sasa wewe toa sababunot at all.
ni mawazo ya kimaskini.
hata bila posho zao, bado wangegoma
kwa nini wagome kipindi hiki na sio mwaka jana??? madaktari wamekumbushwa haki zao na wabunge na sasa wanazidai
sasa wewe toa sababunot at all.
ni mawazo ya kimaskini.
hata bila posho zao, bado wangegoma
nafuu maji marefu kuliko LUSINDEHeeeeeeee! kumbe lusinde naye ni debe tupu. Ila kweli jamani, huyu maji marefu mi naona hata mwenyewe haamini kama kweli shavu analokula ni kweli au anaota.
huku ni mwendo wamarushwa tuu mtindo mmoja, rushwa na wizi tuuu!Chonde chonde rafiki zangu wahandisi msigome. Jaribu kufikiria jumuiya ya uhandisi wagome, taifa litapata kiharusi kwa sababu:
- kutakuwa hakuna maji
-kutakuwa hakuna umeme
- kutakuwa hakuna mawasiliano ya simu
- kutakuwa hakuna matangazo ya radio na luninga
- kutakuwa hakuna magazeti n.k
Hayo yakijiri madaktari hata wakisitisha mgomo hawataweza kuhudumia wagonjwa (no water no power), viwanda vyote vitasimamisha uzalishaji kwa hiyo uhaba wa bidhaa kama sukari, bia,soda,vifaa vya ujenzi n.k
Wahandisi kazi zenu mmekasimiwa na Mungu hivyo chapeni kazi kwa kijimshahara chenu kisichokuwa hata na posho malipo yenu mtayakuta mbinguni. Amen
Hivi hakuna namna ya kuwang'oa madarakani hawa watu wawili? Nimesoma thread zote zinazohusu mgogoro huu na naamini kuwa kama anayewateua angewaondoa na kuwapa kazi zingine basi asilimia 50% ya mgogoro ingekuwa imetatuliwa. Sitaki ku preempt maono ya kamati ya bunge ya ustawi wa jamii, ila katika solutions zote lazima hawa watu wawili waondoke.