Exclusive Interview Proposal!!

Exclusive Interview Proposal!!

Naham kusikia hawa wakihojiwa.
1.Masanja mkandamizaji na mkewe
2.Asha baraka
3.Patcho Mwamba
4.Vanesa mdee na Jux
5.Muigizaji wa siku nyingi Rey(bongo muvi wanazingua)
6.Iyobo na ishu ya Upunda
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Wakuu na Marafiki wote.
Happy New Year.
Recently interviews zimepoa sana hapa jukwaani...
Hii mambo alikuwa anaifanya sana lara 1, akaja Uran then nikapokea kijiti...
Valentina na yeye akawa anafanya kwa nafasi yake!!

Naomba upendekeze member ambaye ungependa tufanye nae interview.
Ambaye keshafanya usimtaje tena.

Karibuni
Ahsante Mkuu,Napendekeza Miss chagga..kwasababu ni muwazi sana anaweza kukuambia hata yale usiotarajia yeye kusema...
Au Victoire...
 
Naham kusikia hawa wakihojiwa.
1.Masanja mkandamizaji na mkewe
2.Asha baraka
3.Patcho Mwamba
4.Vanesa mdee na Jux
5.Muigizaji wa siku nyingi Rey(bongo muvi wanazingua)
6.Iyobo na ishu ya Upunda
Patcho mwamba
Asha baraka
 
Very Soon nitaruka hewani na mahondaw
Wazo zuri kiwatengu.
Isiwe very soon.. Kwa sasa mahondaw anaumwa anajisikia vibaya... Ameanza dawa leo... Akipona sawa .. As soon as she gets well, she can be interviewed...

Cc: mahondaw

Thanks kiwatengu for the alert though I'm not feeling well kidogo but sitakuangusha because Smart911 is taking a very good care of me so soon I'll be okay. Very soon

Smart911 mylove asante kwa taarifa make nilikua najisikia vibaya sana tu sina habari ya hii alert ukanijulisha thanks so much and
God bless you two.
 
Get well soon...
 
Back
Top Bottom