Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,587
- 14,356
Niaje Wazeiyaaaaaaah.....
Ebana Sawa.....
Jana nime chill maghetoni dogo akanitext kuwa anatoka Moro anakuja Dar mara moja..
Akaenda mbele akasema anakuja kufikia kwangu, kuna Application amekuja kufanya (mambo ya HESLB haya deadline Jtatu) then Jmosi kesho anaondoka...
Ingawa nilishtuka kidogo sababu tangu nimekatema ushapita muda sana..
Hakajui naishi na nani, kama bado sijaoa ama laa... Sijui nani amekapa info zangu...
Anyway... Kama nimeanza katikati ya story ni kwamba:
Haka kamanzi kalikua kademu kangu kitambo sana (toka kako form two pale New Era Secondary Tabora, mie nimemaliza Form Six wakati huo).
Kama kukagonga daaaa nimekagonga mazee...
Nilikuja kukapiga chini mwaka 2014 baada ya kuona kananiletea Noise nyingi, kanaomba omba hela bila mpangilio... Wakati huo (mpaka sasa hivi) kapo Morogoro kambi moja ya jeshi inaitwa Mzinga... Sasa naona kanataka sijui ku apply chuo mwaka huu... Ndio kamekuja Dar.
Sasa Mnajua Leo Kimetokea nini:
Kwanza jana kamefika kweli jioni nikakapokea, karibu Maghetoni (Tabata Baracuda).
Kama kawaida mfupa kwa fisi, night nikakachapa magoli mawili ya "Tukumbushie"
Leo asubuhi kakatoka kuhangaikia hizo application zake...
Mchana kurudi (mie nimetoka Masjid) nakakuta Maghetoni kamerudi, mezani kameweka mfuko una chips na mishkaki imenona nona hivi...
Nimeingia tu kakachoma mnofu mmoja kwa stick kakanilisha...
Kabla sijaanza kutafuna kakajiwahi kenyewe:
"Huku Dar Mdudu anauzwa Bei ghali sana, 7000??"
Khaaaaa.... Nikatema ule mnofu... Nikakauliza hii nyama ya???
Kakasema "We unaona nyama ya nini kwani, ama siku hizi umekatazwa kula"
Aisee niliwaka... Nikajikuta nimerusha ngumi kama sita hivi usoni na mgongoni...
"Yaani Unanilisha mimi Nyamafu wakati mwenzio nisha silimu na kuhamia Dini ya haki!!
Kwa vile watu bado wananiita Mtumishi Mcharo unaona bado mwenzio??
Mimi sasa hivi ni Ustaaz, beba kilicho chako na mfuko wako wa Nyamafu ondoka haraka...
Dogo nimetimua karudi kwao Moro jioni (sijui aliwahi magari ya mwisho mwisho)
Nilikua nishapania usiku wa leo nimkamue kisawa sawa "Kamuagano"
Kubabake kaniudhi kishenz... Anadhan bado nipo kwenye dini ya wanadamu mie..
Nishaga achana na Utumishi kitambo sana...
Mpuuzi sana wewe, kwani hiyo dini yako ya sasa inakuruhusu kuzini?Niaje Wazeiyaaaaaaah.....

We jamaa una itikadi za walambo nn, au we ni mlambo? Maana hao huwa hawachelewi
Futa kauli yako usitutafutie ban za makusudi .....mtoa mada ndiyo mtu wa ovyo utukome tafadhaliwaislamu watu wa hovyo sana
Boya Mwenyewe usichanganye uislam na vitu vitu vya ajabu, Acha kudhalilisha Iman ungeijua dini ni her ungekula nguruwe kuliko zinaa uifanyayo. Hadithia mengine usisimame chini ya mwamvuli wa dini. Zwazwa Mwenyewe"Yaani Unanilisha mimi Nyamafu wakati mwenzio nisha silimu na kuhamia Dini ya haki!!
Kwa vile watu bado wananiita Mtumishi Mcharo unaona bado mwenzio??
Mimi sasa hivi ni Ustaaz, beba kilicho chako na mfuko wako wa Nyamafu ondoka haraka...
..
We mende sikia usituchafulie dini yetu bhana ........masjid wanaenda wachafu kama wewe msiiiew mtu unanuka janaba eti umeenda masjid toka kuleMazee.... Mjue nawashangaa na siwaelewi...
Wapi nimeandika kwamba Uzinifu unaruhusiwa katika Dini yangu mpya ya Haki??
Sasa povu lote linatoka wapi...
Mie nagonga demu kwa sababu nakua na maganzi na bado sijaoa....
Ama mnataka niendelee kujiharibu na Principle zangu za tangu nipo Tabora Boys:
principle tano za kuzingatia napopiga punyeto usiku
Yaani demu kajileta mwenyewe alale kitandani kwangu nimkodolee tu macho na maganzi yangu...
Dhambi zipo nyingi kila mtu anazo bana... Acheni Uzwazwa nyie!!!
Haya....Mnasema nimezingua Kumdunda mwanamke sijui nini....
Kwahiyo niwaulize mwanamke ni Ng'ombe?? Hana akili za kujua mabaya na mazuri???
Sasa kwanini anapokosea asidundwe.... Acheni Uboya nyie!!!
fimboyaasali
Ms.Lincoln
mvuv
Beef Lasagna
silasc
bigmind
Edward A chapa
havanna
dexterous
georgemwaipungu
Khantwe
elmagnifico
ellyrehema
Acheni Uzwazwa nyie...
Hebu ajibu hapo..... Huyu hana uislamu wowote.... Mchochezi tu. Lengo lake kuanzisha mada hii watu washambuliane kidini. Tumpuuze.Mkuu baada ya kusilimu ulipewa ruksa ya kuwa na demu na kumkamua?