Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

Wanawake ni wajanja kuliko unavyodhani...kwanza wengi wana account zaidi ya moja za Facebook na zenye username tofauti tofauti utaweza kuzidukua zote??
Huyo mkeo Kama hulka yake ni ya kuliwa ataliwa tu....asipoliwa Facebook, ataliwa Instagram, asipoliwa Instagram ataliwa kwenye WhatsApp groups, telegram, kwenye kwaya, kanisani, msikitini au hata hapo mtaani kwenu kwa wauza urembo na wapaka rangi kuchu
 
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI
Mtego wake rahisi,fungua fb account nyingine download picha za kijana mtanashati uiweke profile,then mrequest friendship,anza kumpongeza picha zake na uingie naye inbox utamjua kirahisi.Unamwitia guest house,akija unamnyanganya simu na kuzisoma meseji zake zote kibabe.Na maelekezo juu.
 
Yan mke wa kwangu halafu nidukue akaunti!!?.
Sijui mna akil gan ndugu zangu.
Wanaume msiogope kuonekana wakoloni.Dats an african thing vinginevyo mtalia na ndoa zenu mpaka mchakae
 
Yan mke wa kwangu halafu nidukue akaunti!!?.
Sijui mna akil gan ndugu zangu.
Wanaume msiogope kuonekana wakoloni.Dats an african thing vinginevyo mtalia na ndoa zenu mpaka mchakae
Hahah ahsante,mama Chanja leta simu hapa unafungua kote na maswali juu huyu ni nani anaandika huu ujinga
 
Hizi ndoa za siku hizi! Yaani kuikamata na kuikagua simu ya mkeo napo unajiuliza! Ila ni sawa pia maana kama akina Mc Pilipili wanaoa, sio ajabu hata
 
Yaani hapo umeoa au umeolewa. Mke wako mpaka uhangaike kudukua simu eti?. Unashindwaje kumwambia afungue fcb mbele yako??. Ina maana unamuogopa mke?
 
Wacha wa humu wakuvimbishe bichwa uje uone cha mtema kuni.

Huyo mshamba wako utammiss,,,

Unakosa akili ya kupambana nae?

Sitisha vocha, akitoka upo nae mfanye vizuri asubuhi na usiku.

Usikute na we nae dk 5 upo hoi balaaaa kaamua atafte vijana wa fb.
Kwani lazima kuishi nae mpaka afanye asio ya mudu?
 
Kwa ufupi

Mke wangu si msomi wala si mtu wa mjini. Lakini akaja kupata shauku ya kutumia facebook.

Nilimkataza lakini aling'ang'ania kuwa hakuna ubaya wowote. Sikumruhusu ila siku hiyo nikamkuta tayari amesha download na anatumia.

Miezi kadhaa baadaye, nikapitia kwenye baadhi ya picha ambazo alipost na baadhi ya vijana kuanza kumtongoza.

Kilicho nishtua ni kwamba alimwambia kijana mmoja ambaye aliomba namba kuwa aje inbox. Ile kidogo ikanishtua.

Sasa naomba msaada mmoja.

Nahitaji kuidukua akaunt yake ya facebook ili nione kinachoendelea. Msaada tafadhali kwa anayejua.

NB
Moyo ninao, na niko tayari kwa lolote. Na ukizingatia kuwa sikumpa ruhusa wala sijaridhia yeye kutumia facebook.

Aisee namtafutia sababu nikinukishe ipasavyo.

MSAADA WA NAMNA YA UDUKUAJI TAFADHALI
Tengeneza account yako fake facebook asiyoijua. Mtongoze. Hakikisha unalike na kusifia posts zake, hasa zenye picha yake.

Thank or hate me later.

Thread closed.
 
Mimi huwa sihangaiki saana huwa ni simpo tu,achague kumpenda facebook au kuishi na mimi full stop .Na ww si ujiunge afu uanze kumtongoza upya? wanawake wana vituko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom