Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Kasie yule wa kugawa 500k kwa yeyote atakayeona gari yake yenye plate namba maalum ya jina lake leo anatafuta pesa ya bata!
Makubwa
Nipe mie hiyo tenda ya kuwa mteja wa jumla, nna kiwi cha hela ya kula bata....

Matata K.
 
Kama ww ni mwanamke nakupa pole sana maana una akili finyu kwasababu sex ni kitendo cha furaha kwa wote na si kwa mwanaume tu ko kiuhalisia hamna malipo ya sex
Pili kama ww ni mwanaume nakushaur kumlipa mtu uliesex nae hakufany upendwe zaid...
Jombaa soma katikati ya mistari. Hakuna mahali nilisema kuwa alilipwa ili ampende. Nimesema; Achukulie kuwa ni malipo kwa service aliyokuwa akipewa daily.
Pili; Hakuna kidume anayelipia service ili apendwe
 
Aya sasa nimemaliza kote, nasubiri wengine watoe ushuhuda [emoji16][emoji16][emoji16]
 
We ndo husomagi thredi bali kuwajibu wachangiaji. Umeambiwa, dem keshaachana na jamaa kwani jamaa kaoa ingine ya pili. Umesikia?? Ushauri wangu ni kuwa; Jamaa akumbuke tu kiporo chake. Ila, kulinganisha ati, amekonda, tako limeyeyuka, etc hiyo inaonesha kuwa bado anampenda dem. Achukue, amlishe vizuri, na muda sio mrefu atanona tena na kuleta ile wowowo.
Afya ni pamoja na matunzo huyo aliyemchukua hakujua kutunza
Bado hujasoma thread mkuu huyo demu kakimbia tu kwavile kaona kawa mke wa pili hajatalikiwa huyo mume wake aliyemuoa akimtaka hata kesho tu anachukua anamtafuna bila huyu Mzee WA anfield kufanya lolote

Soma thread mkuu hebu msome hapa chini [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Mwaka huu mwezi wa 9, mara namba ngeni ikaingia. Kupokea kumbe ni yeye. Tuliongea mengi ila alileta proposal anataka kurudi kwa kafiri. Kisa mumewe ameoa mke wa pili na yeye uke wenza hawezi. Nilichomjibu mimi ni "Pambana na hali yako, mimi siwezi kufanya hivyo". Yeye akasema "Basi hata uwe mchepuko wangu?" Mimi nikasema "Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka".
 
Kasie yule wa kugawa 500k kwa yeyote atakayeona gari yake yenye plate namba maalum ya jina lake leo anatafuta pesa ya bata!
Makubwa

Maisha yanabadilika
Leo sio jana
Sio kila siku ni Alhamis
Hela haitoshi siku zote
Siku hazigandi
Hela haijawahi kukosa matumizi hasa kwa mpenda starehe kama kigagula Kasie
Siku hazifanani
 
Nimekuelewa kabisa kabisa
Maisha yanabadilika
Leo sio jana
Sio kila siku ni Alhamis
Hela haitoshi siku zote
Siku hazigandi
Hela haijawahi kukosa matumizi hasa kwa mpenda starehe kama kigagula Kasie
Siku hazifanani
 
Wanaume, tutumia kichwa kikubwa cha juu, cha chini huwa kinatudanganya sana.
Iko hivi...

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja mzuri hatari. Alionekana ana stress kiasi na mzee baba nikajikaza na kuomba namba. Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni stress za kukosa ajira.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi ikaanzia hapo. Alikuwa anakuja sana 'ghetto' mpaka nikamkabidhi funguo, akawa anakuja muda wowote atakao, mimi nikiwa job (niliajiriwa fasta sana baada tu ya kumaliza chuo).

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona kulala na mtoto wa mtu ndani bila wazazi wake kujua alipo sio poa. Nikawaza nimletee wazo la ndoa, maana katika story zetu alikuwa akizungumzia sana "Mr. Liverpool utanioa lini au ndio unanit*mba tuu?"

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote tunaingiza kipato. Nilihustle sana kutuma applications kila ofisi nikisikia hata tetesi natuma. Mara Mungu bariki akapata serikalini.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio wakati wa kuleta proposal ya ndoa. Nilivyoiwakilisha mbele yake jibu alilonijibu "Mimi nafikiri siwezi kuolewa" Aisee! asikwambie mtu.Lile jibu liliniuma sana tena sana. Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikuwa tarehe 01/May), mara tarehe 20/May naona anapost Facebook picha za ndoa, tena na 'baharia' waliokutana ofisiniI kwenye kazi niliyomtafutia.

Dah! Yule dada aliniuma sana. Yaani kujitoa kote kule, leo haya ndio malipo yangu? Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9, mara namba ngeni ikaingia. Kupokea kumbe ni yeye. Tuliongea mengi ila alileta proposal anataka kurudi kwa kafiri. Kisa mumewe ameoa mke wa pili na yeye uke wenza hawezi. Nilichomjibu mimi ni "Pambana na hali yako, mimi siwezi kufanya hivyo". Yeye akasema "Basi hata uwe mchepuko wangu?" Mimi nikasema "Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka".

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane. Tukakutana mitaa ya Uwanja wa Ndege. Aisee! Amekonda. Tako lote limeyeyuka. Shape yote imesepa. Yaani mpaka namuonea huruma.

Tuliongea sana na nikamuomba kuondoka. Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "Siwezi kukusaidia kwa lolote". Japo namuonea huruma sana ila "Kila mtu avune alichopanda".

Ukipendwa, pendeka mtoto wa kike.

#ASANTE
#YNWA
 
YNWA

Mr Riverpool katika ubora wake. Natumai uko powa mkuu, kitambo sana tangia enzi za Lady doctor
 
Back
Top Bottom