georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Uliachana na utumishi ukaingia kwenye uzinzi
itakua kasoma UYUI SEC walambo hatubaki vitoto vya form one wakati tuna wake zetu Tabora girlsWe jamaa una itikadi za walambo nn, au we ni mlambo? Maana hao huwa hawachelewi
Hahaha kweli, we ni mlambo nn mkuu??itakua kasoma UYUI SEC walambo hatubaki vitoto vya form one wakati tuna wake zetu Tabora girls
mie mlambo wa zamani sana mkuu.Hahaha kweli, we ni mlambo nn mkuu??
Sawa sawa mkuu nami pia hapamie mlambo wa zamani sana mkuu.
Wewe ni mnafiki namba moja. Ni afadhali hiyo nyama kuliko hiyo zinaa unayojisifu nayo. Unajisifia dhambi huku unacheka na utapata adhabu huku unalia. Mnafiki ni mnafik tu. Unajifu uzinifu hala eti nimekula nyamaNiaje Wazeiyaaaaaaah.....
Ebana Sawa.....
Jana nime chill maghetoni dogo akanitext kuwa anatoka Moro anakuja Dar mara moja..
Akaenda mbele akasema anakuja kufikia kwangu, kuna Application amekuja kufanya (mambo ya HESLB haya deadline Jtatu) then Jmosi kesho anaondoka...
Ingawa nilishtuka kidogo sababu tangu nimekatema ushapita muda sana..
Hakajui naishi na nani, kama bado sijaoa ama laa... Sijui nani amekapa info zangu...
Anyway... Kama nimeanza katikati ya story ni kwamba:
Haka kamanzi kalikua kademu kangu kitambo sana (toka kako form two pale New Era Secondary Tabora, mie nimemaliza Form Six wakati huo).
Kama kukagonga daaaa nimekagonga mazee...
Nilikuja kukapiga chini mwaka 2014 baada ya kuona kananiletea Noise nyingi, kanaomba omba hela bila mpangilio... Wakati huo (mpaka sasa hivi) kapo Morogoro kambi moja ya jeshi inaitwa Mzinga... Sasa naona kanataka sijui ku apply chuo mwaka huu... Ndio kamekuja Dar.
Sasa Mnajua Leo Kimetokea nini:
Kwanza jana kamefika kweli jioni nikakapokea, karibu Maghetoni (Tabata Baracuda).
Kama kawaida mfupa kwa fisi, night nikakachapa magoli mawili ya "Tukumbushie"
Leo asubuhi kakatoka kuhangaikia hizo application zake...
Mchana kurudi (mie nimetoka Masjid) nakakuta Maghetoni kamerudi, mezani kameweka mfuko una chips na mishkaki imenona nona hivi...
Nimeingia tu kakachoma mnofu mmoja kwa stick kakanilisha...
Kabla sijaanza kutafuna kakajiwahi kenyewe:
"Huku Dar Mdudu anauzwa Bei ghali sana, 7000??"
Khaaaaa.... Nikatema ule mnofu... Nikakauliza hii nyama ya???
Kakasema "We unaona nyama ya nini kwani, ama siku hizi umekatazwa kula"
Aisee niliwaka... Nikajikuta nimerusha ngumi kama sita hivi usoni na mgongoni...
"Yaani Unanilisha mimi Nyamafu wakati mwenzio nisha silimu na kuhamia Dini ya haki!!
Kwa vile watu bado wananiita Mtumishi Mcharo unaona bado mwenzio??
Mimi sasa hivi ni Ustaaz, beba kilicho chako na mfuko wako wa Nyamafu ondoka haraka...
Dogo nimetimua karudi kwao Moro jioni (sijui aliwahi magari ya mwisho mwisho)
Nilikua nishapania usiku wa leo nimkamue kisawa sawa "Kamuagano"
Kubabake kaniudhi kishenz... Anadhan bado nipo kwenye dini ya wanadamu mie..
Nishaga achana na Utumishi kitambo sana...