Facebook raha sana, sasa twaangalia mpira live

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,513
Reaction score
8,276
Facebook ni chiboko kwa kweli, sasa naweza kutazama Arsenal yangu live kupitia facebook. Yaani Arsenal ileee live bila chenga tena ukitumia voda ni bure kabisa bila bando yako kuliwa. Usiogope sio Arsenal tu hata wewe katimu kako unaweza kukaona live pia.

Jamiiforum fuateni nyayo hizi.
 
Unaangaliaje sasa
 
Nielekeze maana mim naona betting tu kwny hii link

Cancel hayo matangazo then utaona list ya mechi za siku husika then unachagua mechi unayotaka
 
Mi nlitegemea uwe umetupa hayo maujuz ila naona bado unakomaa tu

siku hizi hata wewe unaweza kujirusha live fb, kuchek mechi cha kufanya muda wa mechi search mechi husika mfano chelsea vs man4ngo live, basi utaona page tofauti tofauti zinazotusha live, bofya mambo ewaaa! live bila chenga
 
Arsenal8
 
Back
Top Bottom