AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
Habari wana JF,
Nimebahatika kuwasiliana na Mbunge wa Kigoma kwa ticket ya CHADEMA, Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe; na kuwasilisha ombi langu la kumhoji 101 kwa kupitia mtandao huu wa JF kwa ruhusa ya Maxence Melo mmoja wa JF Founder. Bahati nzuri sana kiu yangu juu ya kuweza pata hiyo nafasi ya kuweza interview imekuwa na muitikio chanya kutoka kwa Zitto mwenyewe. Namshukuru sana kwa hilo.
Nawasilisha utaratibu wa member yeyote wa JF kuweza kushiriki pia katika huu mjadala ambao naamini na kuwahakikishia kuwa utakuwa ni moto, wa kujenga, wa kupata majibu, wa kuridhisha (nikiweka matumaini makubwa hapa) ama kukera (hasa kwa wasio ridhika kirahisi) na pia kuweza kutoa majibu ya yale mengi ambayo tunajiuliza juu ya Mkuu Zitto ambaye bahati nzuri sana ni verified member wa hapa JF.
Ombi langu kwa members wote ambao wapo intersted:-
Nilikuwa na kiu sana ya kuweza kupata nafasi ya kumhoji Mkuu Zitto kwa niaba ya members wa JF tokana na ukweli kuwa ni mmoja wa wanasiasa vijana ambaye huleta controversies nyingi juu yake na hoja zake. Wanachama wengi hupenda kuongea kwa niaba yake kana kwamba wamjua (it may be true or not); na kuwasilisha hoja zao kana kwamba ni za mwisho (final say).
Naomba ushirikiano wa kuniwasilishia maswali na hoja za msingi, na naomba tutumie hii fursa kuweza jua what Zitto is all about, what he thinks on certain issues, what he stands for, what he believes in AND why he thinks/ believes/stands for what ever it is that he postulates especially on what defines him... i.e POLITICS.
Natanguliza Shukrani kwenu.
Pamoja Saana,
AshaDii.
UPDATE:-
Nimetoa kipengele binafsi naona badala ya kuuliza maswali inasababisha kuenda nje ya topic. Bring it on wakuu ulizeni maswali yenu. Karibuni..
ZINGATIA:-
Mda wa kuweza kuwakilisha (ma)swali mwisho saa tano kamili ya usiku wa leo ya tarehe 19/11/2012. Asanteni kwa ushirikiano wenu.

- Hii thread ndiyo imetoa taarifa hiyo na hapa hapa itatumika kukusanya maswali yoote kwa wale ambao wana kiu ya kuuliza maswali. Naomba nitadhaharishe kuwa maswali yawe ya msingi, ya kujenga na vilevile kuweza kupata majibu ambayo ni muhimu kwa jamii yetu.
- Comments zote za kejeli, matusi, kukashifu ama kuonekana sio msingi wala kutohusiana na hii hoja niliyowakilisha hapa itatolewa kwa msaada wa mods ( Paw, Roulette, Cookie, Fang, PainKiller na Silencer ambao nimewaarifu hapa sasa hivi kwa njia ya kuwa tag - Wakuu naomba msaada wenu wa dhati).
- Maswali yatakusanywa toka kurushwa kwa hii thread hadi pale itakapoonekana kuwa yapo ya kutosha ili nitakapowasiliana na Mkuu Zitto tuwe tayari tumejipanga kwa maswali ambayo yatakuwa faida kwetu, si leo tu bali hata hapo baadae.
- Naomba nisisitize kuwa mahojiano yatakuwa kati ya MIMI na Mkuu Zitto. Hivo nitajitahidi kuwakilisha vema na kuhakikisha kuwa nakusanya maswali ya wanachama yote na kuyaweka katika mlolongo ulio sawa. Kwa mukatadha huu - hii inakuwa kama 'golden chanc'e kuweza kuitumia kwa wale wote wenye kiu ya kuuliza maswali kwa kutaka kujua juu ya yale ambayo Zitto anajua/fikiria/panga.
- Baada ya kukusanywa kwa maswali taarifa itatolewa ya LINI hiyo 'Exclusive Interview' itafanyika. Hiyo thread itarushwa katika Jukwaa la Great Thinkers na kila mmoja ambaye ni member na non-member atakuwa na uwezo wa kufuatilia nini kinaendelea.
Ombi langu kwa members wote ambao wapo intersted:-
Nilikuwa na kiu sana ya kuweza kupata nafasi ya kumhoji Mkuu Zitto kwa niaba ya members wa JF tokana na ukweli kuwa ni mmoja wa wanasiasa vijana ambaye huleta controversies nyingi juu yake na hoja zake. Wanachama wengi hupenda kuongea kwa niaba yake kana kwamba wamjua (it may be true or not); na kuwasilisha hoja zao kana kwamba ni za mwisho (final say).
Naomba ushirikiano wa kuniwasilishia maswali na hoja za msingi, na naomba tutumie hii fursa kuweza jua what Zitto is all about, what he thinks on certain issues, what he stands for, what he believes in AND why he thinks/ believes/stands for what ever it is that he postulates especially on what defines him... i.e POLITICS.
Natanguliza Shukrani kwenu.
Pamoja Saana,
AshaDii.
UPDATE:-
Nimetoa kipengele binafsi naona badala ya kuuliza maswali inasababisha kuenda nje ya topic. Bring it on wakuu ulizeni maswali yenu. Karibuni..
ZINGATIA:-
Mda wa kuweza kuwakilisha (ma)swali mwisho saa tano kamili ya usiku wa leo ya tarehe 19/11/2012. Asanteni kwa ushirikiano wenu.
Last edited by a moderator: