Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

Nataka nihakikishe kama kweli huyo mwanamke alimwambia mtu aende inbox akampe namba mana hapa tumesikiliza upande mmoja tu
Una hoja iliyoshiba mkuu, nakuunga mkono. Mleta mada atoe jina la facebook ili tukathibitishe madai yake. Hatuwezi kuhukumu kwa kusikiliza uoande mmoja tu.😂😂😂
 
Mkuu anatumia jina gani?ili tukamuonye hiyo tabia sio nzuri
 
Hapo unatafuta kufa kwa pressure bure! Ukitaka kukaa na amani achana na simu ya mkeo.Hata ikiita mwite mwenyewe apokee! Unalopaswa kufahamu siku zote mke wako akitaka kukusaliti bila wewe kujua anaweza kukusaliti.Kwa sababu hushindi naye wakati wote!
 
Naomba nikiri hapa kuwa mimi ni domo zege na mwanamke wangu wa kwanza,wa pili,wa tatu na wa nne ni wake za watu ambao niliwapata kupitia facebook.Uzuri wa facebook ni kwamba unamtongoza mtu bila kuonana nae uso kwa uso kwa hiyo hakuna mambo ya kuona aibu na mnakubaliana kabisa hadi lodge ya kwenda kula tunda.

Na mkifika lodge huwa hakuna mambo mengi,ni kuvuana tu kwa sababu tayari mlishalegezana kwenye mtandao huko.This is my confession
Yaani kuna saa najiwazia hivi wanawake wa fb wote ni malaya au... Maana ni wepesi kupita wepesi wenyewe
 
Chukua simu yake logout fb alafu mwambie alog in hakikisha unajua password yake, ukishaipata mchezo umeisha... Unaingia fb yake kipitia simu yako na messenger pia unaingia unajua kila kinachoendelea, hakuna sehemu kumejaa uchafu kama messenger alafu wengi wanasahau kufuta sms za huko.
 
Sio jambo la kujisifu ila nimewatafuna sana wake za watu kwa kuwapata huko Facebook, yaani unapochat naye inbox utawasikia wanasema "mume wangu ni mchovu sana kitandani yaani akipiga goli moja tu kwishaa"

Sasa mwambie mie nitakukojoza Mara 3 hadi umesahau huyo mumeo wewe!! Utatumiwa bodaboda ikuwahishe ukamkojoze mke wa mtu

Kiukweli waliopo ktk ndoa (wanaume) wanakwama sana kuwapa mahaba wake zao ndio maana wajuba wa Facebook wanawagegeda kiulaini wake za watu
Sio kwamba hawaridhishwi mkuu ndio gia yao wengi wao, kuna aliniambia nmeamua kukupa tu lkn hakuna nnachokosa kwa mume wangu, hata huwezi kunitia vizuri kuliko yeye.
 
Huyu ni mke wa mtu nikichat naye fb 😍
Sio kwamba hawaridhishwi mkuu ndio gia yao wengi wao, kuna aliniambia nmeamua kukupa tu lkn hakuna nnachokosa kwa mume wangu, hata huwezi kunitia vizuri kuliko yeye.
Ni kweli hukumtia vizuri? Hebu nipe namba yake huyo yeyoo 😍
 
huna haja ya kudukua facebook ya mke wako, toa amri tu akupe simu yake uingie usome kwenye account yake.
akikataa kukupa tafakari, chukua hatua.
 
Hapo unatafuta kufa kwa pressure bure! Ukitaka kukaa na amani achana na simu ya mkeo.Hata ikiita mwite mwenyewe apokee! Unalopaswa kufahamu siku zote mke wako akitaka kukusaliti bila wewe kujua anaweza kukusaliti.Kwa sababu hushindi naye wakati wote!
Asanteee
 
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI
Da wanaume wa kitanzania bwana yaani ukioa mwanamke utafikiri amekuwa mtoto wako. Yaani kutumia Facebook apate ruhusa yako.
This is the stupid of the highest order.
 
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI

Kudukua simple sana.
 
mkuu sikushauri, maana unaweza kuingia messenger ukakuta shukrani za kutosha, alafu ajabu ukute na 071 katoa
 
Hiyo ndoa changamoto,yaani huruhusiwi kushika Simu ya mkeo mpaka unaomba mbinu ya kudukua? Hapo ni ndoano siyo ndoa tena
 
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI
Mkuu unaishije na mkeo? Huwezi kumwambia akupe sim yake uangalie ama ndo mna makubaliano ya kutojihusisha na sim ya kila mmoja wenu?

Me na wife hatuna mipaka kwenye sim, yuko huru na ya kwangu, niko huru na ya kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom