Exclusive Interview! Motion: New relationship over the Old Ones!

nani alimtongoza mwenzie?

Ni yeye alintokea kupitia dada mmoja ambaye alikuwa rafiki yangu...japo hakuwa rafiki yangu sana.
Huyu bwana alikuwa muhamiaji hapo shuleni kwetu na alikuwa mkimya na mstaarabu mno.
 
"mkimya na mstaarabu mno."...haya maneno ntayatumia baadae kidogo!

enhee Nambe kwa hiyo unataka kuniambia kuwa jamaa hakukutongoza yeye mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:

enhee Nambe kwa hiyo unataka kuniambia kuwa jamaa hakukutongoza yeye mwenyewe? ile ya face to face!!
 
Last edited by a moderator:
"mkimya na mstaarabu mno."...haya maneno ntayatumia baadae kidogo!

enhee Nambe kwa hiyo unataka kuniambia kuwa jamaa hakukutongoza yeye mwenyewe?

Alimtumia yule bi dada kunieleza nia yake na kutaka kuonana na mie...
Nilijitahidi kuavoid kuonana nae ila baada ya siku kadhaa alinibamba wakati wa prepo..tukaongea tikakubalia kuongea zaidi siku inayofuata.
Nilimwambia live kama anataka relation na mimi ajue no sex kwa sababu ya heshima niliyonayo pale shule lakini hata mazingira nayo hayakuruhusu japo kuna waliokuwa wanabanjuana vyooni na kwenye vichaka...
Alikubaliana na hayo so taratibu nikaingia rasmi kwenye dunia ya malovee
 
Last edited by a moderator:
kuna moja umejump hapo. kumbuka mwanzoni uliisema! tuzungumzie hiyo kwanza afu ndiyo tuje hii ya sasa..

Sijaruka niliyekutananae sec ndo wa kwanza na kwa wakati huo niliona kama ndo serious relation japo sikujua nifanye nn ili kumkeep.kabla ya huyo ndo wale wakutongozana baada ya mwez mmeachana utoto zaidi hp umenielewa
 
Alimtumia yule bi dada kunieleza nia yake na kutaka kuonana na mie...
Nilijitahidi kuavoid kuonana nae ila baada ya siku kadhaa alinibamba wakati wa prepo..tukaongea tikakubalia kuongea zaidi siku inayofuata.
Nilimwambia live kama anataka relation na mimi ajue no sex kwa sababu ya heshima niliyonayo pale shule lakini hata mazingira nayo hayakuruhusu japo kuna waliokuwa wanabanjuana vyooni na kwenye vichaka...
Alikubaliana na hayo so taratibu nikaingia rasmi kwenye dunia ya malovee

aih! imekaa vizuri. niambie how is dunia ya malovee while no sex?

sa mlikuwa mnafanya mambo gani kuuweka uhusiano updated?
 
Sijaruka niliyekutananae sec ndo wa kwanza na kwa wakati huo niliona kama ndo serious relation japo sikujua nifanye nn ili kumkeep.kabla ya huyo ndo wale wakutongozana baada ya mwez mmeachana utoto zaidi hp umenielewa

nimekuelewa! sasa hebu tuongelee hiyo ya baada ya utoto..au ndiyo hii iliyopo?
 
aih! imekaa vizuri. niambie how is dunia ya malovee while no sex?

sa mlikuwa mnafanya mambo gani kuuweka uhusiano updated?

Kisses n a little romancing mara chache mno inapopatika opportunity...
Kitu nilijifinza love is not all about sex...kwa miaka miwili mfululizo nilikuwa na huyu jamaa without sex.
Na nilikuwa so much inlove wt him..na hii ilichangiwa na uvumilivu na uelewa wake kwangu mie na vimisimamo vyangu...
Nadhanu kwa vile alijua tunatokea mkoa mmoja alijipa moyo kuwa atamega tukikutana likizo.
 
Kwani ulimwambia likizo atamega? au alijipa moyo tu! na je? alifanikiwa kumega? at that period ulikuwa bado hujasex? i mean ulikuwa virgin!
 
Nilimwambia asahau habari ya sex pale shule hivyo moja kwa moja alijiaminisha kuwa likizo ingekuwa poa..binafsi bado nilikuwa sijapanga kufanya nae zaidi ya tuliyokuwa tunayafanya hata kama tungekutana home likizo..ila sikutaka kumwambia nilijua nitaweza kumkwepa mpaka likizo zipite coz hakuwa anajua nyumbani kwetu.
Kipindi hicho nilikuwa sijaguswa kabisa bado...
Tullivunja amri ya sita baada ya kumaluza 4m 4...ilikuwa mwezi wa kumi na mbili tukiwa tunasubiri matokeo.
 
okay! ilikuwa ni wapi? kwenu au kwao? do there any memory of that?
 
Hahahaaa I can still remember it.
Ilikuwa ni kwenye Inn moja ilikuwa jirani na kwao.
Makubaliano haya yalufanyika baada ya route nyingi mno za kuja kwetu mpaka bi mkubwa akaanza kushtukia...
So nlijibeba mwenyewe nikafata dushelele.
 
ha ha ha ha! sitaki kuamini kama ulikuwa una hamu nayo!! i know girls are very hard during there first sex...
so baada ya hapo, did u enjoy the game?
na mlirudia tena baada ya muda gani?(i have reasons to ask u this)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom