AiseeKaribu saana mamdogo ----
Ndio mamdogo akeeMamdogo tena?
asante sanaNishukuru uitikio wa ushiriki wako lakin pia nikupongeze kwa kuwa mhudhuriaji mkubwa hapa JF. Hongera sana
Ok,asante sana
kujuana kupitia mtandaoni au kufahamianaOk,
Turudi kwenye mada ya leo. Nadhani sio mara yako ya kwanza kusikia neno online dating hasa ikitegemea wewe ni mtumiaji mzuri wa mitandao kama JF na mengine.
Unaweza kutuambia umeielewaje mada japo kwa ufupi kabla hatujaendelea mbele ?
hahahhh nawakimbia
Heewaala, dunia siku hizi imejisogeza karibu saana...unaweza kufanya lolote kiganjani mwako na limojawapo ni hili la kufahamiana na watu au kuanzisha mahusiano mitandaoni.kujuana kupitia mtandaoni au kufahamiana