Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,994
Langu jicho ya Jokha Khasimu ikuburudishe, na TOP IN TOWN ya Khadija Kopa ikutafutie usingizi.:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
bila kusahau"penye neema"kutoka kwa mariam
au"nipe stara"kutoka kwa rahma machupa
nipe staraaa kwa wanaonichukiaaa
dunia hadaaa ulimwengu shujaa wake
naomba shufaa kwa dunia nistirike mbele yako hakuna shujaa tunajidai makeke
eehhj