Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

[emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa huyu aliyesimuliwa hapa ni Kuku Kuchiii .aiseeee [emoji23] [emoji119]
 
Whatever be, lkn kuna cha kujifunza. Ni kama ka copy na paste maisha niliyopitia chuoni
Hii imenitokea kweli nimekuja kuandika humu baada ya huyu ex wangu kuja humu ikabidi niwashilikishe wana jf may be wanaweza kujifunza kitu.
 
Hii theory huwa hawaikumbuki. Huwa wana angalia present. Not future ndipo wanapojiloga.
Wanawake wengi hawajuagi kuwa mwanaume kuwa broke ni temporary situation katika maisha, with the right resource unaweza kuwa mtu tofauti kabisa in a few years!
 
Mr.john tamaa huwa zinawaribu sana. Kutokuona mbele kunawafanya waje wajutie baadae
Kuna demu mmoja mzuri alikuwa anasoma Uraki sec Arusha 2007. Nusu mrangi mpare. Nilimpenda ila aliniacha akamuendea jamaa flan mambo fresh ila siyo tajir. Nimeona picha yake majuzi dah kachakaa wanaume wanajua kuchakaza mademu.
Yamakagashi
 
Hii kauli nzito sana kaka. Binafsi nimeichukilia kwa uzito inamaana kubwa sana.
Kwakweli asemayo mzee wako ni kweli kabisaa
Baba yangu alinambiaga,,Mwanangu siku nilipoacha kuwafukuzia wanawake, nikaanza kujipa Thaman, Mama yako alinifuata mwenyewe[emoji123].


Wanawake wengi. ,, Hawapendi mwanaume akiwa mtafutaji. ,,wanataka wakukute unamaisha.
 
Mlete kwangu atatakata tuu
 
Maamuzi magumu kwa mtu makini na wakati sahihi.

Big up bro
 
Hahahaha eti mbwa wa kike, Umenikumbusha yaliyowahi kunitokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…