Mwenye kisu kikali atakula nyama, kama mnavowaonea na kulala na mahausigeli wenu na mkeo anafanyiwa hivyo hivyo na bosi wake iwapo hatajikinga.Pia wanabutuliwa sana kwenye magari na ze so koldi mabosi wao....
Na tunawabutua kweli kwenye magariMwenye kisu kikali atakula nyama, kama mnavowaonea na kulala na mahausigeli wenu na mkeo anafanyiwa hivyo hivyo na bosi wake iwapo hatajikinga.
Kweli uzi uko sahihiMwenye kisu kikali atakula nyama, kama mnavowaonea na kulala na mahausigeli wenu na mkeo anafanyiwa hivyo hivyo na bosi wake iwapo hatajikinga.
Nonsense, you can't be seriousStd seven wa kijijini hafanani na std seven wa mjini, Mjini yuko exposed na anakuwa ana matamanio ya kufanikiwa kuliko wa kijijini... Huyu utamuona ana kiburi, kumbe anataka vitu vizuri na yeye hata kama kaishia std 7. [emoji4]
wanatoa harufu nzito wakitokwa JASHO.1.Wengi wao ni single mothers
2. Wana confidence sana, waliolewa, hawaheshim ndoa, wanajua hata ukimuacha anaweza kuendeleza maisha
3. Wabishi sana wanajiona wanakaribia hadhi ya mume kwenye famila kwa kuwa nae ana kipato
4. Ukiwaoa sio kwamba kila siku utapata haki yako, Mara atakuwa kachoka, Mara kasafiri kikazi, mara kachelewa kurudi kazini nk
5. Wengi wao wanaolewa wakiwa wakubwa, umri umewapita
6. Wana midomo sana sio wasikivu kabisaa
7. Wanaume wengi wenye such wives wana michepuko, either lazma house maid akusaidie
8. Wavivu sana kupika na kufua, na 100% ya watoto wao wanawapenda ma
1.Wengi wao ni single mothers

A weak man can't have a strong woman, he won't know what to do with her. Dawa msiwasomeshe mabinti zenu na mkaoe kijiji wale standard seven. Kukaa mnawakandia wanawake wanaofanya kazi na waliopitia shida na majaribu wakafanikiwa katika maisha ni ishara ya udhaifu mkubwa sana.![]()
Ukiona huwawezi just know you are not man enough for them, waachie wanaume waoe hawa wanawake wanaojenga taifa. Mnataka nini hasa, wanaume wa siku hizi..... ??Tuwaelewe vipi? Sasa unataka ukifa au usipokuwepo basi maisha ya familia yasimame..... Wanao walelewe na nani???
maisha sio mshahara tu wewe,acha kukaririKila mwanaume na mwanamke wake, wengi hawaongei ila wanakubaliana na hoja zangu. Wawe feminists wasiwe femists wanapendwa na waume zao. Wewe kaa unalalamika humu wakati wenzio wanaoa majembe hawana hofu hata wakifukuzwa kazi.
9. Mara nyingi akili huwa zinawarudi kuwa ni wanawake wa kiafrika wakati umri umeshaenda, wanaishia kulazimisha kutafuta wa kumuoa.1.Wengi wao ni single mothers
2. Wana confidence sana, waliolewa, hawaheshim ndoa, wanajua hata ukimuacha anaweza kuendeleza maisha
3. Wabishi sana wanajiona wanakaribia hadhi ya mume kwenye famila kwa kuwa nae ana kipato
4. Ukiwaoa sio kwamba kila siku utapata haki yako, Mara atakuwa kachoka, Mara kasafiri kikazi, mara kachelewa kurudi kazini nk
5. Wengi wao wanaolewa wakiwa wakubwa, umri umewapita
6. Wana midomo sana sio wasikivu kabisaa
7. Wanaume wengi wenye such wives wana michepuko, either lazma house maid akusaidie
8. Wavivu sana kupika na kufua, na 100% ya watoto wao wanawapenda ma
Malizia basi imeendeshwa na mwanamke mwwnye ajiraToyota Lexus Artezza inauzwa bei poa. Ipo katika hali nzuri. Full AC,radio,na rim za kisasa. Rangi nyeusi,imetembea kilometa 165000 tu. Bei ni Million 8 whatsapp 0764 978 509.View attachment 436071
Hahahhahaha hii imenichekesha sanaa,baba na housegirl mama na bosi, hii ngoma drooo ya hatari sanaMwenye kisu kikali atakula nyama, kama mnavowaonea na kulala na mahausigeli wenu na mkeo anafanyiwa hivyo hivyo na bosi wake iwapo hatajikinga.