#COVID19 Ex-Vice President wa Pfizer, Profesa Mike Yeadon: Chanjo za COVID- 19 si salama

Naunga mkono hoja sichanjwi
 
Ningependa kujua taaluma yako kama hutojali lakini.
 
Upuuzi mtupu
 
Bandiko lako nimeridharau baada ya kutumia neno beberu.
 

Mike Yeadon ame-provide taarifa nyingi sana so far.Na hii ya kwamba mtu aliyechanjwa hawezi kuishi zaidi ya miaka mitatu,nimeipata kwenye taarifa yake moja wapo.Infact hiyo ya miaka mitatu alisema ni an over estimate.Na kama Ex-Vice President wa Pfizer kampuni inayotengeneza chanjo moja wapo,sina sababu yeyote ya ku-doubt taarifa yake
Who then do I believe.
 
Bandiko lako nimeridharau baada ya kutumia neno beberu.
Hiyo sio sababu,sababu ni kwamba wewe ni CIA operative na hili bandiko limegusa maeneo nyeti ya NWO cabal a.k.a mabeberu.
 
Wew ni chizi, jamaa kasema wew ni Gwajiboy uliyepooza
 
Wew ni chizi, jamaa kasema wew ni Gwajiboy uliyepooza
Infact wewe ndiye unayeonyesha kwamba ni chizi.Povu lako halisaidii kitu,lete taarifa mbadala.Ndivyo CIA walivyo wafundisha,ku-ridicule truth tellers,ovyooo....!
 
Umeandika upumbavu tu umetummwa na gwajima


USSR
Katika watu wapumbafu jf nayo inawapumbafu wa kutosha.maana wananunulika kama Malaya tu.kama huyu mwandishi hapa.mambo ya msingi yajibu kisayansi .sio kihunihuni tu kama makamba na watu wake.
 
Wew ni chizi, jamaa kasema wew ni Gwajiboy uliyepooza
Uchizi wangu ni nini,niambie.Halafu inaelekea ulishakutana na wreth ya Magu mahali,kwa nini unachukia Wasukuma kiasi hicho.Don't be stupid,chukia mambo ya mtu,sio mtu.You look queer.
 
Kama ni hiali mbona matangazo kibao mpaka wasanii.je nawaupande wa pili wakifanya hvyo utajisikiaje.
Nice comment.Na mbona hatuoni wasanii wanaoweka wazi ubaya wa chanjo?Kuna jambo hapa tena baya.Sisi kama Watanzania tuamke tukinyamaza tumekwisha.Wenzetu Ulaya wamesha amka sisi lini?Ona jamaa wanavyopambana na polisi👇
 

Attachments

Hii JAMIIFORUMS nilishaishtukia kitambo!!

Wamekuwa vinara wa kuchochea hofu ya CORONA na kujaza watu propaganda.

Hii forum ni ya kuitizama kwa makini sana, sio ya kawaida.
Kabisa.yaani huwa wapo kimaslahi sana na wananunulika sana.we angalia mambo ya mboye kama kuna nyuzi zinazomuongelea kwa kumtetea.ndio utajiuliza ,mbona alikuwa anawafuasi wake wengi fj sasa wameenda wapi.kumbe ni wachumia tumbo tuu.walikuwa wanalushiwa vibando wanakesha wakisifu tuu.sasa vibando hakuna kimya kimetawala.hvyo hawa jamaa ni hatari sana kwa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…