LEMONT BISHOP
Member
- Oct 29, 2014
- 85
- 88
wenye wivu kajinyongeni tuuuu
tazama guu hilo PASCO
tazama guu hilo PASCO
Heheheheheh
Kila.mtu ana uhuru wa maoni
Haki ya kumkaribisha atakae
Tena namkaribisha haswa aanze kushusha mavideo akilamba passport
Unaweza iita ass.kissing, ass.licking au hata madole kabisa....... ila sifanyi upendavyo
aaaahaaaaa kazi zote izo bd mlikua mnakaa vyumba va uwani makumbusho aaaaahaaaaa waongopee wasokujua byeeeeee
sure beef liishe kiroho safi jamani
mi naonw hayana maana mabeef
jua ulianza ulimiii ndo meno yakajaaaaa
namuamini mwenyezi ndio mtoa hajaaaaaa
kuharibu hamuwezi alopangiwa mjaaaaa
heshima yangu imewatia kiburi mnanipaka matopeeeee
aahhh na utu wangu umewatia jeuri mnaona mnilipee
aah bas wenzanguuuiiiiiuuu
huo sio ujabaliii iiiiii
kwake mtasubiri sana ni bure yenu majunguuuu
aogopa ya subhanAA sikhofu ya mlimwengu
FATMA MCHARUKO HUYOOOOO
hayo ni marumpe rumpeeeeee
aaaahaaaaa kazi zote izo bd mlikua mnakaa vyumba va uwani makumbusho aaaaahaaaaa waongopee wasokujua byeeeeee
sijamdharau yoyote waulize hao waloniambia nimjengee mzee wangu so ulitaka nimjibu nini kwa mfano so ulitanga niongope nikufurahishe wewe au!!!!?????sina ninaemchukia nilichosema ni ukweli kama kusema ukweli ni chuki haya-
Natanguliza samahani kwani najua nitakukwaza.Hivi wamchukiaje usiyemjua kias hicho??ata kama unamjua kwann ubebe chuki kubwa namna hiyo?au ndo kununua ugomvi?Maneno ya kinywa chako yamejaa kiburi na kujikweza utadhan una mkataba na Mungu.Ukiwa mwenye mafanikio tambua kuwa ni Mungu amekuwezesha na kukubariki usidharau wengine na ambao sawa na baba zako.
Mimi Linda angekuwa mke wangu kazi yangu mie moja tuu...Kila baada ya miezi 9 namzalisha hakuna la zaidi na nazidi kumpenda
maana kwanza amekaaa kupendwa pendwa vileeee.
japo ni mke wa mtu lakini nita tubu tuuuu.. Usiku ukifika napiga YATHAWAAAAB THUBALAIYNAAAAAAA WAGHFIRLANAAAA YATHAWAAAAAB
Really haikuwa nyumba kubwa iliozungukwa na mafridge ha ha haa your so damn bitter. I aint got time for this let me just help you feel better tulilala nje hatukuwa na pa kuishi
YOU COULDN'T SAY IT ANY BETTER thank youKuna vitu vingine ni irrelevant kabisa wala mtu hawezi kunidrive kuanza kuvielezea.As long as I know who is LB and what she does na kwamba sio mkimbizi (hapa I passed through different docs and writings ambazo zinamuongelea and am satisfied)Hayo mengine ya visa sijui passport sina muda wa kuyaongelea hata LB mwenyewe asijisumbue kuridhisha watu kila siku kuongelea jambo lile lile tu. Yaani mtu anataka umuelezee mpaka process zote sasa why ilienda hivi ikawa vile ndo maana hii ikatolewa jan ile ikatolewa march.......hayo majina yakafanya fanya nini ndo maana yametofautiana......khaaa serious kabisa??? Hilo la majina si walimgomea na kipindi kile akawaeleza? And usisahau Matola.....binadamu tulivyo....mtu anaweza akahisi joto akakwambia niwashie feni ukawasha lakini akasema inamletea kikohozi na mafua hivyo umuwashie AC, ukawasha tena na bado akakwambia inamuumiza kifua umpepee!! LolAnyways......LB should not waste her time in explanations, people will only hear what they want to hear! Kikubwa tu aachene na ugomvi kama kuna watu watataka kumfuatilia saaaana its up to wao!!!
Really haikuwa nyumba kubwa iliozungukwa na mafridge ha ha haa your so damn bitter. I aint got time for this let me just help you feel better tulilala nje hatukuwa na pa kuishi
aaahaaaa u gay bd unanifatafata why????!!!!!aaaahaaaaaaa daah nauwezo wa kukulisha wewe hata miaka kumi bila shida yoyote so acha kunifatafata na uhakika asilimia 200 hunipati hata robo.....njoo block D mererani mybe unaweza kua mwanaapolo wangu byeeeeeUnakimbilia wapi? Bring back ur ass<
Wewe lini walikuomba sehemu ya kulala? Au ndio ushujaa wa nyuma ya keyboard?
Wengine nyinyi nje ya JF hufikii hata standard za mbwa wangu wala hupati matibabu kama ya mbwa wangu, huu ni ujasili wa fake id tu.
aaahaaaa u gay bd unanifatafata why????!!!!!aaaahaaaaaaa daah nauwezo wa kukulisha wewe hata miaka kumi bila shida yoyote so acha kunifatafata na uhakika asilimia 200 hunipati hata robo.....njoo block D mererani mybe unaweza kua mwanaapolo wangu byeeeee
KWELI karne tuliokuwa nayo ya mambo ya VIZA za fingerprints na computer kuna ku forge VISA????? you guys are sick SMH
Hahahaaaaaaaaa! TAJAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kwani kitu gani banaaaaaaaaaaaa! MIMI NIMEALIKWA RASMI NA BABY, ngoma inakesha hiii. Nimechoka kuvua vidagaaaa, nataka niliwahi PAPA mieoa
Fanya kazi mamaa yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Hata kama mlilala makoridoni hayo yalikuwa ni maisha yenu sasa hivi tunaangalia who is LB!
But kuna habari ambazo hazifurahishi kuhusu maisha ya baba yako ambaye anadaiwa kuishi maisha magumu ilhali we mwanae unaishi vizuri na haumjali. Sikupangii maisha yako na vilevile sikutuhumu.....ila kama ni kweli nakusihi na nnakushauri pia.....ifike pointi usijiangalia wewe tu umkumbuke na baba yako si vizuri kumuacha mzee aishi kwenye mazingira magumu.
Otherwise.....kwakuwa wewe pia ni mtu mzima na ulisema wampenda baba yako....then do the needful....ufanye upendo wako uonekane kwa vitendo.