EWURA yasitisha kushughulikia maombi ya IPTL

EWURA yasitisha kushughulikia maombi ya IPTL

Amekurupuka sana kuna hatua za kufuata kabla ya kuvunja mkataba kama hujui uwe unauliza uelekezwe siyo kukurupuka kujibu pumba!
Ni nyie hao hao kwenye makinikia mnadai Rais amekurupuka, sasa mnadai avunje mkataba! Tukiwaita vigeugeu au wanafiki hamstahili kweli?
 
Huo ndiyo upumbavu unaoendelea nchi hii ili kuficha maovu chungu nzima miaka nenda miaka rudi.

Watanzania ndiyo wenye nchi hivyo wanastahili kujua chochote kinachoendelea nchini wana haki zote za kukifahamu/kuvifahamu.

Huu usiri mkubwa ndiyo chanzo kikubwa cha wizi, ufisadi, rushwa na upotevu mkubwa wa rasilimali za nchi.

Inaelekea basi haukunielewa yangu niliyogesi ndicho kinachoendelea, naona ni kuiongelea vibaya tu serikali hii ndio umeipa kipaumbele.

Ila kuwa na subira ni muhimu, issue ya IPTL haijaanza awamu hii muwape nafadi nao wayajue kiundani. Wananchi wengi hamna subira kabisa, kama vipi si kuende kwenye ofisi zao kuwaomba au kwanini hizo mefia mnazoshangikia iuoenfa ya udaku na uongo hamzisukumi zikawa zinawatafutia habari hizi!!!

Basi mnawashangilia kwenye udaku na wanaeapata haswaaaaaaa eeeeeh... sijui kukomoa viongozi wanao waharibia michongo ya kupata pesa na wanaovunja sheria na pia hawapokei bahasha kama zamani... wengi mpo hao

Mh. Makonda nae alisema kuwa hawamkomoi yeye, bali wanawanyima wananchi habari... wasukumeni wasake ukweli wowote wapiiii.... eeeeh hawataleta kwa sababu wao wanapokea bahasha nyie wananchi wengi msiofikiria kiundani kwa mihemko hasa ya chuki na kyisoma namba na kisiasa... mnalilia habari na kuwasapoti kwenye msiyoyajua kiundani kisa kuonea viongozi wivu na viongozi wanaonyoosha nchi.

Acha wanahabari wawachezee akili wananchi haswa wafata mikumbo na kuwacheka mnapolilia habari, huku wao wakiwa wanahesabu vya kwenye bahasha...
 
Hamjatoa ila mlikuwa na mpango wakutoa, safi sana Magufuri team "Accerelator imechiwa kwa nguvu za ajabu na Break imekanyagwa haraka"... Hakuna mizaha awamu hii. Umakini na kuweka maslahi ya nchi ndio ajenda namba moja. Hapa kazi tu
Walivyoanza kuomba maoni tulijua wanatafuta sababu ya kumpa IPTL nyongeza ya mkataba kwa kusema walifanya kura ya maoni.Mwisho wa siku yangegeuka yale yale ya TICS na PTA.
Hawa sio wa kuwatumbua tu,wanastahili kupigwa mijeledi khamsa ishirini kama enzi za Mwl Nyerere
 
Wamesanda hahahahahahah.....!!! Duh nawaonea huruma sana bora mie mkulima wa ufuta na korosho naishi kwa amani kuliko .........
 
Narudia kauli yangu humu ya wiki chache za nyuma kwamba nimegundua wewe una akili na uwezo mkubwa wa kujenga hoja.

Ila Mkuu huo upande unaoutetea siyo kabisa. Hao ni wahuni, wezi, watoa/wapokea rushwa, mafisadi kwa kifupi maadui wakubwa wa maendeleo ya Tanzania na Watanzania.

Nchi yetu ina miaka 56 ya uhuru na utajiri wa rasilimali tele lakini hatuna hata kimoja ambacho tunaweza kusema Watanzania tunajivunia. Kila kitu chetu ni hovyo hovyo. Hata Rwanda ambao waliuana kwa maelfu mwaka 94 na hawana utajiri mkubwa wa rasilimali kama Tanzania viwango vya maisha ya wananchi wake vinapanda kwa kasi kubwa sana ukilinganisha na hapa kwetu ambapo ni viongozi tu ndiyo wanakuwa mabilionea kwa njia haramu na pia kukwepa ulipaji wa kodi.

Jitafakari kwa kina ili uachane na hao wahuni na mafisadi ili uanze kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania.

Usiku mwema.

Inaelekea basi haukunielewa yangu niliyogesi ndicho kinachoendelea, naona ni kuiongelea vibaya tu serikali hii ndio umeipa kipaumbele.

Ila kuwa na subira ni muhimu, issue ya IPTL haijaanza awamu hii muwape nafadi nao wayajue kiundani. Wananchi wengi hamna subira kabisa, kama vipi si kuende kwenye ofisi zao kuwaomba au kwanini hizo mefia mnazoshangikia iuoenfa ya udaku na uongo hamzisukumi zikawa zinawatafutia habari hizi!!!

Basi mnawashangilia kwenye udaku na wanaeapata haswaaaaaaa eeeeeh... sijui kukomoa viongozi wanao waharibia michongo ya kupata pesa na wanaovunja sheria na pia hawapokei bahasha kama zamani... wengi mpo hao

Mh. Makonda nae alisema kuwa hawamkomoi yeye, bali wanawanyima wananchi habari... wasukumeni wasake ukweli wowote wapiiii.... eeeeh hawataleta kwa sababu wao wanapokea bahasha nyie wananchi wengi msiofikiria kiundani kwa mihemko hasa ya chuki na kyisoma namba na kisiasa... mnalilia habari na kuwasapoti kwenye msiyoyajua kiundani kisa kuonea viongozi wivu na viongozi wanaonyoosha nchi.

Acha wanahabari wawachezee akili wananchi haswa wafata mikumbo na kuwacheka mnapolilia habari, huku wao wakiwa wanahesabu vya kwenye bahasha...
 
Amekurupuka sana kuna hatua za kufuata kabla ya kuvunja mkataba kama hujui uwe unauliza uelekezwe siyo kukurupuka kujibu pumba!
Maneno makali yasiyo na "substance" tumeyazoea kutoka kwenu. Wajuzi na mabingwa wa kila aina ya neno na lugha za matusi.
 
Ewura bwana...
nakumbuka yale matamko ya yule bosi wa sheli za engine alivyo ipa serikali masaa ya kubadilisha kauli kabla hawajafanya uamuzi mgumu...
upuuzi....
yale yalitokea awamu ya nne serikali ya kutabasamu but now serikali ya kazi sura ya kazi tabasamu peleka mwako.

Hapa kazi tu
 
Viongozi wa Mashirika ya Umma na Taasisi zingine, ni wakati wa kusoma alama za nyakati.

OKama sheria zinazowaongoza mnaona zina mapungufu ni wakati mwafaka wa kuziainisha ili zifanyiwe marekebisho. La, mtaendelea kubeba lawama na hatimaye kutumbuliwa kwenye awamu hii ya Serikali.

Bodi za Wakurugenzi kazi kwenu.

Tatizo watu wakifika ofisini hawajiongezi hata chembe, sheria hata kama zinafilisi nchi wanakaa kimya. Hivyo huyo bwana EWURA hakuona ukakasi kuitisha maombi ya wananchi kuhusu IPTL?
 
Tatizo watu wakifika ofisini hawajiongezi hata chembe, sheria hata kama zinafilisi nchi wanakaa kimya. Hivyo huyo bwana EWURA hakuona ukakasi kuitisha maombi ya wananchi kuhusu IPTL?
Viongozi bado wananya kazi kwa mazoea pamoja na mamlaka inayowateua kutahadharisha kufanya kazi kwa mazoea hakuleti tija inayotarajiwa.
 
InShot_20170611_133457.jpg

Magufuli Mungu atakulipa, ila sio hawa watz wa mitandao ( whatsapp, insta, fb etc). Piga kazi tena bila kuwasikiliza ili mradi dhamira yako ni nyoofu!!!!!
 
Huyu CEO wa EWURA acha aende. Ni mkabila sana.
Kawatimua watu kazi na kujaza nafasi kwa kuwaweka wanyalukolo wenzie. Alidhani EWURA ni mali binafsi.
Halafu, mkataba unakwisha mwezi julai, unataka watu watoe maoni lini na uchambuzi wa maoni utafanyika lini.
Acha kutuzingua. Mnatumia technical delay ili baadaye mlazimike kumpa ofa kinyemela kwa kuleta sababu kwamba nchi ingekwenda gizani. Nyambafu zenu.
Tumbua Magu. Na huyu sio tu asimamishwe kazi, afukuzwe.
 
Ewura bwana...
nakumbuka yale matamko ya yule bosi wa sheli za engine alivyo ipa serikali masaa ya kubadilisha kauli kabla hawajafanya uamuzi mgumu...
upuuzi....
yale yalitokea awamu ya nne serikali ya kutabasamu but now serikali ya kazi sura ya kazi tabasamu peleka mwako.

Hapa kazi tu
Mnashabakia ujinga tu!!
EWURA ilikuwa imetoa notisi kwa mujibu wa matakwa ya sheria.

Hili dili msiwasukumie EWURA...haya yote na madini ni Mazao ya Wabunge wajinga wa CCM wapatao 300 kupitisha vitu kwa mihemko na Elimu ndogo!!
 
Sasa kama EWURA haijatoa leseni mpya kwa IPTL Mkurugenzi Mkuu wa EWURA kwanini kasimamishwa kazi!? Na ni sababu zipi zilizofanya zoezi lililotangazwa na EWURA la kukusanya maoni kutoka kwa Watanzania kuhusu IPTL kupewa au kutopewa leseni mpya limesitishwa!? Ni nani aliyelisitisha ni Majaliwa au Magufuli!?

Mbona usiri mkubwa kiasi hiki? KULIKONI!?

Tunataka tumekuweke ngosha apo ewura sie sisiemu tunambinu zetu
 
Narudia kauli yangu humu ya wiki chache za nyuma kwamba nimegundua wewe una akili na uwezo mkubwa wa kujenga hoja.

Ila Mkuu huo upande unaoutetea siyo kabisa. Hao ni wahuni, wezi, watoa/wapokea rushwa, mafisadi kwa kifupi maadui wakubwa wa maendeleo ya Tanzania na Watanzania.

Nchi yetu ina miaka 56 ya uhuru na utajiri wa rasilimali tele lakini hatuna hata kimoja ambacho tunaweza kusema Watanzania tunajivunia. Kila kitu chetu ni hovyo hovyo. Hata Rwanda ambao waliuana kwa maelfu mwaka 94 na hawana utajiri mkubwa wa rasilimali kama Tanzania viwango vya maisha ya wananchi wake vinapanda kwa kasi kubwa sana ukilinganisha na hapa kwetu ambapo ni viongozi tu ndiyo wanakuwa mabilionea kwa njia haramu na pia kukwepa ulipaji wa kodi.

Jitafakari kwa kina ili uachane na hao wahuni na mafisadi ili uanze kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania.

Usiku mwema.

Niambie kama kuna kiongozi yoyote zaidi ya Late Sokoine ambaye alionesha nia wakamzima mapema, ambaye ameweza kujitolea kama JPM?

Hakuna kiongozi anayeweza kufanya kia kitu kinachotakwa na kila raia, ila tumpe pongezi kea awamu hii alivyodhubutu... tunajua hawezi kuwa hata kamz Octopus.. ila anafanya mengi

Naamini anachukua muda kuangalia mengi...
Ya madini aliyajua zamani na tangu awe Rais 2015, mwala hu ndio kaamua... sababu mojawapo lazima alikuwa anafatilia na kwa sasa aluvyo rais amekuwa na power ya kuweza kujua kila analotaka kujua bila kuwa na bosi wakumfatilia au kumkataza.

Tuvute subira

N.b. mimi pale napoona ya serikali , hayajakaa dawa huwa nachangia pia... ila keasababu nimependa kufatilia ya siasa nchini tangu JPM aingie sijioni nikiacha... anavutia kwa mengi...ndio maana na viongozi wa upinzani wanamuomba awateue.

Tumpe pongezi, natuwe nyuma yake kumpongeza anapostahili. Bado ana kazi kubwa kuieeka ncho anavyotaka na itakuwa ngumu kufikisha malengo yake yote kwasababu ya wananchi walivuo moja mbili ni uvivu na udaku.

Waambie hao wanaowakilisha upinzani wabadilike, yaani wanaboa kwa kumuogopa sana JPM na kushinda kudandia ya utawala tu bile kuleta jipya la kumuumiza kichwa.

Usisahau kuandika hayo yanayokukera li akusome... kuita wapo hivi au vile haitoshi.
 
Awamu hii tunaweza kufanikiwa sana kufikia maamuzi tunayoyataka lakini gharama za maisha zitakuwa juu sana na ubora wa huduma lazima utakuwa duni kupindukia.

IPTL iliingizwa nchini na CCM kimizengwe lakini baadaye mambo mengi yakabadilishwa na kuridhiwa. Naambiwa kwa sasa IPTL ndiyo kamapuni inayoiuzia TANESCO umeme kwa bei ya chini kuliko wengine wote.

Kuzuiwa kwa IPTL kutatupatia ushindi wa kisiasa lakini tutakuwa tumeangukia pua kwenye uchumi. Kama wao ndiyo wanaiuzia TANESCO umeme kwa bei ya chini, ina maana TANESCO itabakiwa na wauzaji wa umeme kwa bei ya juu. Kama TANESCO hawataweza kuongeza bei, watalazimika kuendelea kupata hasara zaidi.
 
Naamini kuwa RAIS MAGUFULI ni member wa JAMIIFORUMS
 
Back
Top Bottom