DEWIS KAIJAGE
Member
- Jul 23, 2016
- 72
- 8
ushauri wa fastar unaitajika f4 fiv comb HGK Vs diploma lab tech
fuata huu ushauri japo unaweza kuishia na diploma maana 3.5 mbaliKm n medical lab tech afu vigezo na mashariti unavyo jipeleke mapema mkuu... wala usihojii kwann
Usifananishe lab tech na vitu vya kipumba.vu tafadhaliushauri wa fastar unaitajika f4 fiv comb HGK Vs diploma lab tech
nachoitaji mtizamo na cio kuleta misemo ya ajabu hapUsifananishe lab tech na vitu vya kipumba.vu tafadhali
Umenichekesha sana j2 ya leo. Laaah dunia hadaa ila ulimwengu ni chuo kikuuUsifananishe lab tech na vitu vya kipumba.vu tafadhali
Heshimu mitazamo ya watunachoitaji mtizamo na cio kuleta misemo ya ajabu hap
Achana na advance, nenda chuo aiseee. Advance unaenda kupoteza muda TU.ushauri wa fastar unaitajika f4 fiv comb HGK Vs diploma lab tech
Nenda LAB 🧪 🧫 🧫 thank me later...ushauri wa fastar unaitajika f4 fiv comb HGK Vs diploma lab tech