Watu wengine shughuli zao wanafanyia vijiweni dada.Halafu huyo ni jipu wewe unapita unaenda kazin8 yeye anashinda kijiweni.
Bora tu mlivyoachana
Nimepita mahala nimekutana na EX boy wangu nimempa salamu kiroho safi hajanijibu ananiangalia tu.
Hivi atakuwa anaona najipendekeza? Na kila siku lazima nipite pale anaposhinda maana ndio njia yangu ya kwenda kazini.
Waungwana mnisaidie mawazo lipi jema kupita bila kusalimia nimuache na kiburi chake au niwe namsalimu tu hata kama hajibu salamu zangu?
Time will tell