shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
dah! miaka sita siyo haba ati! mliishi pamoja? kwanini umesema ilikuwa inamwisho mbaya?
Sikuwahi kuishi nae hata siku moja alikuwa kwake nami nilikuwa naishi na wazazi. And those 6 yrs was baada yakumaliza chuo.
Mmh afu sijaomba ruhusa ya kuzungumza haya mpenzi kiwatengu usinichape tafadhali.
Nimesema iliisha vibaya sababu mi nilimpenda nikajiachia kuroho na kumwili kumbe mwenzangu ana mtu mwingine was sad kwakweli
Last edited by a moderator: