you just remain neutral cause hata ukijua it won't change anything walishagegedana it is already past you know it is very humiliating to mention someone's mistake otherwise unataka kuanzisha ugomvi ,kama ni mii naenda zangu kula chips yai na azam kola then nalala ujue sharing is caring hahaha
Swali zuri Watu8, usimfanyie mwenzako kile ambacho hupendi kufanyiwa.
patachimbika aende kimyakimya
Ndipo sasa kuna kale kamsemo ka mkuu wa kaya kanashika hatamu wakati kama huu, "ukitaka kula, sharti nawe uliwe"...
Kongosho sikuwezi, umeniacha hoi na mbavu zangu...sasa mwanaume wa aina hiyo si lazima anaishia kufanya DNA test? Lol! Kweli kua unayone. Huyo jamaa yako lazima awe lecturer...maana bila kuwa busy kusoma ili ukafundishe si utampagawisha bure!!
on a serious note, one time i wished i had an ex (not so that i can go screw him, just be evil me and break two hearts at a time!)Go screw ur ex too
Or you go hug a transfomer:majani7::majani7:
Dah jamaa atajipaje uspoon maana anytime akitaka ngozi anaikandamiza
on a serious note, one time i wished i had an ex (not so that i can go screw him, just be evil me and break two hearts at a time!)
:A S angry: :A S angry: :A S angry::A S angry:hey how about this, in what condition will you be if you find out your wife/gf is being screwed by her ex(s)???
R.U.N.G.U ni dawa hatari inayoua wadudu watambao na warukao weka mbali na watoto
''kila nikikutana na girl friends nilioachana nao nawatamani ni do..... (kuto***na).... nao''
Hii ni kauli ya jamaa mmoja.
ckumshangaa coz hata mm imewahi nitokea wakati fulani
Eti mwana jamii ww kwako ikoje?
Huo ndo uzinzi na uasherati...sasa ushasema ni x wako..na wewe umeoa au umeolewa..kwa nini ugegede nje??
Old flames are easy to re-ignite....so they say.
hey how about this, in what condition will you be if you find out your wife/gf is being screwed by her ex(s)???
hapo chacha!
yani unafikir mi nakupenda bure tu!Unajua mtani hii mambo ya kupenda kumega vya watu ni tabia ya kibinafsi sana...
Siye watu wa Pwani huwa twasema, "wako akiwa kwako, asipokua kwako si wako"...
Sasa akifanikiwa kujibu kwa ufasaha vile nimemuuliza, nina uhakika hatakaa afikirie tena hilo swali la kifuska ambalo limeuteka ubongo wake...