LINDA BEZUIDENHOUT
Member
- Feb 2, 2015
- 20
- 75
Thank you Matola :clap2:
Miss Strong, hongera!, umesema mguu ndio kama wako!, na rangi jee?, kama ni kama ya Linda sem tulete mang'ombe?!, au tuje kisasa na viroba na lumbesa?!.
Pasco
Thank you Matola :clap2:
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya
I have got nothing to lose my dear, mm ni msomaji tuu. Ila ukweli utabski ukweli. Mtamuhsribia mwenzenu.
Yy hatokuwa wa kwanza wala wa mwisho ku forge, ila awe mpole tuu. Ujanja ilimponza sungura
mwenye picha ya miguu ya Linda na miguu ya mange atuletee tulinganishe
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya
Aaaaah aaaah!!! Apo chacha dada ake ni shidaaaaa....unanitafuta ubaya unajuaa?? Maana leo ntachambika mpaka hasubuhi...unaniruhusu nitaje team yangu? From moyon kabisaa??
Natumaini wote weekend ilikuwa poa na kama nilivyowaahidi last week nitaingilia kati beef la hawa wanawake kwa heshima ya Mr Mali na watoto zao pia.
Nimefanikiwa kumshawishi Linda aachane na malumbano haya amekubali lakini lazima tuweke record very clear na aliyedanganywa basi fact nitaziweka hapa.
1. Linda siyo mkimbizi
2. Linda anatumia passport ya Tanzania
3. Linda ana permanent resident permit ya US
4. Linda alifanya tour ya europe kwa kutumia Tanzanian passport na alipewa sheghen viza.
Nisikuchoshe wala usinichoshe tupate fact.
Nb: jina la Ishtaq ni la X wake ambapo tataratibu za kulibadiri zilimpotezea muda akaondoka zake.
Hizi ni fact kwa wale wanajimu wanaowaita wenzao wakimbizi.
The end.
Dinazarde Heaven on Earth Avemaria lara 1 warumi and others........
Hhhhhhhaaaaa binam ulipotelea wapi naweee au umewowaaaaa
Visa yake ni ya ku forge. Tusubilie mwisho wake. Mnataka kuwa kufirahisha anonymous haya
naomba kuendelezea tafadhali
nimezaliwa na mama sijatokea shimoniiii!!!
Zari ndo habari ya east africaaa
Binamu ntarudi soon,hakuna cha kunitenganisha na umbea binamu yangu,kwanza naanzaje kuacha? Labda sio warumi mie
All in all .....Linda is beautiful.....hilo tu....
aawwwhhh this is so sweetHapa kanifurahisha!!!
Hahahaaaaaaaaa! TAJAAAAAAAAAAAAAAAAA! Kwani kitu gani banaaaaaaaaaaaa! MIMI NIMEALIKWA RASMI NA BABY, ngoma inakesha hiii. Nimechoka kuvua vidagaaaa, nataka niliwahi PAPA mieoa
Mpwa leo atajiunga wakishaamka Marekani ni usiku mnene muda huu.
Mpwa una kimuhemuhe!!