Excuse me sire!... what about these allegations Mr. President

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,539
40,166
Dar es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete had used funds from Iran to defeat his opponents at the party's recent convention.

The Chairman of the Democratic Party claimed at a press conference that the Iranian government through Tanzanian MP Rostam Aziz, had funded Kikwete's campaign for over 10 years.

The press conference was held ahead of a meeting by eight opposition parties to plan a common strategy against the CCM in Tanzania's October elections.

Mtikila alleged that the Iranian government had set aside a substantial amount to prop presidential candidates in countries where the Asian country has economic interests.

Aziz, a Tanzanian of Iranian extraction is representing Igunga constituency in Tanzania's Union Parliament on the platform of the CCM.

Mtikila did not say how much Aziz had allegedly received from the Iranian government for Kikwete's presidential campaign, but cited Tanzania's uranium deposit as possible motivation for the alleged assistance.

He said the Iranian government could not have given Aziz money for nothing: "they must be harbouring interests in Tanzania."

This is the second time that Aziz, Kikwete's campaign manager, would be accused of securing foreign funds for Kikwete's presidential campaign.

Last April, London-based journal, Africa Confidential claimed that he had been given two million US dollars by the Oman government as campaign funds for Kikwete.

Kikwete, Tanzania's Foreign Affairs and International Co-operation Minister had vowed to sue the journal over the report, but since his nomination as CCM presidential candidate in May, he has said nothing about the report.

The London journal has challenged him to go to court insisting it has overwhelming evidence to back its claims.

There was no immediate reaction to Mtikila's allegations from either Aziz or Kikwete.

Dar es Salaam - 16/09/2005
 
Unajua naanza kushangaa, kwa nini ? Mbona husemi chochote pale Mtikila anapoihoji CHADEMA ?? Akihoji CHADEMAs unasema ni against na chadema na ana chuki nao, sasa hapa tuelewe vipi ?
sina maana ya kufanya kila ishu kuwa ya kichama hapa, lakini nashindwa tu kuelewa mitazamo yenu saa nyingine !
Hii ni katika kujua tu kwamba either unaona "chuki ya mtikila" pale anapoishambulia chadema au "unaona ushujaa wa mtikila" pale anapoishutumu ccm na viongozi wake. Kwa kweli you are one-sided up !
 
Heshima mbele mkuu
wewe ujamzoea Mwanakijiji mpaka leo ujui yeye ni kada wa CHADEMA, ila leo kaja na hili ongea unalionaje na sio kulalamika msimamo wake unaousema kila siku kuwa ni msimamo wa CHADEMA.

Je ni kweli nchi za kiarabu zilifund kampeni za kikwete?
Kama ni kweli je return yake ni nini?
kama ni uongo mbona kikwete hakwenda maakamani kama alivyotangaza?
Je hii na EPA vina uhuusiano gani?
Je RA anaweza kuja kueleza chochote hapa au atabaki amefunga mdomo milele?

We wait and see
 
Kwanini JK hajaulizwa kuhusu mpango wake wa kufungua kesi dhidi ya magazeti yaliyodai kachotewa hela toka Iran?
 
Kwanini JK hajaulizwa kuhusu mpango wake wa kufungua kesi dhidi ya magazeti yaliyodai kachotewa hela toka Iran?

Ameulizwa mara nyingi sana na bado anasubiriwa kujibu haya mashtaka kabla nchi hii haijachukuliwa rasmi na wairani wakiongozwa na mwizi na mkoloni mkuu mwenye uraia wa utata muirani mwenyewe - Rostam Azizi
 
Unajua naanza kushangaa, kwa nini ? Mbona husemi chochote pale Mtikila anapoihoji CHADEMA ?? Akihoji CHADEMAs unasema ni against na chadema na ana chuki nao, sasa hapa tuelewe vipi ?
sina maana ya kufanya kila ishu kuwa ya kichama hapa, lakini nashindwa tu kuelewa mitazamo yenu saa nyingine !
Hii ni katika kujua tu kwamba either unaona "chuki ya mtikila" pale anapoishambulia chadema au "unaona ushujaa wa mtikila" pale anapoishutumu ccm na viongozi wake. Kwa kweli you are one-sided up !

Kada jitahidi kuwa unajibu hoja bada;a ya kuleta vioja ndani ya hoja .I hope you can do better that .
 
Kada jitahidi kuwa unajibu hoja bada;a ya kuleta vioja ndani ya hoja .I hope you can do better that .

Lunyungu,
Nilichokosea ni nini ? kwani ni uongo kwamba mtikila anapoisema chadema mwanakijiji anasema mtikila ana chuki dhidi yao ? au mropokaji,or he wants attention.. he said that before, angalia kuna topic moja ilikuwa kuhusu mahakama ya kadhi, sasa leo mtikila huyu huyu anasema kuhusu ccm/viongozi wake ndio anaona imekaa sawa, lakini mtu huyo huyo anaona two sides up on 1 person !
 
Kwanini JK hajaulizwa kuhusu mpango wake wa kufungua kesi dhidi ya magazeti yaliyodai kachotewa hela toka Iran?

Aliwasiliana na Lawyer wa Chenge huko Ohio, US lakini jamaa akachomoa akisema evidence ziko nyingi tu za kumbana.....teh teh teh... kwi kwi kwi (Just kidding).

Ukiona mtu kanyamaza kwa muda mrefu bila kuzungumzia tuhuma basi assume hiyo tuhuma ni ya kweli. Tulisikia ya Lawyer maarufu Bongo Fisadi Mkono akitishia, na huyu mtu anaweza kuipanga kesi na ushahidi vizuri lakini kaogopa kwenda Mahakamani. Sasa kama Lawyer maarufu kagwaya kwenda mahakamani na anajua kupanga vizuri kesi, na kwa JK itakuwaje???????
 
Dar es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete had used funds from Iran to defeat his opponents at the party's recent convention.
...

Dar es Salaam - 16/09/2005

MKjj,

Hii story ya siku nyingi sana na iliwahi kujadiliwa tangia kule BCS hadi ikachakaa.

Bado sijaelewa motive yako kuibandika hapa leo .... au unataka kumzulia jambo Mchungaji Mtikila? Wakati mwingine utasingiziwa bure kuwa wewe ni "chadema"!!??
 
kakalende, hili wazo "stori ya siku nyingi" ndio ninachojaribu kushughulikia. Tangu wiki jana ukiangalia kuna habari ambazo nimejaribu kuzikumbushia ili watawala wetu wasidhani tumesahau.

a. Dereva aliyegongana na Mbatia yameishia wapi?
b. Kikwete na fedha za Irani waliisia wapi.

Naomba kama una majibu unisaidie badala ya kusema ni stori ya siku nyingi kwani kupita kwa muda hakufanyi hoja nayo ichakae!
 
Kakalende:
Kwa hiyo turidhike tu kwa kuwa ni habari iliyozungumziwa siku nyingi na kuchakaa?
Je, katika kuzungumziwa huko, ni majibu gani yaliyopatikana kutokana na tuhuma hizi? Je, watu waliridhika na hayo majibu?

Kama majibu hayakutolewa, ni halali kabisa habari hii izungumzwe, na kama Kikwete anayo majibu ayatoe, kwani kuna ugumu gani! Hizi ni tuhuma nzito ambazo naona ugumu sana kuziamini. Ni jambo zuri kwa wananchi kutolewa duku duku katika maswala kama haya.

Kama ni 'allegations' zisizokuwa na msingi, ni bora kuzisemea na zitakufa zinyewe baada ya kufanya hivyo. Vinginevyo, zitaendelea kujiimarisha na kumtolea heshima anayostahiri mkuu wa nchi.
 
Unajua naanza kushangaa, kwa nini ? Mbona husemi chochote pale Mtikila anapoihoji CHADEMA ?? Akihoji CHADEMAs unasema ni against na chadema na ana chuki nao, sasa hapa tuelewe vipi ?
sina maana ya kufanya kila ishu kuwa ya kichama hapa, lakini nashindwa tu kuelewa mitazamo yenu saa nyingine !
Hii ni katika kujua tu kwamba either unaona "chuki ya mtikila" pale anapoishambulia chadema au "unaona ushujaa wa mtikila" pale anapoishutumu ccm na viongozi wake. Kwa kweli you are one-sided up !

you have got a point over there man!!Take five, one should not be biased!!So this guy, mwanakijiji is a die hard Chadema fan!!I'll have to watch his threads and comments more closely!!You know just to balance the equation!!
 
Killuminati karibu, ulipotea kwa muda; wewe niangalie mimi wakati mimi naangalia mafisadi, ila usisahau na wewe utakuwa unaangaliwa wakati unaniangalia mimi nikiangalia mafisadi!
 
Huyu Mtikila anajua anachokisema na ni mpinzani wa kweli. Aliyoyaongea ni kweli kabisa kwani tunaona baadhi ya matunda yake sasa 2008. Kuna mengi sana yatakuja kuonekana kutokana na ushirika wa JK + RA na katika hayo 99% ni ya hatari kwa nchi na wananchi wa Tanzania.
 
RA alisema muwaulize wauguzi walioshuhudia akizaliwa pale Ndala Tabora! Watawashangaa mkisema kuwa yeye ni Muiran!
 
Sasa kama JK alisaidiwa na Iran kukamata madaraka mbona sijaona kama kuna ushirikiano mkubwa kama ilivyo kwa nchi nyingine kama China, US, India na nyinginezo ambazo kila kukicha jamaa anakunywa chai kwao?
 
Balozi wa Iran nchini yuko "active" sana siku hizi! Umesahau kuwa JK alialikwa Iran? Ahmed wa Kijani atakuja kututembelea!
 
RA alisema muwaulize wauguzi walioshuhudia akizaliwa pale Ndala Tabora! Watawashangaa mkisema kuwa yeye ni Muiran!

Mwanagenzi, tatizo la uraia halitokani na "wapi" alizaliwa, anaweza kuzaliwa Muhimbili na asiwe raia vile vile. Kwani Jenerali hadi walipomvua Uraia alizaliwa wapi?
 
Back
Top Bottom