Facebook

Nkamangi

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
641
29
Is uploading photographs for friends to view on facebook safe?
Is accepting strangers to be your "friends" on fb dangerous?
 
Picha nyingi za udaku kule zeutamu zinatolewa facebook au hi5 au site yoyote ambayo inaunganisha watu kwa wingi na ukweli ni kwamba kutumia facebook watu ni rahisi sana kukujua rafiki zako na watu wako wa karibu kwa kuwa utakuwa umewa add si ndio

kwa wale wasio makini kuna facebook ambazo ni fake unaweza kusign in kumbe ya uwongo unaweka details zako unaibiwa wewe na jamaa zako wengine mambo kama hayo

so take care of ur self

mmeku
 
You right my friend ni kweli picha nying za watu zinaiibiwa facebook and the whole concept of that site kwa sasa imetoweka maana watu wanaogopa hata marafiki zao wanao wafahamu. Mi naona labda facebook wawekee security za picha za watu ili mtu asiweze kucopy. Na siku hizi ukiwa unapiga tu picha utasikia watu wanasema mi staki isije ikaisha utamu picha yangu. Si laumu watu maan ni kweli imetokea mnapiga picha kwa nia nzuri ukishaipost facebook for ur friends to see mimtu inaiba na kuweka ze utamu na ndipo balaa linaanza. kwa kweli its not safe at all at the moment.
 
Face book inasemekana kazi yake kubwa ilikuwa kumpigia mheshimiwa Obama campaign. Iliunganisha watu wengi katika campaign.
Nadhani kwa sababu uchaguzi umekwisha sasa itaonekana haina maana, na itakufa kifo cha kawaida. Naona watu mmeanza kutafuta kila sababu ife.
Hata mmiliki alikuwa anadai inamgharimu sana eti anaitafutia mwekezaji.
Wazungu nao Bwana! Mara tu utasikia kwa sababu ya economic crisis duniani tumeamua kuifunga facebook. Kumbe wamemalizakazi waliyoianzishia.
 
Obama alitumia fb kufikia vijana, kama ambavyo watu wengine wanaitumia kujitangaza. Ilianzishwa na mwanafunzi wa chuo ambaye sasa ni billionaire. Kufa kwa hii site sii rahisi given its current popularity, shida ni kwamba kuna watu wanaitumia vibaya kama inavyosemekana hapo juu
 
Face book inasemekana kazi yake kubwa ilikuwa kumpigia mheshimiwa Obama campaign. Iliunganisha watu wengi katika campaign.
Nadhani kwa sababu uchaguzi umekwisha sasa itaonekana haina maana, na itakufa kifo cha kawaida. Naona watu mmeanza kutafuta kila sababu ife.
Hata mmiliki alikuwa anadai inamgharimu sana eti anaitafutia mwekezaji.
Wazungu nao Bwana! Mara tu utasikia kwa sababu ya economic crisis duniani tumeamua kuifunga facebook. Kumbe wamemalizakazi waliyoianzishia.

Dude Facebook has been around since 2004!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom