Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

Sio jambo la kujisifu ila nimewatafuna sana wake za watu kwa kuwapata huko Facebook, yaani unapochat naye inbox utawasikia wanasema "mume wangu ni mchovu sana kitandani yaani akipiga goli moja tu kwishaa"

Sasa mwambie mie nitakukojoza Mara 3 hadi umesahau huyo mumeo wewe!! Utatumiwa bodaboda ikuwahishe ukamkojoze mke wa mtu 😀 😀

Kiukweli waliopo ktk ndoa (wanaume) wanakwama sana kuwapa mahaba wake zao ndio maana wajuba wa Facebook wanawagegeda kiulaini wake za watu
 
Ulikuwa unaangalia chura huko Fb?
Naomba nikiri hapa kuwa mimi ni domo zege na mwanamke wangu wa kwanza,wa pili,wa tatu na wa nne ni wake za watu ambao niliwapata kupitia facebook.Uzuri wa facebook ni kwamba unamtongoza mtu bila kuonana nae uso kwa uso kwa hiyo hakuna mambo ya kuona aibu na mnakubaliana kabisa hadi lodge ya kwenda kula tunda.

Na mkifika lodge huwa hakuna mambo mengi,ni kuvuana tu kwa sababu tayari mlishalegezana kwenye mtandao huko.This is my confession
 
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI
Mkuu habari.

Nimesoma uzi wako hadi nikakuonea huruma.

Ipo hivi, kwanza unatakiwa kupata password yake ya fb.

Baada ya hapo unaingia kwenye account yake kupitia simu yako, na ukishaingia mara moja tu basi mchezo utakua umekwisha, maana utakua huna haja tena ya kushika simu yake. Na hapo muda wowote unaingia kwenye account yake kupitia simu yako.

Kikubwa fanya kila namna upate password yake.
 
Wacha wa humu wakuvimbishe bichwa uje uone cha mtema kuni.

Huyo mshamba wako utammiss,,,

Unakosa akili ya kupambana nae?

Sitisha vocha, akitoka upo nae mfanye vizuri asubuhi na usiku.

Usikute na we nae dk 5 upo hoi balaaaa kaamua atafte vijana wa fb.
 
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI
Mwanamke akishindwa kumtii Mume wake, ni halali kumwacha Haraka, kwani hakuna future hapo ni ugomvi kila siku, na usiwekeze moyo wako na mali zako kwa mwanamke, hakikisha unaweza kuishi bila yeye na hata akiondoka usipate uchungu wa mali ulizowekeza kwake.
 
Mkuu habari.

Nimesoma uzi wako hadi nikakuonea huruma.

Ipo hivi, kwanza unatakiwa kupata password yake ya fb.

Baada ya hapo unaingia kwenye account yake kupitia simu yako, na ukishaingia mara moja tu basi mchezo utakua umekwisha, maana utakua huna haja tena ya kushika simu yake. Na hapo muda wowote unaingia kwenye account yake kupitia simu yako.

Kikubwa fanya kila namna upate password yake.
Watu wengi ambao sio wasomi hutumia namba za simu sio email kufungua akaunti ya Facebook. Kwahiyo ni rahisi Sana kumsearch
 
Hii mbona easy kama Pop Corn.

NB: Demu wangu wa kwanza nilimpata huko na akaja kunifanya kitu hamna. Ilikuwa fundisho kwangu na kwa kizazi changu. Na account niliifuta 😂😂😂
Tupe ushuhuda mkuu tujifunze pia,

Alikutenda Mbaya nini?!
 
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI
Mkuu tuseme ukiweza kuifunga Facebook page yake, huku mtaani nako utakuwa naye muda wote?
 
Huko unaenda mbali mwambie akupe simu na password yake ya password
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom