Exclusive: Ukweli kuhusu Linda Beizudenhout na status yake

Status
Not open for further replies.
aaahaaaa u gay bd unanifatafata why????!!!!!aaaahaaaaaaa daah nauwezo wa kukulisha wewe hata miaka kumi bila shida yoyote so acha kunifatafata na uhakika asilimia 200 hunipati hata robo.....njoo block D mererani mybe unaweza kua mwanaapolo wangu byeeeee

Ngoja nidake fursa niwe apolo siera nipe kazi
 
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا يَسْخَرْ قَوْمٌ مِّن قَوْمٍ عَسَىٰ أَن يَكُونُوا خَيْرًا مِّنْهُمْ وَلَا نِسَاءٌ مِّن نِّسَاءٍ عَسَىٰ أَن يَكُنَّ خَيْرًا مِّنْهُنَّ ۖ وَلَا تَلْمِزُوا أَنفُسَكُمْ وَلَا تَنَابَزُوا بِالْأَلْقَابِ ۖ بِئْسَ الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ ﴿١١﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ ۖ وَلَا تَجَسَّسُوا وَلَا يَغْتَب بَّعْضُكُم بَعْضًا ۚ أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَن يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۚ إِنَّ اللَّـهَ تَوَّابٌ رَّحِيمٌ ﴿١٢﴾

Enyi mlioamini! Watu (wanaume) wasiwadharau watu (wengineo, kwani) huenda (waliodharauliwa) wakawa bora kuliko wao. Na wala wanawake (wasiwadharau) wanawake (wengineo), huenda (waliodharauliwa) wakawa bora kuliko wao. Na wala msikashifeni, na wala msiitane majina ya utani (mabaya). Uovu ulioje wa jina la ufasiki baada ya iymaan. Na yeyote asiyetubu, basi hao ndio madhalimu. Enyi mlioamini! Jieupusheni sana na dhana, kwani hakika baadhi ya dhana ni dhambi. Na wala msipelelezane, na wala wasisengenyane baadhi yenu wengineo. Je, anapenda mmoja wenu kula nyama ya nduguye aliyekufa? Mkalichukia hilo! Na mcheni Allaah! Hakika Allaah ni Tawwaabur-Rahiym (Mwingi wa kupokea tawbah - Mwenye kurehemu).[2]

Kiwewe hiki ama nini? Naona sasa umeamuwa kufunguwa madrasat hapa hapa? Tulia dawa ikuingie vizuri.
 
Linda yani nakupendaje...We mzuri bhanaa, kila wakati unacheka tu mwenyewe...hadi raha yani.

Kuhusu huu ugomvi...nakushauri achana nao, kama dawa umeshampa inatosha, ni wakati wako wa kunyamaza na kudharau kila kitu...

U a muslimah...nikukumbushe ile aya katika Surat Mu'uminuun, Allah anawasifu waumini kuwa ni wale ambao wakijiwa na watu na maneno ya kupuuzi husema AMANI (Hawajibu upuuzi)

Pia Mtume (SAW) anasema "Kama kuongea ni fedha (silver) basi kunyamaza ni dhahabu (gold)

Mnyamazie mama, imetoshaa....though kuna kipindi nlikushauri kwa kutumia ile aya "Na washambulieni kwa kiwango kile kile watachowashambulia"......hahahaaa bt mambo yanabadiloka ama neneee....
 
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا يَسْخَرْ قَوْمٌ مِّن قَوْمٍ عَسَىٰ أَن يَكُونُوا خَيْرًا مِّنْهُمْ وَلَا نِسَاءٌ مِّن نِّسَاءٍ عَسَىٰ أَن يَكُنَّ خَيْرًا مِّنْهُنَّ ۖ وَلَا تَلْمِزُوا أَنفُسَكُمْ وَلَا تَنَابَزُوا بِالْأَلْقَابِ ۖ بِئْسَ الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَن لَّمْ يَتُبْ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ ﴿١١﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثِيرًا مِّنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ ۖ وَلَا تَجَسَّسُوا وَلَا يَغْتَب بَّعْضُكُم بَعْضًا ۚ أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَن يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ ۚ إِنَّ اللَّـهَ تَوَّابٌ رَّحِيمٌ ﴿١٢﴾

Enyi mlioamini! Watu (wanaume) wasiwadharau watu (wengineo, kwani) huenda (waliodharauliwa) wakawa bora kuliko wao. Na wala wanawake (wasiwadharau) wanawake (wengineo), huenda (waliodharauliwa) wakawa bora kuliko wao. Na wala msikashifeni, na wala msiitane majina ya utani (mabaya). Uovu ulioje wa jina la ufasiki baada ya iymaan. Na yeyote asiyetubu, basi hao ndio madhalimu. Enyi mlioamini! Jieupusheni sana na dhana, kwani hakika baadhi ya dhana ni dhambi. Na wala msipelelezane, na wala wasisengenyane baadhi yenu wengineo. Je, anapenda mmoja wenu kula nyama ya nduguye aliyekufa? Mkalichukia hilo! Na mcheni Allaah! Hakika Allaah ni Tawwaabur-Rahiym (Mwingi wa kupokea tawbah - Mwenye kurehemu).[2]

Mashallah..."Kumbushaneni hakika ukumbusho unawafaa wenye kuamini"

Jazaka llah kheir......ujumbe umfikie na mtaa wa pili....
 
Hhhhhhaaaaaaaa ni shigidaaaaaa Linda wauweeeeeeee wengine wanatembelea mikono wakiona hilo guu lazima moyo uweweseke, sura nayo mashaalah ati

Mzurii kama huyuuuu...yani hapo ana 50+
Mungu fundi jamaniii

http://youtu.be/345mQbJi42c
 
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه) أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: ((أَتَدْرُونَ مَا الْغِيبَةُ؟)) قَالُوا: اللَّهُ وَرَسُولُهُ أَعْلَمُ. قَالَ: ((ذِكْرُكَ أَخَاكَ بِمَا يَكْرَهُ)) قِيلَ: أَفَرَأَيْتَ إِنْ كَانَ فِي أَخِي مَا أَقُولُ؟ قَالَ: ((إنْ كَانَ فِيهِ مَا تَقُولُ فَقَدْ اغْتَبْتَهُ وَإِنْ لَمْ يَكُنْ فِيهِ فَقَدْ بَهَتَّهُ)) مسلم

Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Mtume wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) aliuliza: ((Je mnajua maana ya Ghiybah [Kusengenya]?)) Wakasema: Allaah na Mjumbe Wake wanajua. Akasema: ((Ni kumtaja ndugu yako kwa jambo analolichukia)). Akaulizwa: Hebu nieleze, iwapo ndugu yangu anayo yale niyasemayo? Akasema: ((Ikiwa analo hilo usemalo basi umeshamsengenya, na ikiwa hana hilo usemalo basi umeshamzushia uongo))

Acha kudharirisha dini wewe....mara utukane mara uweke maneno ya Allah....wacha utani na mzaha plz.Toa kwanza chuki na inda
 
Linda you rock! You are way so far, acha league na psycho awaye yote...they are outta league and so envious, its not ur gadem problem that u r lucky! Ila id yako itavamiwa...bad idea! Luv u....kama humpendi Linda just kufwa for meeee
 
Acha kudharirisha dini wewe....mara utukane mara uweke maneno ya Allah....wacha utani na mzaha plz.Toa kwanza chuki na inda

Teh teh teh huyo anafikiri kitabu cha Mungu kama gazeti.
Sifa kuu 3 za mnafki kwa mujibu wa quran.

{1} Akiongea husema Uongo
{2} Akiaminiwa Haaminiki
{3}Akitoa Ahadi Hatekelezi

Izo ndizo sifa 3 kubwa za Mnafki!!
 
Sifa kuu 3 za mnafki kwa mujibu wa quran.

{1} Akiongea husema Uongo
{2} Akiaminiwa Haaminiki
{3}Akitoa Ahadi Hatekelezi

Izo ndizo sifa 3 kubwa za Mnafki!!

Ha ha ha kazi kweli....ubinadamu kazi aisee.Yaan mtu unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Leo post moja utairudia hata mara 100 na bado utaweweseka sana.

Hata akiirudia Mara mia inahusika nn na uzuri Wa Linda?
Ooh yes those shit are true so wht ?she fought hard and smart n look WHR she is now "home of everyone dream",yuu esi eiiii
Mpwa let haters hate they won't change the game because hating is all they can do
 
Haya haya..... Matola hivi miguu mizuri ina utamu wake?au Pasco wayajua matumizi mengine zaid ya kutembelea.?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom