#COVID19 Ex-Vice President wa Pfizer, Profesa Mike Yeadon: Chanjo za COVID- 19 si salama

Tatizo lako unajiona wewe ndio upo sahihi lakini kaa ukijua wapo pia wanaohitaji hizo chanjo usisahau wao pia wana haki.
Hata pamoja na ujinga wao,they have the right to be protected.
 
Tusilazimishane anaetaka achanje asiyetaka asichanje. Kwani wakipata madhara si wao wenyewe. Tujadili mambo mengine kwa sasa.
Hapana,hili ndilo jambo la msingi sana kwa sasa katika taifa letu,hatuwezi kuli ignore..Labda kama wewe sio Mtanzania na ni a NWO impostor.The future of Tanzania as a nation depends 100% on this issue.Wote tukishachanjwa it's over,hatuna taifa tena,it will be a nation of a few zombie serfs and graves,hata sijui nani atachimba hayo makaburi.
 
Ujinga ni mzigo, kweli kuna mtu mwenye akili zake timamu anaweza kuamini upumbavu kama huu???
 
Binafsi nashindwa kuelewa nia ya watu wanaosema mambo mabaya tu kuhusu chanjo, hebu acheni kutupotosha bana
Wanao wapotosha ni hao wanaowaambia uzuri tu wa chanjo.Na hao si wengine,ila ni hayo makampuni yanayotengezo hizo chanjo na washirika wao.Mimi napata faida gani nikikuambia ubaya wa chanjo,sina,at most nakusaidia usipate madhara.Ila wao wanafanya biashara na ku-depopulate Tanzania na the World,ili watawale resources zote.
Amkeni jamani,they are after you.

Soma tena bandiko,utaelewa concept.
 
Hawatasema lazima,ila wakisema usifanye hivi au usienda hapa bila kuchanjwa si lazima tayari.Tayari wafanyakazi wa East Africa Seed Company wameshaambiwa bila evidence kwamba wechanjwa ofisi za kampuni ni out of bounds👇.
See this👇

View attachment 1875325
Wafanyakazi wasiotaka chanjo wanaweza kufungua kesi wakazuia utekelezaji wa hili agizo au waraka.
Wanaweza kudai fidia pia.

Wanasheria nchi hii wamelala? Watumoe hii fursa kutetea wapinga chanjo ya COVID19 kuvuna mamilioni.
 
Vi-dumper mnasumbua sana,leteni constructive criticism.
Ficha ujinga na upumbavu wako!, yaani ulicho andika ni zaidi ya matap tap, ni bora unge kaa kimya kuliko kuzijaza servers za JF kwa upumbuvu upumbavu!
 
Back
Top Bottom