EWURA yasitisha kushughulikia maombi ya IPTL

EWURA yasitisha kushughulikia maombi ya IPTL

Viongozi wa Mashirika ya Umma na Taasisi zingine, ni wakati wa kusoma alama za nyakati.

OKama sheria zinazowaongoza mnaona zina mapungufu ni wakati mwafaka wa kuziainisha ili zifanyiwe marekebisho. La, mtaendelea kubeba lawama na hatimaye kutumbuliwa kwenye awamu hii ya Serikali.

Bodi za Wakurugenzi kazi kwenu.
Dah mkuu unaona mbali Sana..awamu ya tano haitabiriki.... Naona sasahivi Upinzani wa matukio...Jpm ana drive matukio anavyotaka na wapinzani wanafata yale yale....
 
Alhamisi EWURA walitangaza mchakato wa leseni ya IPTL, Ijumaa wakaja hadharani kutetea na kufafanua uamuzi wao wa Alhamisi kisheria, Usiku wa Kumkia Jumapili bosi mkuu wa EWURA akatumbuliwa, Jumapili Mchana EWURA wametangaza kuufuta mchakato wa IPTL kuomba leseni...
What next?

MY TAKE.
1/Tanzania kwa sasa hatuna serikali bali tuna watu wanaojisikia kutuongoza tu, wakilala au kuamka wanaibuka na lolote.

2/Style ya utendaji wa sasa wa watumishi wa umma ni wakubahatisha, Kuviziana na kuusoma mchezo wa upepo wa kisiasa unakoelekea.

3/Kwa mtindo huu, mipango ya maendeleo ni hadithi tupu, viongozi wana ndoto zao, wakilala au kuamka wanaibuka na yao
[quote uid=261462 name="mwengeso" post=21564164]Viongozi wa Mashirika ya Umma na Taasisi zingine, ni wakati wa kusoma alama za nyakati.<br /><br />OKama sheria zinazowaongoza mnaona zina mapungufu ni wakati mwafaka wa kuziainisha ili zifanyiwe marekebisho. La, mtaendelea kubeba lawama na hatimaye kutumbuliwa kwenye awamu hii ya Serikali.<br /><br /><b><font color="[HASHTAG]#ff0000[/HASHTAG]">Bodi za wakurugenzi kazi kwenu
Nimeipenda hii
 
Huyu CEO wa EWURA acha aende. Ni mkabila sana.
Kawatimua watu kazi na kujaza nafasi kwa kuwaweka wanyalukolo wenzie. Alidhani EWURA ni mali binafsi.
Halafu, mkataba unakwisha mwezi julai, unataka watu watoe maoni lini na uchambuzi wa maoni utafanyika lini.
Acha kutuzingua. Mnatumia technical delay ili baadaye mlazimike kumpa ofa kinyemela kwa kuleta sababu kwamba nchi ingekwenda gizani. Nyambafu zenu.
Tumbua Magu. Na huyu sio tu asimamishwe kazi, afukuzwe.
Kwa taarifa yako EWURA wamejaa wahaya....hao wahehe hawazidi wa 5...bisha nikuletee facts...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom