F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Awa ni JKT Tanzania, Huu uwanja ni mkubwa Sana na Simba walikata upepo mapema.
Uu ni uwanja mkubwa Sana unataka timu zenye mapafu kama Yanga.
Kama Yanga atachezea uwanja uu mtu anaweza kupigwa zaidi ya goli Tano.
Kwa msaada wa MAJINI...
 
Jini Muhimu Umeona Leo Tumewapa Moja Limemsaidia Chama Kupiga Golini.

Mna Timu Mbovu Ila Bado Mnajifanya Hamuoni Au Tuwape Majini.
We jini maimuna angalia msimamo uje uongee hapa..naona mlikua baharini mnawatupia majini jkt ili wapate sare..
 
Tuache kuogopa kuongea ,kocha wa Simba ni mweupe kichan Hana mbinu.
Tena huyu kocha nnatabiria hamalizi huu msimu akimaliza basi itakua bahat sana
 
Back
Top Bottom