Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Akome mi ex wangu alivyogundua sina hela alianza ninyanyasa kupenda out za gharama tukaachana. Mwaka huu tulionana Dar kachoka balaa full kunuka jasho. Tako alilokuwa nalo halipo. Kujirud karudsha mapenzi kakuta nshabeba mke. Yupo zake anapigika.
Mi nilimleta huku kwa ndege japokuwa nilijitutumua sana hela zilinitoka kutokana na ujio wake ila nimejikuta nimefanya jambo ambalo limesuuza roho yangu nae aumie kisaikolojia kama mimi enzi zile.
 
Ulianza mapenzi chuoni kama hivi bado sana kwenye game mimi demu aliyenifuta wenge na kujuta kupenda ni wakati nipo kidato cha pili ila sasa hivi akiniona ananiomba selfie
Ha ha ha ha
 
Mimi enzi zile nilikuwa najifanya john kisomo na dini nilikuwa hata kutukana siwezi ndo huyu akanishika masikio aisee nilijuta.
 
Inaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.

Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo makapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.

Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpr hata mia yangu.

Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
Sipo vizuri kiundishi mkuu tusameheane mkuu.
 
Inaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.

Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo makapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.

Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpr hata mia yangu.

Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
Nilifanya hivyo ili kumtamanisha tu kuwa life now is better japokuwa mi ndege kupanda ni kwa msaada wa safari za kikazi.
 
Ipo, nayo ni kutoa fundisho kwa wanawake
ofcoz japokuwa uandishi wangu mbovu nimetype nikiwa kazini nimetingwa na kazi nimefanya hivi kumuonesha ulivyokuwa unaniliza kwa hali yangu ya uanafunzi haimanishi kuwa ningedumu nayo mpaka leo.Japokuwa nimetumia hela nyingi moyo wangu umeridhika nimemuachia homa.
 
Chochote kinachomtokea mwanadamu huwa kuna sababu,si ajabu ungeishi naye hatua uliyopo sasa hivi usingeifikia.Nasema hivyo kwa sababu haya mambo yamewakuta wengi,na wengine tulishatelekezwa hotelini kisa ni ufukara...lakini mwisho wa siku unampata mtu sahihi na kukufanya kuwa shujaa.
 
ofcoz japokuwa uandishi wangu mbovu nimetype nikiwa kazini nimetingwa na kazi nimefanya hivi kumuonesha ulivyokuwa unaniliza kwa hali yangu ya uanafunzi haimanishi kuwa ningedumu nayo mpaka leo.Japokuwa nimetumia hela nyingi moyo wangu umeridhika nimemuachia homa.
oK, ni kweli yalikukuta, pole na majukumu
 
Inaonekana lile wenge la mapenzi alailokutoa kalirudisha maana ulivyoandika ni full mawenge mpaka inatia uvivu kusoma.

Ila ujumbe umefika. Hawa viumbe hawa Mungu anawaona, enzi hizo makapuku wanakudharau mbayaaaa mbovu. Ukitusua na yeye kashachezea mikuyenge mpaka kapauka ndio anakuona una maana.

Wallah bora hiyo hela nikanunua malaya kuliko nimpr hata mia yangu.

Kila kuku atakula kwa urefu wa shingo yake.
Sawa sawa mfugaji
 
Shida ya hawa viumbe hawezi kukaa na mabwana zao wakajenga future zao, huwa wanaona wanachelewa maisha na kuwahi kutafuta waliofanikiwa baadae giza likiwashinda wanajirudi. So sad!
 
Back
Top Bottom