Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Katika viumbe vyenye dharau na wenye kujisahau ni hawa watoto wakike ,pole kiongozi na shukuru mungu kwa kupona majiraha ...

Mimi nilishawahi kataliwa enzi hizo sina kitu akaja olewa na mtu ambaye kwa wakati huo alikuwa na vyuma(pesa) ila mambo hayakuchukuwa muda kwa upande wao kubadilika na kushuka chini na mimi kuja juu ,[emoji23] alijirudi ila huwa namwambia huwa sisahau ubaya mtu naonifanyia kama ilivyokuwa unaponifanyia jema [emoji23] haya maisha yaache tu kama yalivyo ,tujifunze kutokumaliza maneno
Asante hapo " alijirudi" ebu tuweke vizuri.
Maana alishaenda kwa mtu mwingine. Mwenye mada tunajua "alipojirudi" nini kilitokea.[emoji16]
 
Katika viumbe vyenye dharau na wenye kujisahau ni hawa watoto wakike ,pole kiongozi na shukuru mungu kwa kupona majiraha ...

Mimi nilishawahi kataliwa enzi hizo sina kitu akaja olewa na mtu ambaye kwa wakati huo alikuwa na vyuma(pesa) ila mambo hayakuchukuwa muda kwa upande wao kubadilika na kushuka chini na mimi kuja juu ,[emoji23] alijirudi ila huwa namwambia huwa sisahau ubaya mtu naonifanyia kama ilivyokuwa unaponifanyia jema [emoji23] haya maisha yaache tu kama yalivyo ,tujifunze kutokumaliza maneno
Mkuu upo kama mimi huwaga sisahau ubaya

Ukinifanyia ubaya leo hata kama ni miaka mia mbele lazima nilipize
 
Iko hivi..

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja MZURI HATARI..

Alionekana na STRESS kiasi na mzee baba nikajikaza na KUOMBA NAMBA.

Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni STRESS ZA KUKOSA AJIRA.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi IKAANZA HAPO.

Alikua anakuja sanaa GHETO mpaka nikamkabidhi FUNGUO, akawa anakuja MUDA WOWOTE ATAKAO mi nikiwa Job (niliajiriwa fasta sanaa baada tu ya kumaliza chuo)

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona "KULALA NA MTOTO WA MTU NDANI BILA WAZAZI WAKE KUJUA ALIPO SIO POA""

Nikawaza nimletee wazo la NDOA, maana katika story zetu ALIKUA AKILIZUNGUMZIA SANAA "Mr. Liverpool UTANIOA LINI au ndio UNATANIT*MBA tuu?""

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote TUNAINGIZA KIPATO.

Nili HUSTLE sanaa KUTUMA APPLICATIONS kila ofisi NIKISIKIA hata TETESI NATUMA.

Mara MUNGU BARIKI akapata SERIKALINI.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio WAKATI WA KULETE PROPOSAL YA NDOA.

Nilivyo iwakilisha mbele yake jibu alilonijibu ""MIMI SIWEZI KUOLEWA NA KAFIRI""

Aisee asikwambie mtu ""LILE JIBU LILINIUMA SANAA TENA SANAA""

Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikua tarehe 01/May) Mara tarehe 20/May NAONA anapost FB picha za NDOA, tena na BAHARI waliokutana OFISINI kwenye KAZI NILIYOMTAFUTIA MIMI..!!!!

Dah yule Dada aliniuma sanaa... Yaani KUJITOA KOTE KULE LEO HAYA NDIO MALIPO YANGU. #KAFIRI

Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9..
Mara NAMBA NGENI IKAINGIA..
Kupokea KUMBE ni yeye.

Tuliongea mengi ila alileta PROPOSAL ANATAKA KURUDI KWA KAFIRI..!!

Kisa mumewe ameoa MKE WA PILI na yeye UKE WENZA HAUWEZI.

NILICHOMJIBU "PAMBANA NA HALI YAKO, MI SIWEZI KUFANYA HIVYO""

Yeye:- ""Basi hata uwe mchepuko wangu?""

Mimi:- ""Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka""

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane...

Tukakutana mitaa ya uwanja wa ndege.
Aisee....
Amekonda
Tako loote LIMEYEYUKA
Shape yotee IMESEPA..

Yaani MPAKA NIMEMUONEA HURUMA.

Tuliongea sanaa na Nikamuomba kuondoka.

Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "SIWEZI KUKUSAIDIA KWA LOLOTE""

JAPO NIMEMUONEA HURUMA sanaa ila "KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA""

UKIPENDA PENDEKA MTOTO WA KIKE.

Wanaume TUTUMIE KICHWA KIKUBWA cha JUU, cha CHINI huwa KINATUDANGANYA SANAA.

#ASANTE
#YNWA
Kumbe ni muislam
Naomba mkuu kwa baraka zako unipatie hiyo binti
 
"If you don't love me now don't love me later, when my later is much created"
Katika viumbe vyenye dharau na wenye kujisahau ni hawa watoto wakike ,pole kiongozi na shukuru mungu kwa kupona majiraha ...

Mimi nilishawahi kataliwa enzi hizo sina kitu akaja olewa na mtu ambaye kwa wakati huo alikuwa na vyuma(pesa) ila mambo hayakuchukuwa muda kwa upande wao kubadilika na kushuka chini na mimi kuja juu ,[emoji23] alijirudi ila huwa namwambia huwa sisahau ubaya mtu naonifanyia kama ilivyokuwa unaponifanyia jema [emoji23] haya maisha yaache tu kama yalivyo ,tujifunze kutokumaliza maneno
 
Duuh, msamehe tuu kwa maneno hayo ya dini. Niko muangalifu sana kwenye kusema dini ya mtu. Huwa naheshimu sana imani ya mtu, maana imani ya mtu ilipo ndipo alipo, ukimdhihaki kwenye imani yake tuu umemharibu... Na mahusiano hayawezi kuwepo.

Matata K.
kafiri maana yake mpingaji(protestant),kwa muktadha wa uislam ni mtu anayepinga uwepo wa mungu mmoja muumba wa vyote,ukiisoma sana quraan utagundua kuna tofauti ya kafiri na mkiristo na myahudi,mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mwanamke wa watu wa vitabu(mkiristo na myahudi) ila mwanamke wa kiislam haruhusiwi kuolewa na mtu asiyekua muislam,huyo dada lugha yake haikua nzuri,angemwambia tu dini hairuhusu
 
Yani ndugu unchopitia ndo exactly nnchopitia now....girl tuliachana kisa tu nilikosa ajira n sikuwa na pesa...!!

Nikafight ktafta pesa mpk sasa mambo ymekaa vzuri

Now ameanza kurudi...!!anataka kurudi...nkampa makavu "atulie na bwanake(anasema hana)"

Na ameisha kweli...!!ht kupiga video calk anaogopa...!!

Cha kufanya nikaingia whatsapp nkampa block
Kwenye cm nkampa block...!

Kila mtu apambane na maisha yake
 
Hujafanya vema. Nimekuwa nikimsaidia ex wangu pale ninapoweza,ana stress flani hivi na sipendi kuona mtu anateseka. Jambo jema ni kwamba aliniacha bila kashfa,hatukukosana bali alipunguza mawasiliano kwangu. Kila muda nalalamika mwishowe nikamkalisha chini akadai anataka muda. Sikukosea nilimpa alichotaka
 
Safii...!
 
Amefanya vyema sana. Case yako ni tofauti. Soma tena.
 
Ma
Iko hivi..

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja MZURI HATARI..

Alionekana na STRESS kiasi na mzee baba nikajikaza na KUOMBA NAMBA.

Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni STRESS ZA KUKOSA AJIRA.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi IKAANZA HAPO.

Alikua anakuja sanaa GHETO mpaka nikamkabidhi FUNGUO, akawa anakuja MUDA WOWOTE ATAKAO mi nikiwa Job (niliajiriwa fasta sanaa baada tu ya kumaliza chuo)

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona "KULALA NA MTOTO WA MTU NDANI BILA WAZAZI WAKE KUJUA ALIPO SIO POA""

Nikawaza nimletee wazo la NDOA, maana katika story zetu ALIKUA AKILIZUNGUMZIA SANAA "Mr. Liverpool UTANIOA LINI au ndio UNATANIT*MBA tuu?""

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote TUNAINGIZA KIPATO.

Nili HUSTLE sanaa KUTUMA APPLICATIONS kila ofisi NIKISIKIA hata TETESI NATUMA.

Mara MUNGU BARIKI akapata SERIKALINI.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio WAKATI WA KULETE PROPOSAL YA NDOA.

Nilivyo iwakilisha mbele yake jibu alilonijibu ""MIMI SIWEZI KUOLEWA NA KAFIRI""

Aisee asikwambie mtu ""LILE JIBU LILINIUMA SANAA TENA SANAA""

Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikua tarehe 01/May) Mara tarehe 20/May NAONA anapost FB picha za NDOA, tena na BAHARI waliokutana OFISINI kwenye KAZI NILIYOMTAFUTIA MIMI..!!!!

Dah yule Dada aliniuma sanaa... Yaani KUJITOA KOTE KULE LEO HAYA NDIO MALIPO YANGU. #KAFIRI

Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9..
Mara NAMBA NGENI IKAINGIA..
Kupokea KUMBE ni yeye.

Tuliongea mengi ila alileta PROPOSAL ANATAKA KURUDI KWA KAFIRI..!!

Kisa mumewe ameoa MKE WA PILI na yeye UKE WENZA HAUWEZI.

NILICHOMJIBU "PAMBANA NA HALI YAKO, MI SIWEZI KUFANYA HIVYO""

Yeye:- ""Basi hata uwe mchepuko wangu?""

Mimi:- ""Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka""

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane...

Tukakutana mitaa ya uwanja wa ndege.
Aisee....
Amekonda
Tako loote LIMEYEYUKA
Shape yotee IMESEPA..

Yaani MPAKA NIMEMUONEA HURUMA.

Tuliongea sanaa na Nikamuomba kuondoka.

Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "SIWEZI KUKUSAIDIA KWA LOLOTE""

JAPO NIMEMUONEA HURUMA sanaa ila "KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA""

UKIPENDA PENDEKA MTOTO WA KIKE.

Wanaume TUTUMIE KICHWA KIKUBWA cha JUU, cha CHINI huwa KINATUDANGANYA SANAA.

#ASANTE
#YNWA
Majogoo wa jiji hongera sana na huo ndio uamuzi wa kiume..kamwe usirudi nyuma
 
Wanawake hua wanarudi wakiwa na target...!!either kukuangusha au kkuua kabisaaa....!!tena ogopa sana ex ulompenda sana akitaka kurudi...!!

Wew dem miaka mi2 anakuambia hajawah kuwa na mtu...bdae anakuambia nilikuwa na mtu lakin ht paja hajawah kunigusa...!!

Mimi ndo maana hata ckutaka kujiuliza mara 2...!!haijalish ananitafta kwa mema au mabaya....!!siwezi kuweka mawasiliano na ex

I agree 100%...
 
Wanawake huwa wanapoteaga vibaya ni wazuri wa kutema bigiji kwa karanga za kuonjeshwa.
Hata mimi ningekuwa wewe ningefanya hivyohivyo, urafiki unaweza usife iwapo eye atasisitiza ila hautakuwa wa karibu na mapenzi ndo kabisaaa hayatakuwepo.

Matata K.
 
Back
Top Bottom