Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
Basi sawaaaa

Aisee....watu wanasononeka naye.Hilo kama blogger kajitahidi kweli kubond na audiwnce wake ujue....wanajihisi wamoja kabisa.Their emotions are attached yani kawanasa hapo tuuu, ni kwa vile sijui hana rafiki anaye mwamini kumpa matatizo yake personal! Ndo hapoo kila kitu chako anony akijueeee haa, some things ought to be kept private and personal!
 
Jaman matusi anayopata mama zari ni sheeda.... Hiv hii tabia imeshika kasi ivi!

Inabidi huyo Wema aanze kukomea tabia ya hao fans wake. Hao walio na accounts anawajua aongee nao.

Ila mtu akija amua kushikamana nao, watatajana wotebhata kuanzia yeye atawataja. Kama insta wanaweza toa info ikiombwa na watu wa sheria. Insta wakitoa wanaenda kwingine hadi wanapatikana. Mtu unamfata msanii comments mchosho duh

Wamezidi kutukana waTZ gani sijui, wivu mbaya sana.
 
Sijui nini kinamsibu,Mungu ampitishe salama Sisi wote ni Binadamu,hatuna guarantee ya kutokumbwa na matatizo.Mungu ampe wepesi katikia kipindi hiki kigumu anachotraverse valley,hakika Mungu atatengeneza njia.

Ila kwa yeye wengi wachukue funzo wakati yake tambaraleee alikuwa busy kuanika watu na ex-friends wake re matatizo kuwaaibisha...sasa nae anayaona.

Ni bora kuishi na kutoshabikia matatizo ya watu hata kama vipi maana Mungu ndie ajuaye.
 
Kwa hili lazima kajifunza,maana havai tena pete.Ila ndoa bwana ukiwa vizuri usimcheke mwenzako,maana hawa wanaume baba yao mmoja,black or white,yellow or spanish,wote sawa tu.
 
kweli dada unenayo mi simcheki mtu kufarakana ndoani maana mwanaume sio wa quarantee
anytime anabadilika
 
unajua wanaume kwa asili yao,hawapendi mwanamke anaejiamini sana.atahakikisha unakua chini yake na insecure.ndio raha yao hiyo.ukiwa na over self confidence ni ngumu kudumu na mwanaume.tena ukipata pasua kichwa kama wa kwangu mie kama hauna moyo wa chuma na wa kuvumilia aibu kama Zari,mapema unajifia.
 
Hhhhhbaaaaaaaaaaa bwaaah
 
Over confidence sio nzuri, na kuoa ukaishi na mke mwenye tabia zile yahitaji moyo.
 
unajua wanaume kwa asili yao,hawapendi mwanamke anaejiamini sana.atahakikisha unakua chini yake na insecure.ndio raha yao hiyo.ukiwa na over self confidence ni ngumu kudumu na mwanaume.tena ukipata pasua kichwa kama wa kwangu mie kama hauna moyo wa chuma na wa kuvumilia aibu kama Zari,mapema unajifia.

mi siamini km kaachika ukute anatafuta kick kaona blog imepooza
maana nae ana akili ya kucheza na watu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom