Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Ex wangu bana! Mungu amsaidie tuu

Iko hivi...

Mwaka 2013 nilimaliza Bachelor na kurudi Dar, nilikutana na mtoto mmoja mzuri hatari. Alionekana ana stress kiasi na mzee baba nikajikaza na kuomba namba. Nilivyompeleleza baadae nikagundua ni stress za kukosa ajira.

Baada ya wiki kadhaa nikamtongoza na safari ya mapenzi ikaanzia hapo. Alikuwa anakuja sana 'ghetto' mpaka nikamkabidhi funguo, akawa anakuja muda wowote atakao, mimi nikiwa job (niliajiriwa fasta sana baada tu ya kumaliza chuo).

Kwa malezi yangu niliyolelewa nikaona kulala na mtoto wa mtu ndani bila wazazi wake kujua alipo sio poa. Nikawaza nimletee wazo la ndoa, maana katika story zetu alikuwa akizungumzia sana "Mr. Liverpool utanioa lini au ndio unanit*mba tuu?"

Ila kabla ya ndoa nikawaza nimtafutie ajira ili tuingie ndani ya ndoa tukiwa wote tunaingiza kipato. Nilihustle sana kutuma applications kila ofisi nikisikia hata tetesi natuma. Mara Mungu bariki akapata serikalini.

Ikapita miezi 3 nikaona ndio wakati wa kuleta proposal ya ndoa. Nilivyoiwakilisha mbele yake jibu alilonijibu "Mimi nafikiri siwezi kuolewa" Aisee! asikwambie mtu.Lile jibu liliniuma sana tena sana. Nilivyomwambia tuoane kila mtu abakie na dini yake (ilikuwa tarehe 01/May), mara tarehe 20/May naona anapost Facebook picha za ndoa, tena na 'baharia' waliokutana ofisiniI kwenye kazi niliyomtafutia.

Dah! Yule dada aliniuma sana. Yaani kujitoa kote kule, leo haya ndio malipo yangu? Time heals na nikasahau..

Mwaka huu mwezi wa 9, mara namba ngeni ikaingia. Kupokea kumbe ni yeye. Tuliongea mengi ila alileta proposal anataka kurudi kwa kafiri. Kisa mumewe ameoa mke wa pili na yeye uke wenza hawezi. Nilichomjibu mimi ni "Pambana na hali yako, mimi siwezi kufanya hivyo". Yeye akasema "Basi hata uwe mchepuko wangu?" Mimi nikasema "Siwezi aisee kumzunguka mwana kwa nyuma japo yeye alinizunguka".

Juzi kati nikapata safari ya kwenda Dar, akaniomba tuonane. Tukakutana mitaa ya Uwanja wa Ndege. Aisee! Amekonda. Tako lote limeyeyuka. Shape yote imesepa. Yaani mpaka namuonea huruma.

Tuliongea sana na nikamuomba kuondoka. Aliendelea kuomba ila nilichomjibu "Siwezi kukusaidia kwa lolote". Japo namuonea huruma sana ila "Kila mtu avune alichopanda".

Ukipendwa, pendeka mtoto wa kike.

Wanaume, tutumia kichwa kikubwa cha juu, cha chini huwa kinatudanganya sana.

#ASANTE
#YNWA
Basi kwa ukweli ulikuwa humpendi, unamdanganya tu .Sayansi inatufundisha kuwa kama ulikuwa unampenda ni lazima ungemsaidia japo umridhishe kwa siku moja, pengine hata wiki kadhaa. Lakini kitendo cha kumtolea nje bila hata kufikiria maara mbilimbili ni dhahiri hakuwa chaguo laako labda ulitaka umfaidi uchi wake basi umtelekeze
 
ivi unajua maumivu ya kuumizwa ndg yangu?, usiombe yakupate

Kashakua MKE WA MTU.
Na mke wa mtu ni SUMU...

#YNWA
 
Acha roho mbaya we mtoto wa kiume. Alitamani mwenzio aliyekuwa juu kipindi hicho akaona sio vyema kukuibia ukiwa humuoni acha ajioneshe wazi.
Kuhusu kumtafutia kazi ulikuwa wajibu wako kwani ulikuwa unamnanihiii kila siku ka mkeo hivyo hiyo ikawa ka shukrani za kupewa kila siku. Usimlaumu alipompata mtu wa kumwambia amuoe. We ulichelewa kidogo huku mwenzio alishawahi kupropose.

wazo langu;
Kama hujaoa, mpokee upya. Sasa keshajifunza maisha. Atashika adabu kwako milele hutomsikia nje tena.
 
i see lakini divai ya zamani ni bora zaidi kuliko mpya
Hakuna icho kitu ata siku moja,...huwez shindwa kumpenda mtu anayekupenda ss na akakuonyesha thamani yako eti kisa mtu aliyepita, siwez punguza upendo kwa mtu eti kisa aliyepita...sifanyi huo ujinga.
 
Acha roho mbaya we mtoto wa kiume. Alitamani mwenzio aliyekuwa juu kipindi hicho akaona sio vyema kukuibia ukiwa humuoni acha ajioneshe wazi.
Kuhusu kumtafutia kazi ulikuwa wajibu wako kwani ulikuwa unamnanihiii kila siku ka mkeo hivyo hiyo ikawa ka shukrani za kupewa kila siku. Usimlaumu alipompata mtu wa kumwambia amuoe. We ulichelewa kidogo huku mwenzio alishawahi kupropose.

wazo langu;
Kama hujaoa, mpokee upya. Sasa keshajifunza maisha. Atashika adabu kwako milele hutomsikia nje tena.
Ushaambiwa demu kaolewa Ila mke wa pili sasa Mwenzako unataka aoe mke wa mtu
Nyi ndio namsoma thread mna majibu yenu ya ku comment
Hata Kama Vipi kama aliona anachelewa mwache awahi huko huko sasa anarudi nyuma kasahau nini
 
We ndo husomagi thredi bali kuwajibu wachangiaji. Umeambiwa, dem keshaachana na jamaa kwani jamaa kaoa ingine ya pili. Umesikia?? Ushauri wangu ni kuwa; Jamaa akumbuke tu kiporo chake. Ila, kulinganisha ati, amekonda, tako limeyeyuka, etc hiyo inaonesha kuwa bado anampenda dem. Achukue, amlishe vizuri, na muda sio mrefu atanona tena na kuleta ile wowowo.
Afya ni pamoja na matunzo huyo aliyemchukua hakujua kutunza
 
Kuna mmoja alisema "nilinichukulia poa" nimsamehe, sikuonyesha kuwa aliwahi niumiza lakini mchezo aliuotaka nilimnyima katakata....aliumia vilivyo
Katika viumbe vyenye dharau na wenye kujisahau ni hawa watoto wakike ,pole kiongozi na shukuru mungu kwa kupona majiraha ...

Mimi nilishawahi kataliwa enzi hizo sina kitu akaja olewa na mtu ambaye kwa wakati huo alikuwa na vyuma(pesa) ila mambo hayakuchukuwa muda kwa upande wao kubadilika na kushuka chini na mimi kuja juu ,[emoji23] alijirudi ila huwa namwambia huwa sisahau ubaya mtu naonifanyia kama ilivyokuwa unaponifanyia jema [emoji23] haya maisha yaache tu kama yalivyo ,tujifunze kutokumaliza maneno
 
Akiwa karibu nawe atanawiri na utamla tu,
Hapa naona amepoteza mvuto wa awali vinginevyo ungemla
Nilimpa WAZO la KUWA MTEJA WANGU wa JUMLA ili apate pesa ARUDISHE TAKO..!!Ila analeta mambo ya KITANDANI..

Nimepita mbali kama JET..

#ASANTE
#YNWA
 
Back
Top Bottom