Alhamisi EWURA walitangaza mchakato wa leseni ya IPTL, Ijumaa wakaja hadharani kutetea na kufafanua uamuzi wao wa Alhamisi kisheria, Usiku wa Kumkia Jumapili bosi mkuu wa EWURA akatumbuliwa, Jumapili Mchana EWURA wametangaza kuufuta mchakato wa IPTL kuomba leseni...
What next?
MY TAKE.
1/Tanzania kwa sasa hatuna serikali bali tuna watu wanaojisikia kutuongoza tu, wakilala au kuamka wanaibuka na lolote.
2/Style ya utendaji wa sasa wa watumishi wa umma ni wakubahatisha, Kuviziana na kuusoma mchezo wa upepo wa kisiasa unakoelekea.
3/Kwa mtindo huu, mipango ya maendeleo ni hadithi tupu, viongozi wana ndoto zao, wakilala au kuamka wanaibuka na yao