Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,662
- 96,930
Natumaini wote weekend ilikuwa poa na kama nilivyowaahidi last week nitaingilia kati beef la hawa wanawake kwa heshima ya Mr Mali na watoto zao pia.
Nimefanikiwa kumshawishi Linda aachane na malumbano haya amekubali lakini lazima tuweke record very clear na aliyedanganywa basi fact nitaziweka hapa.
1. Linda siyo mkimbizi.
2. Linda anatumia passport ya Tanzania.
3. Linda ana permanent resident permit ya US.
4. Linda alifanya tour ya Europe kwa kutumia Tanzanian passport na alipewa sheghen viza.
Nisikuchoshe wala usinichoshe tupate fact.
Nb: jina la Ishtaq ni la X wake ambapo taratibu za kulibadiri zilimpotezea muda akaondoka zake.
Hizi ni fact kwa wale wanajimu wanaowaita wenzao wakimbizi.
The end.
Dinazarde Heaven on Earth Avemaria lara 1 warumi and others.