Facebook inaweza kujikuta kwenye kesi na logo ambayo ni kampuni nyingine

Nike Ni kisukuma Kwa Kiswahili maana yake 'nishuke'

Je! Msukuma akianzisha kampuni yake akaiita nishuke Kwa kisukuma (NIKE) halafu akaweka alama universal ya tiki Atakuwa amevunja sheria?
Ikiwa atatumia neno hilo hilo NIKE hapo atakuwa amevunja sheria na atashitakiwa kwenye mahakama ya kimataifa ya biashara.

Lakini akitumia neno lingine, mafano akatumia neno NISHUKE na kuweka ile alama ya "tick" atakuwa hajavunja sheria.
 
Huzijui logo wewe. Hizo zinaelekeana wala hazifanani. Kikubwa pia hata rangi na jina ni tofauti.
 
Ikiwa atatumia neno hilo hilo NIKE hapo atakuwa amevunja sheria na atashitakiwa kwenye mahakama ya kimataifa ya biashara.

Lakini akitumia neno lingine, mafano akatumia neno NISHUKE na kuweka ile alama ya "tick" atakuwa hajavunja sheria.
Kwahyo haruhusiwi kutumia neno la lugha yake mwenyewe?
 
Hiyo n alama ya infinity hata kwenye mathematics na physics tumetumia Sana n alama ya yeyote tu anayeweza kutumia ata hivo Mark n smart
 
Kwahyo haruhusiwi kutumia neno la lugha yake mwenyewe?
Hili jina NIKE hata kama lina maana kwenye Kisukuma au Kinyaturu hiyo haikupi nafasi au uhuru wewe Msukuma kulitumia kibiashara sababu tayari limekwisha wekewa hati miliki (patent).

Mfano neno 'Facebook' ni muunganiko wa maneno mawili ya Kiingereza, "face" na "book". Hata kama haya ni maneno ya Kiingereza bado siyo ruhusa kwa Mwingereza kuyatumia maneno haya kibiaashara sababu tayari Mark Zuckerberg alikwisha yawekea hati miliki.
 
Ba

Sasa kama mtu ameweza kuchukua patent ya maneno universal kama face Na book anashindwaje kuchukua patent ya alama ya tiki Na kuzuia mtu yeyote kuitumia kibiashara?
 
Kisheria zaidi kinachoitambulisha biashara ni jina na siyo alama. Hata kwenye hati miliki (patent) kinachosajiliwa ni jina na siyo alama (symbol).
 
kwenye mziki unasajili jina la wimbo na mwandishi tu, lakini mtu akikopi jina la wimbo sio kesi..kesi ni pale akiiga mashairi, chord progression, melodies nk. ndo anaweza kufunguliwa copyright case.
Kwahyo hakuna patent ya logos?
 
Nafikiri nimeshajibu hili swali. Maswali yako yanajirudia rudia, unabadilisha badilisha tu maneno lakini swali ni lile lile.

Inaonekana wewe ni mgumu sana kuelewa.

Hapa tunazungumzia hati miliki ya jina la biashara au kampuni na aina za logo. Katika logo kinachosajiliwa ni "jina" na siyo ile alama inayoambatana na jina.

Na pia fahamu kwanza kuna "alama" au "symbols" ambazo ni universal, yaani hazimilikiwi na mtu yeyote. Mfano wa alama hizo ni all "mathematical symbols" ikiwemo "infinity symbol" ambayo facebook wanaitumia kwenye logo yao ya METAVERSE.

Hati miliki za muziki sheria yake ni tofauti. Hata ukienda kwenye movie utakuta sheria zinatofautiana.
 
Mbona rangi tofauti na Curveture ni tofauti? Pia hiyo ni alama standard ya kuwakilisha infinity (bila kikomo).
 
Back
Top Bottom