kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 503
Mshenzi yule alikimbilia kupitisha miswaada ya kijinga leo hii hatuna kitu kwenye gesi na mafuta,Nchi hii Ccm mfanye kila liwezekanalo mumkabidhi George Boniphas Simbachawene Msomi asiye na makuu na mtu, mwenye upeo na hofu ya Mungu asiye mnafiki mpenda watu na mwona mbali kabisa. Tatizo la Ccm wanaangalia wapiga kelele wanawapa nchi badala ya kuangalia presidential materials ndio maana leo tupo tusipopajua.