kuwa bossed kila mara unaona sio basi oa asie na kazi umfanye utakavyo, ndoa inatakiwa kuwe na kuheshimiana pande zote mbili
Sasa kama unataka umpelekeshe mtu utakavyo kisa hawezi kuji take care of, oa wasio jiweza, na siku wakijiweza ndoa inakufa
Hapa uko sawa kabisa... ina depend kama kweli amekupenda kutoka moyoni.
 
We ni wale wale wanaoogopa independent women. Ila si tatizo lako, ni asili wya mwanaume. Hapendi mwanamke anaekua tishio la cheo chake kama mwanaume.
Ila ukisimama katika nafasi yako kama mwanaume hamna mwanamke atakae kutetemesha. Jiamini
 
1.Wengi wao ni single mothers
2. Wana confidence sana, waliolewa, hawaheshim ndoa, wanajua hata ukimuacha anaweza kuendeleza maisha
3. Wabishi sana wanajiona wanakaribia hadhi ya mume kwenye famila kwa kuwa nae ana kipato
4. Ukiwaoa sio kwamba kila siku utapata haki yako, Mara atakuwa kachoka, Mara kasafiri kikazi, mara kachelewa kurudi kazini nk
5. Wengi wao wanaolewa wakiwa wakubwa, umri umewapita
6. Wana midomo sana sio wasikivu kabisaa
7. Wanaume wengi wenye such wives wana michepuko, either lazma house maid akusaidie
8. Wavivu sana kupika na kufua, na 100% ya watoto wao wanawapenda ma
Hoya kuna mengine hata shule yalifeli na hayana kazi lakini yana tabia za hivyohivyo,la jamaa yangu mmoja limemsingizia eti alitaka kulifira.
 
Kumbe ilikuwa inaendelea
 
1.Wengi wao ni single mothers
2. Wana confidence sana, waliolewa, hawaheshim ndoa, wanajua hata ukimuacha anaweza kuendeleza maisha
3. Wabishi sana wanajiona wanakaribia hadhi ya mume kwenye famila kwa kuwa nae ana kipato
4. Ukiwaoa sio kwamba kila siku utapata haki yako, Mara atakuwa kachoka, Mara kasafiri kikazi, mara kachelewa kurudi kazini nk
5. Wengi wao wanaolewa wakiwa wakubwa, umri umewapita
6. Wana midomo sana sio wasikivu kabisaa
7. Wanaume wengi wenye such wives wana michepuko, either lazma house maid akusaidie
8. Wavivu sana kupika na kufua, na 100% ya watoto wao wanawapenda ma

moniccca eti ya kweli haya?
 
Ukisoma comments nyingi kwenye huu uzi utapata jibu kuwa wanaume wengi hawajiamini...

Wengi ni "King Husbands" wanapenda "kuabudiwa" na wake zao.

Wanapenda kutawala ndoa na sio kusimamia.

Maisha ya ndoa yana mume na mke, na sio BWANA na MTWANA.
 
Wanaume wenye IQ ndogo shida sana hawajiamini kila kitu ana associate! Wanawake msiache kusoma na kutafuta hela mkiolewa heshimuni waume zenu hawa mbwa wezi wakutia mkia miguu ya nyuma kisa uoga wasiwakatishe tamaa.
Aisee madam una lugha kali sana.....
 
Back
Top Bottom