EWURA yasitisha kushughulikia maombi ya IPTL

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
InShot_20170611_133457.jpg
 
Viongozi wa Mashirika ya Umma na Taasisi zingine, ni wakati wa kusoma alama za nyakati.

OKama sheria zinazowaongoza mnaona zina mapungufu ni wakati mwafaka wa kuziainisha ili zifanyiwe marekebisho. La, mtaendelea kubeba lawama na hatimaye kutumbuliwa kwenye awamu hii ya Serikali.

Bodi za Wakurugenzi kazi kwenu.
 
Wanatengeneza mazingira ya kumfanya Singasinga amwage fedha kama alivyofanya za ESCROW

TAHADHARI
Kuna shauri Tanesco wamefunguliwa na Standard Chatterd wakidaiwa mabillioni kuhusiana na Escrow na IPTL ilitowa gurantii kulipa madai yoyote yatokanayo na akaunti hiyo
Pasije kuwa kuna mchezo unasukwa ili wakwepe msalaba huo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ni common sense, Walitakiwa kujiongeza toka mwanzo!
Watumie common sense ipi wakati walikuwa wanatimiza wajibu wao kisheria? Wangekataa kupokea maombi na kufuata mchakato wa kawaida huoni kuwa ingeweza kuleta mgogoro wa kisheria? Hapo common sense ilkuwa ni kupokea na kukataa kuroa leseni kwa kufuata vigezo vya kitaalamu na kimaadili.

Tatizo lililo wazi (kama maombi ya leseni ya IPTL ndio tatizo) ni serikali kukosa kuwaamini watwndaji wake yenyewe. Kama tatizo ni mifumo dhaifu, serikali itafute mshauri mwelekezi wa kurekebisha na kuimarisha mifumo yake ya utendaji ingawa kwa tabia za wanasiasa wetu waluo Bungeni na madarakani hawataruhusu hilo lifanyike kama walivyofanya kwenye Katiba ya Wananchi.

Vv
 
Walikuwa wapi muda wote huo kufanya maamuzi kila kitu wao wanafanya siasa. Huo mkataba Raisi Magufuli anashindwa nini kuvunja?
 
Sasa kama EWURA haijatoa leseni mpya kwa IPTL Mkurugenzi Mkuu wa EWURA kwanini kasimamishwa kazi!? Na ni sababu zipi zilizofanya zoezi lililotangazwa na EWURA la kukusanya maoni kutoka kwa Watanzania kuhusu IPTL kupewa au kutopewa leseni mpya limesitishwa!? Ni nani aliyelisitisha ni Majaliwa au Magufuli!?

Mbona usiri mkubwa kiasi hiki? KULIKONI!?

Baada ya haya yote yakusimamia uamuzi wao... hapa kazi tu



 
Back
Top Bottom