- Thread starter
- #21
HahahahahaJaribu kupita Apo uchi
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
time will tell
HahahahahaJaribu kupita Apo uchi
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
[emoji1][emoji1]
Tuongelee reality kwani wapi imeandikwa kwamba mwanaume huwa hanuni? Na wapi exactly imeelezwa kwamba mwanaume anayemnunia mwanamke ana pigo za kike?Hizo pigo niza kike,Sasa kidume ananuna na kumvimbia wa kike.ndio maana mliachana sio mwanaume huyo..
Mkaushie fanya mambo yako wanaume wapo wengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] hauoni kuwa bado mnapendana ninyi?Sio kukumbushia viporo kuachana sio vita mtu nikimsalimia asipojibu salamu huwa najisikia vibaya
time will tell
Mmeshajua kuwa akiwasalimia wengine lazima jamaa apatwe na wivu wa ki x boyfriend . [emoji23][emoji23] aiseee wanawake salute kwenu.Mtoa mada fata huu ushauri haki nakuambia majibu utayafurahia