EXCLUSIVE Interview with Zitto Zuberi Kabwe at Jamii Forums [Coming Soon]

Status
Not open for further replies.



ningeuloiza kwa mtizamo hu huu na kuongeza Mh. Zito
1. kwanini umeweka mazingira ya jamii kukuona mnafiki.
2. ni lini utabadili utendaji wako kisiasa na kushirikiana na wenzako kwa pamoja.
3. kwa nini ulikubaliana na CCM kutotaja majina ya walioficha pesa ili hali kwetu wananchi kujua ni zaidi ya wahusika kushtakiwa.
4. ni kwanini huna ndoa ili hali umri umepita? au umeoa kwa siri?
5. unafikiri umeshawasaidia wananchi wa jimbo lako kiasi cha sasa kuhemea uraisi?

Ushauri: Jipange subiri 2020 utakuwa umeiva na kwa hichi kipindi jisafishe urudishe imani kw wananchi ambayo hata ukikataa imepotea.
 
Ni tangu lini Zitto ni Muasisi wa Chadema!? unajuwa maana ya Muasisi? huu ndio ujinga uliojaa kwa watu walioijuwa Chadema kuanzia mwaka 2005.

Steven Wassira ni miongoni mwa wasisi wa Chadema na si Zitto Kabwe.

Wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi kuliko kuropoka vitu ambavyo hufahamu...




Swali:una mahusiano gani na mzee wasira?

jibu: Mzee Wasira yupi? Wapo Wazee Wasira Wengi (hahaha). Ila utashi unaniongoza kuwa ni Mzee Stephen Wasira (MP) (Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mawasiliano na Uratibu); huyo ni baba yangu mdogo aliyenyang'anyana ziwa na baba yangu mzazi, Wakili George Wasira, ambaye pia ni mmoja kati ya waasisi wa Chadema
 

So far hadi hapa naweza kuambia kuwa all questions are welcome; na I am kind of really sure kuwa nime imply hivo katika post zilizo fuata katika kuwekea ufafanuzi. That means all questions are valid na ni msingi ili mradi tu yasiwe kama niliyo kuwa nimetolea ufafanuzi.

Hilo swali lako la kwanini hakutaja majina na kwamba una imani kubwa kuwa hatajibu; basi then Jmushi1 utakuwa umemu ‘underestimate’ sana Zitto na pia utakuwa ume ‘underestimate’ significance ya hii interview. Sijaelewa wengine wamechukuliaje hii… BUT to me nataka hii interview iwe na majibu yoote ambayo ni maswali ya wengi juu ya Zitto na shughuli zake. Siifanyi for the sake of just doing it… I am doing it genuinely kwa kutaka kupata kitu cha msingi… Na hicho ndicho kilicho pelekea mimi kuweza vile vigezo ili kuwa na mwongozo mwanana wa mahojiano hayo.

Your long trial justification of your pessimism at least gives a ‘Crystal portrayal’ ni namna gani unaona kama this interview will be a sham. I won’t agree to that… So far kwa brief time tumewasiliana na Zitto, ni muungwana, ni member wa jf hivo najua anajuwa vema members na attitudes zao dhidi yake. I can confidently say kuwa he knows what he is getting himself na that proves that he can handle himself on this.

So niseme kuwa maswali yoote ambayo yamewasilisha hapa yatawasilishwa. Na ukiangalia kwa ukaribu utakuta maswali ni yale yale yanajirudia rudia.
 
Wewe unajidhalilisha bure hapa JF, kwani George Wassira kuwa miongoni mwa waasisi wa Chadema ndio kunamuondolea sifa hiyo Steven Wassira? kwahiyo Zitto Kabwe ni miongoni mwa waasisi wa Chadema? wewe unamquote Easter lakini mimi sina haja ya kumquote Easter kwa kitu ninachokifahamu. siku hizi nasikia mnaitwa Mambulula.
 
AshaDii,

..kwa sasa sijaandaa maswali ambayo ningependa umuulize.

..lakini naomba usiimuulize swali lolote lile linalohusiana na nia yake ya kugombea Uraisi.


Hapa mkuu Jokakuu umenivunja nguvu mbona?! Maana huu ni mtihani... Kama members zaidi ya 10 wameuliza maswali kuhusiana na ugombea wa Zitto ina maana wote hao nitawakwaza kwa kutimiza tu hilo agizo lako.

Noamba niombe msamaha mapema kuwa hilo swali litawakilishwa maana hakuna jinsi ya kulikwepa. Hata hivo mkuu are you not interested kujua ana mpango gani? Tuchukulie unaamini kuwa hata akigombea hatashinda na kisha tangaza niya ya kutogombea ubunge - huna chembe ya curiosity kujua kajipanga vipi akikosa nafasi ya kugombea na hali he has been forever in politics?
 


Tupo pamoja mkuu... Na naomba nikuambie siku hio nitakasirika sana ikitokea hautafuatilia kwa ukaribu. Lol.

Naweza nisikubaline na mawazo yako mengi uliyo nayo juu ya hii interview BUT amini nakuambia kuwa nimekuelewa na nime elewa where it is coming from. Hivo usijali... Tupo pamoja and I hope and pray it turns out for the best.
 

Nashukuru saana kwa Kalix kwa maoni yako... Yoote nitafanyia kazi.
 
kwa nini asjie tu hapa wenye maswali wakamuuliza? Yaani kwa nn maswali 'yachujwe' kwanza ndipo yeye aje (kama atakuja hapa au atayajibu kisha ww utuletee majibu sijajua) ayajibu?


Haiwezekani Bht na inaweza endelea infinitely hio interview. Kutakuwa hakuna control, mwongozo mzuri wala majibu yaliyo pangana tokana na vipengele.

Haya maswali hayataulizwa kama yalivyo, itabidi yapangwe in groups ili kuweza towa majibu mfanano tokana na vipengele mfano kwa post zilizofuatana.
 

JF sio sehemu ya porojo kuna Great Thinkers lete ushahidi wa Steven Wassira kuwa alikuwa mmoja wa waasisi wa Chadema.
 
Tatizo langu nilishampuuza na kumdharau Zitto, wala sina muda wa kumuuliza lolote Kijana anayejiona ni Unique na mwenye akili kulliko wengine.

Umenifanya niwe interested Matola... Kwanini unadhani anajiona unique na ana akili kuliko wengine? Unakubaliana na hiyo dhana ama kukataliana nayo? Nina maana kuwa unam mpuuza sababu anawaza/jiona hivyo ni muongo AMA sababu anawaza/jiona hivyo alafu ni kweli?
 
Mkutano Mkuu wa Kwanza
CHADEMA ilifanya mkutano mkuu wake wa kwanza katika kituo cha Msimbazi kwa siku 3 (kuanzia tarehe 15 hadi 17 Disemba 1992). Mkutano huu ulihudhuriwa na wajumbe kutoka mikoa yote ya Tanzania. Pamoja na mambo mengine, Mkutano Mkuu wa Kwanza ulichagua viongozi wa chama kama ifuatavyo:


[TH="class: text1 style5"]1.[/TH]
[TD="class: subHead1 style2, width: 234"]Ndg. Edwin Isaac Mbiliewi Mtei[/TD]
[TD="class: subHead1, width: 220"]Mwenyekiti[/TD]

[TH="class: text1 style5"]2.[/TH]
[TD="class: subHead1 style2"]Ndg. Ali Suleiman Ahmed[/TD]
[TD="class: subHead1"]Makamu mwenyekiti (visiwani)[/TD]

[TH="class: text1 style5"]3.[/TH]
[TD="class: subHead1 style2"]Ndg. Brown Ngwilulupi[/TD]
[TD="class: subHead1"]Makamu Mwenyekiti (bara)[/TD]

[TH="class: text1 style5"]4.[/TH]
[TD="class: subHead1 style2"]Ndg. Bob Nyanga Makani[/TD]
[TD="class: subHead1"]Katibu Mkuu[/TD]

[TH="class: text1 style5"]5.[/TH]
[TD="class: subHead1 style2"]Ndg. Mustafa. S. Simba[/TD]
[TD="class: subHead1"]Naibu Katibu Mkuu (visiwani)[/TD]

[TH="class: text1 style5"]6.[/TH]
[TD="class: subHead1 style2"]Ndg. Eric Rashid Mchatta[/TD]
[TD="class: subHead1"]Naibu Katibu Mkuu (bara)[/TD]

[TH="class: text1 style5"]7.[/TH]
[TD="class: subHead1 style2"]Ndg. Eric Rashid Mchatta[/TD]
[TD="class: subHead1"]Katibu Mwenezi[/TD]
 

Mdogo wangu katika ndoa.. Asante sana kwa mawazo yako... Hii interview itaendeshwa exactly the way iliendeshwa kama ile niliyofanya na Maxence Melo https://www.jamiiforums.com/great-t...ew-with-jamiiforums-founder-maxence-melo.html or ile ya Mwali kati ya Zomba na Matola.

Zote hizo zilikuwa na side threads na kufanyika Jukwaa la Great Thinkers ambalo kila mmoja ana access ya ku participate kwa kusoma but ni wachache wana access ya kupost. Hii inapelekea kuwe na thread maalum ya ku comment members wote kuhusiana na mahojiano hayo huku wakitoa hoja na mawazo yao... Pamoja saana
 
Safi Ashadii, Mimi maswali yangu yatatokana na majibu ya maswali atakayo ulizwa siku hiyo!

Japo ningependa maswali yote haya yange ulizwa siku hiyo!
 
Zitto, uliwahi kunukuliwa na vyombo vya habari ukisema kuwa utaachana na siasa badala yake utajiendeleza kielimu ili uje kuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu. Je, adhma yako ipo pale pale au mipango imebadilika?
 
Nasita kukujibu swali lako lisije kudhalisha mjadala mwingine na thread kupoteza malengo yake.
 

Majibu yako haya hapa Emmanuel...


  1. Ikiwa ni interview ya kila mmoja kumuuliza kwa wakati mmoja itachukua mda mrefu mno ambao siamini kuwa Mkuu Zitto ataweza ku spare.
  2. Kwa njia hii ya kukusanya maswali kila member wa JF hata asiye na access ya ku post jukwaa la Great Thinker (ambapo itafanyika) kwa sababu zozote anaweza wasilisha swali ama hoja yake.
  3. Mlolongo wa mahojiano utakuwa BORA na rahisi kufuatiliwa kwa urahisi zaidi na bonus ni kuwa mpangilio mzuri.
  4. Unaposema kwa nini asije mwenyewe JF? Mkuu umenisoma vema post ya kwanza? Of coz anakuja mwenyewe hapa kwani yeye ndiye atajibu maswali.
  5. Sijaona kama ni tatizo kama Mkuu Zitto anafuatilia... Tena ni bora zaidi ili hata aanze kuandaa majibu. Huu sio mtihani. Ni mahojiano ambayo tunahitaji kupata majibu yoote kuhusiana na Zitto na hoja zake zote zikiwa kwa pamoja na mpangilio makini.

Alafu tuache mzaha... Ester Wassira ni mtoto mdogo sana Kisiasa ukifananisha na Zitto. Of all people umeona yeye ndio mfano wa Zitto kutumia kuiga? Samahani kama nitakukwaza but unaelewa kweli nini hasa unataka juu ya haya mahojiano?
 
Ni tangu lini Zitto ni Muasisi wa Chadema!? unajuwa maana ya Muasisi? huu ndio ujinga uliojaa kwa watu walioijuwa Chadema kuanzia mwaka 2005.

Steven Wassira ni miongoni mwa wasisi wa Chadema na si Zitto Kabwe.

Mbona kama always wewe huwa umepanic?Ni nini mkuu?Sasa mambo ya kuijua chadema 2005 sijui yanahusiana vipi hapa?Anyways huitaji kunitajia waasisi wa chadema kwakuwa nawafahamu.Nimeuliza hivyo makusudi tu Matola na sihitaji kukueleza wewe.Nimemuuliza Zitto,sio wewe Matola.Usijifanye kujua kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi!
 
Last edited by a moderator:
Zitto si muasisi wa Chadema kama alivyo Dr Slaa naye si muasisi wa Chadema. Thats it.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…