Excuse me sire!... what about these allegations Mr. President

kakalende, hili wazo "stori ya siku nyingi" ndio ninachojaribu kushughulikia. Tangu wiki jana ukiangalia kuna habari ambazo nimejaribu kuzikumbushia ili watawala wetu wasidhani tumesahau.

a. Dereva aliyegongana na Mbatia yameishia wapi?
b. Kikwete na fedha za Irani waliisia wapi.

Naomba kama una majibu unisaidie badala ya kusema ni stori ya siku nyingi kwani kupita kwa muda hakufanyi hoja nayo ichakae!

OOOOH so true !!We seem to be covered/buried under a pile of GARBAGE ( Commission 10-30%, Rushwa ,Wizi, Ufisadi,Ndugunisation , ect ect);that we will choke to death if we do not push ourselves up to the surface to get some air.And while we are above,before they throw some more sh...t on us take a moment to reflect on the recent past.Otherwise we may forget we all have a right to LIVE
 
Mwanagenzi, tatizo la uraia halitokani na "wapi" alizaliwa, anaweza kuzaliwa Muhimbili na asiwe raia vile vile. Kwani Jenerali hadi walipomvua Uraia alizaliwa wapi?

Alizaliwa Rwanda, alikuja Tanganyika na wazazi wake miaka ya mwisho ya 50's wakati hou akiwa kijana mdogo. Walikuwa wengi hasa Mkoa wa Kagera; na baada ya uhuru Mwalimu aliwapa 'blanket' citizenship nao wakawa raia.
 
Kaka tunaomba ushaidi maana hata uhamiaji hawakujua kama aliwahi kupewa uraia na Mwalimu wakamwambia sio raia. tunasubiri kwa hamu
 
Huyu Mtikila anajua anachokisema na ni mpinzani wa kweli. Aliyoyaongea ni kweli kabisa kwani tunaona baadhi ya matunda yake sasa 2008. Kuna mengi sana yatakuja kuonekana kutokana na ushirika wa JK + RA na katika hayo 99% ni ya hatari kwa nchi na wananchi wa Tanzania.

Huwezi kumchukulia serious Mtikila. Huyu jamaa mara nyingi anaropoka tu.
 
Dar es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete had used funds from Iran to defeat his opponents at the party's recent convention.

The Chairman of the Democratic Party claimed at a press conference that the Iranian government through Tanzanian MP Rostam Aziz, had funded Kikwete's campaign for over 10 years.

The press conference was held ahead of a meeting by eight opposition parties to plan a common strategy against the CCM in Tanzania's October elections.

Mtikila alleged that the Iranian government had set aside a substantial amount to prop presidential candidates in countries where the Asian country has economic interests.

Aziz, a Tanzanian of Iranian extraction is representing Igunga constituency in Tanzania's Union Parliament on the platform of the CCM.

Mtikila did not say how much Aziz had allegedly received from the Iranian government for Kikwete's presidential campaign, but cited Tanzania's uranium deposit as possible motivation for the alleged assistance.

He said the Iranian government could not have given Aziz money for nothing: "they must be harbouring interests in Tanzania."

This is the second time that Aziz, Kikwete's campaign manager, would be accused of securing foreign funds for Kikwete's presidential campaign.

Last April, London-based journal, Africa Confidential claimed that he had been given two million US dollars by the Oman government as campaign funds for Kikwete.

Kikwete, Tanzania's Foreign Affairs and International Co-operation Minister had vowed to sue the journal over the report, but since his nomination as CCM presidential candidate in May, he has said nothing about the report.

The London journal has challenged him to go to court insisting it has overwhelming evidence to back its claims.

There was no immediate reaction to Mtikila's allegations from either Aziz or Kikwete.

Dar es Salaam - 16/09/2005

Naona kuna kina Shawn Hannity wa Fox News kila mahali ... once again unsubtantiated allegations!
 
Back
Top Bottom