Exclusive Interview Proposal!!

Exclusive Interview Proposal!!

Mbona watu wanapendekeza wanasiasa utafikiri hili jukwaa ni la siasa, ni vyema kumhoji mhusika atakayependekezwa na wajumbe walio wengi issue zinazoendana na jukwaa lenyewe.
Tunavumiliana tu...
 
Mbona watu wanapendekeza wanasiasa utafikiri hili jukwaa ni la siasa, ni vyema kumhoji mhusika atakayependekezwa na wajumbe walio wengi issue zinazoendana na jukwaa lenyewe.
Mfano mimi nina maswali kwa Dr WP Slaa kuhusu mambo ya MMU... hawezi akanijibu???

Haiwezekani isemekane Mushumbus ndo aliondoka na katibu mkuu wangu, nataka kujua nafasi ya mahusiano kwake....

Hairuhusiwi?

Sawa mkuu.
 
Ingekuwa vyema ungeorodhesha ambao tayari walishafanyiwa interview.
 
Mbona watu wanapendekeza wanasiasa utafikiri hili jukwaa ni la siasa, ni vyema kumhoji mhusika atakayependekezwa na wajumbe walio wengi issue zinazoendana na jukwaa lenyewe.
Una akili mingi sana. Congrats
 
Kwanzia 2012-2014 jf ilikuwa na mambo mengi sana.

Majukwaa ya MMU na CC ndo yalikuwa break ya kwanza baada ya kulog in.

Ilikuwa kila siku lazima ukutane na mada kali kama vile interviews.....Ban nazo hazikuwa mbali.

Lakini kwanzia 2015 mambo yalibadilika........uchaguzi mkuu ulibadilisha uelekeo wa mambo....watu wakawa wanashinda jukwaa la siasa.....kurudi humu wamekuja na story za mke wangu..., kwanini wanawake wana....... wa mikoani na wa Dar..... na story za puchu.
U said it all.
 
Mzizi mkavu ,,miss natafta,miss chagga,

Mmoja wapo kat ya hao wa 3

Zaid ngependekeza mzizi mkavu kama akikosekana hao wengne 2 wafuate
 
Naham kusikia hawa wakihojiwa.
1.Masanja mkandamizaji na mkewe
2.Asha baraka
3.Patcho Mwamba
4.Vanesa mdee na Jux
5.Muigizaji wa siku nyingi Rey(bongo muvi wanazingua)
6.Iyobo na ishu ya Upunda
 
Back
Top Bottom