#COVID19 Ex-Vice President wa Pfizer, Profesa Mike Yeadon: Chanjo za COVID- 19 si salama

Hilo ni sahihi,napingana na wale wanaosema serikali imefanya makosa kuruhusu hiyo chanjo.
Ndiyo imefanya makosa,kwa kuwa hivho kinachoitwa chanjo,sio chanjo ni sumu,tena potent.Utawekaje Graphene Oxide kwenye mwili wa mtu,una nia gani?Utamuwekeaje mtu chip bila consent yake kwa nia ya kumfanya zombie:afanye unavyotaka?Utamuwekeaje mtu Operating System,amekuwa computer?Utaharibuje immune system ya mtu,tena kwa makusudi ili augue sana?Utaharibuje utu wa mtu ili asiwe na haki za binadamu,awe mtumwa wako kwa kuwa utu umekoma?Ni ushetani,ushetani usioelezeka na ni lazima tuukatae kwa nguvu zetu zote.Nirudie,tukinyamaza tumekwisha,ni lazima katika umoja wetu tuseme hapana,hii haikubaliki.
 
Nilikua ninaomba chanjo iwe LAZIMA tafadhali
Unaye ongea si wewe unatumiwa.Alternatively umechanjwa hii ni athari ya chanjo.Anthari moja wapo ya chanjo ni kuwa zombielike because you become fully controlled by your controllers or handlers,who are external.Unasema usiyotaka,unafanya usiyotaka nk.nk.
 
Unaye ongea si wewe unatumiwa.Alternatively umechanjwa hii ni athari ya chanjo.Anthari moja wapo ya chanjo ni kuwa zombielike,you become controlled by your controllers or handlers who are external.
Hahaha....ngojeni muone tunapo elekea
 
Profesa Mike Yeadon(clip ya mwisho) amekuwa katika biashara za kutengeneza chanjo maisha yake yote, na wakati anastaafu alikuwa ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Pfizer, moja ya makampuni mashuhuri yanayotengeneza chanjo ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na chanjo za Uviko-19.

Kwa hiyo Mwanasayansi aliyebobea kama yeye anaposema: ".. Chanjo za Uviko-19 si salama," basi huyu awe ni mtu wa kusikilizwa kwa juhudi zote, kwa sababu kauli yake ni kweli,kauli yake haina chembechembe za ubinafsi, kauli yake inajitegemea kwa asilimia mia moja. Wakati hawa madaktari wengine, (ambao wengi wao wapo kwenye makwapa ya makapuni makubwa ya madawa, hawa siyo tu ni wa kupuuzwa,bali wawe ni wa kutazamwa kwa macho mawili, kwa sababu wanahatarisha uhuru na usalama wa nchi na wananchi wa Tanzania.

Profesa Mike Yeadan hayupo peke yake. Timu ya uchunguzi ya madaktari huko Uingereza hivi karibuni imeishauri serikali ya nchi hiyo kusitisha mradi wa chanjo za Uviko-19 mara moja kwa sababu si salama.

Bingwa mwingine kwenye utengenezaji wa hizi chanjo na ambaye pia kakiri kuwa chanjo za Uviko-19 si salama ni Dr. Geert Vanden Bossche.

Mtaalamu mwingine, Dr. Hall, akiongea mbele ya Senate Committee on State Affairs huko Marekani alisema hivi:
"Mwaka 1976 chanjo za "swine flu" watu takribani milioni 45 walichanjwa. Kati ya hao watu 53 (hamsini na tatu) walikufa kutokana hizo chanjo. Matokeo yalikuwa ni chanjo hiyo kupigwa marufuku mara moja kwa hoja ya kuwa zilikuwa hatarishi,yaani si salama.
Wakati katika muhula wa miezi minne tu, Desemba 2020 hadi Aprili 23, Chanjo za Uviko-19 zimesababisha vifo vya watu
3,362,yaani wastani wa watu 30 kila siku, na bado Ulimwengu umekaa kimya kabisa. Nini kinafichwa hapa?"

World Doctors Alliance, umoja unaokusanya maelfu ya madaktari kutoka kila kona ya dunia nao umetamka bila kigugumizi kuwa chanjo za uviko-19 si salama.

Chanjo hizi zinasambazwa kwa kutumia kitu kinachoitwa Emergency Authorization. (idhini ya dharura) Hii ni kukwepa uwajibikaji, kwani hii ndio njia pekee wanaweza kisheria kutumia ile "caveat" ya kukataa kuwajibika. Nchi ikishatoa "Approval" basi hili la kutowajibika haliwezi ku-'apply' tena. Ndiyo sababu hakuna nchi hata moja hadi sasa ambayo imetoa approval, mataifa yanakwepa kuwajibika.

Jambo lingine la kulizingatia ni kwamba Mabeberu wa nje na ndani, wanasambaza chanjo za Uviko-19 kwa kutumia silaha kuu tatu: Ulaghai, Vitisho na Rushwa.
Hivyo basi, watu wote wanaoshabikia chanjo hizi watakuwa wame-'fall victim to one of these three weapons.'

Kwenye hili sakata la chanjo za Uviko-19, swali lingine la msingi ambalo bado linalilia jibu ni hili: Dawa zilizothibitika kuponya huu ugonjwa zipo, kama Hydroxychloroquine, Ivermectin, Covidal, Nyungu, ile ya Madagascar nk nk nk. Kwa nini dawa hizi zote zimezimwa, badala yake zinasambazwa chanjo zisizoponya, zisizoweza kuzuia kuambukiza au kuambukizwa na ambazo ni sumu? Kwa nini?



Clips zinazo comfirm ubaya wa chanjo za Uviko -19.
Umevaa kofia ya chuma lakini? Subiri mawe kutoka kwa zombies waliotumwa kudalalia chanjo!
 
Umevaa kofia ya chuma lakini? Subiri mawe kutoka kwa zombies waliotumwa kudalalia chanjo!
Nimevaa kofia ya chuma ya Bwana Yesu,silaha atakayo tumia kunidhuru itamgeukia yeye.Mimi ni sehemu ya jeshi la Bwana Yesu kama ulivyo wewe kwenye jeshi la shetani a.k.a CIA covert operatives.
 
Nimevaa kofia ya chuma ya Bwana Yesu,silaha atakayo tumia kunidhuru itamgeukia yeye.Mimi ni sehemu ya jeshi la Bwana Yesu kama ulivyo wewe kwenye jeshi la shetani a.k.a CIA covert operatives.
Hivi umeelewa nilichoandika au upo too excited mpaka unashambulia walioupande wako!?
 
Kuanzia sasa sinunui mbegu za Seed.co!
Yes huo ni mwanzo mzuri.Ila sio Seed.co tu,tususie makampuni yote ya mabeberu,kwa kuwa ndio wenye mpango huu.Ulaya wenzetu wameshaanza kwa maandamano_Ona hii👇
 

Attachments

  • VID-20210729-WA0002.mp4
    7.7 MB
Kwa comment hii mtu mwenye akili atakuona wewe ni mpuuzi tu
Kinachotakia ni hoja mbadala,sio matusi.

Naomba pia uelewe kwamba Gwajima hajashikia watu wengine akili,kama wewe ulivyoshikiwa na CIA kwa ujira wa vidola.By the way,Comander wenu wa the CIA gang in Tanzania Mbowe anaemdeleaje?Na kaka yake yule "transgender" alipona,au chanjo imesha take it's toll?Tumsubiri Mbowe,na yeye nasikia haeleweki,sijui ndizo effects za chanjo?
We ni pimbi sana
 
Uchizi wangu ni nini,niambie.Halafu inaelekea ulishakutana na wreth ya Magu mahali,kwa nini unachukia Wasukuma kiasi hicho.Don't be stupid,chukia mambo ya mtu,sio mtu.You look queer.
Narudia tena, wew ni chizi aka Gwajiboy
 
Humu jf mkichanja wote mseme niende kuchanja
Humu JF wanao weza kuchanjwa ni CIA operatives,ambao ni sehemu ya PAC(Political Action Committee):hawa ambao wanapigia sana talalila agenda za mabeberu pamoja na chanjo.Kwao hawa ni lazima,ili kuwafanya wengine waingie mkenge.

Hata hivyo inawezekana wao wakachanjwa maji ya sindano yaliyo changanywa na B-Complex, ili waendelee kuwepo ku-advance agenda.Kwa nini B-Complex,ili ifanane na chanjo!

Apart from those sidhani kama wapo wengine.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom