Kustushwa na taarifa ya ripoti ya uchaguzi mkuu ya waangalizi wa uchaguzi wa Jumuiya ya ulaya EU

Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
388
271
Kwanza kabisa kama mwananchi wa nchi ya Tanzania mwenye asili ya Zanzibar. sina budi na mimi kutumia haki yangu ya kujieleza au kutoa maoni kama mwananchi kuhusu ripoti ya waangalizi wa uchaguzi wa EU. Ripoti ya hawa wakubwa wa EU imejikita katika mambo mengi yanayohusiana Na uchaguzi na mengine ambayo yana ajenda ya siri katika kutaka mabadiliko ya demokrasia Tanzania.

Kwa maono Yangu nimepata hofu, hofu ya kuona baadhi ya makundi ya kimataifa kuingilia siasa za ndani za nchi yangu Tanzania na kujaribu hata kutoa mashindikizo nini kifanywe na nini kiachwe kwa faida ya nani sijui.
Katika ripoti yao. waangalizi wamekuwa kama refarii wa kuchezesha mechi ya mpira sio watazamaji, maana halisi ya muangalizi tunaielewa.

Nakumbuka wakati wa kampeni Na uchaguzi mkuu matukio mengi yalijitokeza Na mengine yakihusishwa Na kuingiliwa kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania Na mataifa ya kigeni. Kwa mfano kuna tuhuma kwamba EU ilitoa fedha nyingi sana kwa vyama vya siasa kwa siri ili viweze kufanya vizuri zaidi. EU ilitoa fedha kwa baadhi ya wanasiasa wa Zanzibar wakiwemo watendaji wa ZEC ili wafanye taratibu za kuhakikisha chama Fulani kinashinda. Fedha zilipitishwa kupitia account ya UNDP office za Zanzibar na kupelekea baadae Serikali ya Zanzibar kumtimua Mtendaji wa UNDP Bibi Hamida Na kumrejesha kwao Kenya kutokana Na tuhuma hizo.

Ni kweli EU Observers walifika Tanzania tarehe 11 September 2015 Na kukaa hadi 8 Desemba 2015. Swali la kujiuliza jee tunawajua waliowapokea Na kuwaongiza Observers wa EU tangu kuwasili hadi kuondoka kwao. Jibu ni vijana wa CUF Na Ukawa. EU ilitafuta wakalimani Na waongozaji wa kazi zao pamoja Na kuajiri vijana wq kusaidia shughuli zao kwa muda huo ambao wote ni wanatokana na chadema na cuf wapinzani. Ushahidi ni Waangalizi wa EU waliokuwepo Zanzibar. Waliowapokea kuanzia Airport wanajulikana.

walipokuwa wanalala wanajulikana Na hata waliokuwa wqkikutana nao wakati wa usiku Na mchana wanajulikana. Kwa ufupi EU observers kabla hawajafika Tanzania walikuwa tayari wameshafikia conclusion ya kazi yao. Sasa katika ripoti yao EU wameanza kwa kupinga MASHEHA wa Zanzibar kupewa mamlaka TETE. sijui wamekusudia TETE la nini. Masheha ni wawakilishi halali wa Serikali katika ngazi za shehia. wana jukumu la kuratibu shughuli zote za serikali katika ngazi hiyo ikiwa ni pamoja na kujua wakaazi wa eneo lake. Sasa EU mkisema wana mamlaka TETE mlitaka waachie tuu watu wahamie kiholela Na kuhama bila ya utaratibu.

Hivi Ulaya ndivyo mnavyofanya?? Mbona mnawaacha watu wanakufa Mediterranean Sea wakimbizi hamuwaekei safely passage ya kufika mainland Na kuomba hifadhi ya vurugu zenu za Libya, Syria Na Iraq??

Katika ripoti mumebainisha kufanya uangalizi majimbo 139 ya kampeni Tanzania. Lakini mbona Pemba hamkufika Na huko ndiko kulikotokea uchafu wa uchaguzi wote??.Siku ya uchaguzi waangalizi wote hamkuwepo Pemba hata ndege za kwenda Pemba mlizinunua tickets zote na kufanya kukosekana nafasi kwa watu wengine Na nyinyi wenyewe last minutes mkafuta safari za huko. Jee haki ya kufanya tathmini ya uchaguzi mumeipata wapi ikiwa eneo muhim Pemba kwa siasa za Zanzibar hamkuwepo siku ya tukio yaani siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 2015.

Katika taarifa hii ya EU. EUnimebainisha mazungumzo yaliyofanyika ikulu Zanzibar baina ya viongozi. Jumla ya mikutano 9 ilifanyika. EU kwenye ripoti inadai mazungumzo yalivunjika kutokana Na ombi la cuf kutaka Mwenyekiti wa ZEC aitwe ikulu ili ahojiwebl kwenye mkutano, Jambo lililoleta mvutano baina ya CCM Na cuf kutokana Na kuwa Na misimamo tofauti kwenye hilo Hali iliyopelekea mazungumzo hayo kuvunjika. Mimi nataka kuwauliza hawa EU. Hi ripoti waliandika wao waliwapa wale wahitimu wa Sheria Tunguu wakiongozwa Na Wanasheria Vilaza wa CUF??.

Mazungumzo yalikuwa siri. EU haikuwahi hata siku moja kualikwa Ikulu kuhudhuria mikutano hiyo. Sasa hii taarifa wameitoa wapi? au ndio Drip walizopewa Na Cuf Na wao maskini

Na wao maskini wameingizwa kichwa kichwa bila ya kujijua. Unajua hawa wazungu SAA nyengine huyataka maswahiba yawakute wenyewe. Hivi kwenye ripoti kubwa kama hii utaandikaje habari za kuambiwa Na maswahiba badala ya kufuata vyombo husika??

Ni kweli tarehe 29 January 2016 wakuu wa Balozi za EU walitoa tamko juu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar, lakini mbona haijaelezwa kwamba tamko hilo kabla ya siku moja kutoka kulifanyika kikao cha siri baina ya maalim Seif Na mabalozi hao ndani ya Ubalozi Wa Canada Dar es Salaam. Hatua iliyopelekea Serikali kuwaita baadhi ya mabalozi hao Na kuwaonya juu ya vitendo vyao hivyo.Ki ukweli tamko la mabalozi hao lilikuwa la kisiasa zaidi halikuwa na uhalisia wowote. Zanzibar Ina Sheria zake ina mamlaka yake. Haiwezekani ujifungie Na Maalim Seif kwenye Ubalozi Wa Canada halafu asubuhi yake utoke Na Tamko tena uliite Tamko la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya Kichekesho kikubwa sana.

Katika ripoti ya Uchaguzi ya EU kuna mapendekezo yao wanayotaka kama Tanzania iyafuate. wanasahau kwamba masuala yote waliyoyaeleza yapo kisheria. Hii ripoti ya EU ni kuidhalilisha kwa makusudi Sheria za watanzania. Kana kwamba Watanzania hatuna uwezo wa kujipangia masuala yetu hadi EU ije kutia mkono wake. Hili haliwezekani na ni vyema likakemewa kwa kauli moja. Katika mapendekezo yao EU.

1.wametaka uwepo wa wagombea binafsi. Tunawaambia wasubiri Katiba Mpya.

2. Haki ya vyama vya siasa kuunda umoja wa kiuchaguzi. Swali langu kwa EU ili iweje?? Ukiisha uchaguzi umoja wa kiuchaguzi nao uishe??? Tanzania Ina Sheria zake Na ni lazima zifuatwe kulingana Na mazingira yetu. Haiwezekani na ni kosa kubwa kuifananisha demokrasia ya Tanzania sawa Na Norway au Sweden. Kila nchi Ina Sheria zake Ina katiba yake Na ndio mwongozo wa uendeshaji wa nchi husika.

3. EU wanadai katiba zote SMT Na SMZ hazitoi haki ya MTU kwenda mahakamani kupinga matokeo.ya uchaguzi wa urais. Mimi nilijua EU itapongeza uwepo wa haki ya kusikilizwa mashauri ya kesi za uchaguzi kwa uwazi Tanzania. lakini inaonekana EU kiu yao ni Urais tuuu. Hawana habari Na Udiwani wala Ubunge. Jibu kwenu EU. Huo ndio utaratibu tuliojiwekea Tanzania Na umewekwa Kikatiba haujawekwa kimabavu. Sijui kwa nini EU ni wavivu wa kufikiri.

4. EU imepiga kelele kuhusu Sheria ya makosa ya mitandaoni. kwamba inanyima fursa ya watuhumiwa kujitetea. Hivi hawa wenzetu wanataka nini haswa??? Watuleteee U David Cameron Tanzania?? Au wapuuzi wenzao waachiwe wakikashifu viongozi Na jamii kwa ujumla kwa kisingio cha Uhuru wa kujieleza?? EU wamesahau kwamba hata wao wanafika hadi kusikiliza simu za viongozi wao wakuu wa nchi. Mariel vs Obama Vs David Cameron Vs Sarkozy. Wao wenyewe wanafika sehemu hawaaminiani katika ngazi za viongozi wakuu Na kupelekea simu za viongozi hao kusikilizwa ili kujulikana nini kinaongelewa. Sasa Tanzania kuweka Tahadhari ya Sheria Kali dhidi ya matumizi mabovu ya Mitandao imekuwa dhambi??

5. EU ukisema kwamba sheria ya Zanzibar ya uandikishwaji Na sharti la kuwa Na kitambulisho cha mzanzibari liangaliwe upya. Ina maana EU mnataka Zanzibar iwe kama msikiti au kanisa anaetaka anaingia anafanya anachotaka Na kutoka. Kwa taarifa yenu Zanzibar ni nchi yenye mamlaka take kisheria. Zanzibar ni kisiwa haiwezekani ikawa jalala la watu. Kama ni rahisi kubadilishwa Sheria za uandikishaji Na kitambulisho cha mzanzibar basi Zanzibar itakuwa tayari kufanya hivyo siku ambayo EU Na nyinyi mtakubali kuiruhusu Uturuki iwe mwanachama wa EU Na kuwaondolea vikwazo vya viza kwenda Na kutoka katika Jumuiya ya Ulaya.

Kwa ujumla Jumuiya ya Ulaya EU imetoa ripoti mbovu kuliko kuwahi kutolewa katika historia ya Tanzania. maelezo yake mengi hayana uhalisia Na hayakuheshimu Sheria za Tanzania. As if kama watanzania bado wajinga Na hawajui nini demokrasia. Nitoe wito kwa EU muache ushabiki wa kisiasa, hasa kuingilia siasa za ndani za nchi husika. nyinyi ndio sababu kuu ya migogoro Na chokochoko katika mataifa mengi. Hanna mamlaka ya kusema thus is right and this is wrong. Nyinyi sio above the law.

EU muheshimu Sheria za nchi za wenzenu. Tunayajua mengi Na dhambi nyingi mlizozifanya mwaka Jana wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nani asiejuwa kwamba mlikodisha hotel nzima Ramada ya Masaki ya kuigeuza kuwa ngome ya kufanyia dhambi zenu?? Nani asiejua kwqmba mlifadhili kwa fedha, vitendea kazi na nguvu kazi baadhibya wanasiasa wa upinzani ili washinde uchaguzi mkuu. EU kwa kushirikiana Na UNDP Tanzania na Zanzibar mliwapa kiasi gani cha fedha watumishi wa ZEC Zanzibar wakiwamo makamishna wa Tume ya Uchaguzi ili wafanye mnayoyataka kufanywa??

Dhambi hii imepelekea hadi maofisa wenu baadhi kutimuliwa Tanzania, nilijua mtaandika kutimuliwa kwa maofisa wenu kwa tuhuma za kuhonga fedha kwa matumizi mabaya ya uchaguzi hasa Zanzibar. Mumekaa kimya kama vile mko Safi kumbe mmejaa matope ya udanganyifu Na udalali wa demokrasia ya Tanzania mliyotaka kuipindisha kwa faida yenu.

Sasa basi. EU Na vibaraka wenu tunawaambia Tanzania iko macho dhidi ya chokochoko zenu. Hamu yenu zaidi Zanzibar kwasababu mnajua Zanzibar ni nini?? Kama mumekwazika Na historia ya Zanzibar mnazidi kuumia. Mtakumbuka mliitaka Zanzibar kijeshi 1960's akaja Karume mkubwa akawatimua Wamarekani Na kufunga kituo Chao cha Kijeshi Tunguu Zanzibar. Hali iliyopelekea EU Na Marekani kukasirika. Jengine hivi sasa. mnaitamani sana Tanzania. MNA hamu ya kupata kiongozi mtakae muendesha kwa remote control ili awape mnayoyataka yakiwamo maslahi yenu. kiongozi huyo kwa miaka mitano ijayo kwa Zanzibar Na kumi kwa Tanzania hayupo Si Magufuli wala Shein atakaekuwa dalali wa kuuza nchi.

Kama mna ulevi wa Mafuta au gesi itawabidi mpange foleni hakuna upendeleo kwasababu wazungu. Na hizo kamouni zenu akina Shell, BP Na Stat Oil wambieni wasitikise kibiriti. Hasa Shell kwa Zanzibar. walikuwa Na kila haki ya kumiliki blocks za Mafuta Na gesi wamepoteza wenyewe. EU hebu jaribuni kuwa wastaarabu dunia imebadilika. hivyo VI misaada vyenu vya uzazi wa mpango Na vidonge vya HIV visiwatue kiburi Na kujiona ni Bora kuliko binaadamu engine.

Ukoloni umekwisha EU TUHESHIMIANE.

Ahsante Sana
Wako
Mtandao wa Wanyonge waliowengi
Zanzibar
June 03, 2016
 
Attachments

  • 1464978314482.jpg
    1464978314482.jpg
    51.4 KB · Views: 42
S
KUSTUSHWA NA TAARIFA YA RIPOTI YA UCHAGUZI MKUU YA WAANGALIZI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA ULAYA EU.

Kwanza kabisa kama mwananchi wa nchi ya Tanzania mwenye asili ya Zanzibar. sina budi na mimi kutumia haki yangu ya kujieleza au kutoa maoni kama mwananchi kuhusu ripoti ya waangalizi wa uchaguzi wa EU.
Ripoti ya hawa wakubwa wa EU imejikita katika mambo mengi yanayohusiana Na uchaguzi na mengine ambayo yana ajenda ya siri katika kutaka mabadiliko ya demokrasia Tanzania.
Kwa maono Yangu nimepata hofu, hofu ya kuona baadhi ya makundi ya kimataifa kuingilia siasa za ndani za nchi yangu Tanzania na kujaribu hata kutoa mashindikizo nini kifanywe na nini kiachwe kwa faida ya nani sijui.
Katika ripoti yao. waangalizi wamekuwa kama refarii wa kuchezesha mechi ya mpira sio watazamaji, maana halisi ya muangalizi tunaielewa.
Nakumbuka wakati wa kampeni Na uchaguzi mkuu matukio mengi yalijitokeza Na mengine yakihusishwa Na kuingiliwa kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania Na mataifa ya kigeni. Kwa mfano kuna tuhuma kwamba EU ilitoa fedha nyingi sana kwa vyama vya siasa kwa siri ili viweze kufanya vizuri zaidi. EU ilitoa fedha kwa baadhi ya wanasiasa wa Zanzibar wakiwemo watendaji wa ZEC ili wafanye taratibu za kuhakikisha chama Fulani kinashinda. Fedha zilipitishwa kupitia account ya UNDP office za Zanzibar na kupelekea baadae Serikali ya Zanzibar kumtimua Mtendaji wa UNDP Bibi Hamida Na kumrejesha kwao Kenya kutokana Na tuhuma hizo.
Ni kweli EU Observers walifika Tanzania tarehe 11 September 2015 Na kukaa hadi 8 Desemba 2015. Swali la kujiuliza jee tunawajua waliowapokea Na kuwaongiza Observers wa EU tangu kuwasili hadi kuondoka kwao. Jibu ni vijana wa CUF Na Ukawa. EU ilitafuta wakalimani Na waongozaji wa kazi zao pamoja Na kuajiri vijana wq kusaidia shughuli zao kwa muda huo ambao wote ni wanatokana na chadema na cuf wapinzani. Ushahidi ni Waangalizi wa EU waliokuwepo Zanzibar. Waliowapokea kuanzia Airport wanajulikana. walipokuwa wanalala wanajulikana Na hata waliokuwa wqkikutana nao wakati wa usiku Na mchana wanajulikana. Kwa ufupi EU observers kabla hawajafika Tanzania walikuwa tayari wameshafikia conclusion ya kazi yao.
Sasa katika ripoti yao EU wameanza kwa kupinga MASHEHA wa Zanzibar kupewa mamlaka TETE. sijui wamekusudia TETE la nini. Masheha ni wawakilishi halali wa Serikali katika ngazi za shehia. wana jukumu la kuratibu shughuli zote za serikali katika ngazi hiyo ikiwa ni pamoja na kujua wakaazi wa eneo lake. Sasa EU mkisema wana mamlaka TETE mlitaka waachie tuu watu wahamie kiholela Na kuhama bila ya utaratibu. Hivi Ulaya ndivyo mnavyofanya?? Mbona mnawaacha watu wanakufa Mediterranean Sea wakimbizi hamuwaekei safely passage ya kufika mainland Na kuomba hifadhi ya vurugu zenu za Libya, Syria Na Iraq??
Katika ripoti mumebainisha kufanya uangalizi majimbo 139 ya kampeni Tanzania. Lakini mbona Pemba hamkufika Na huko ndiko kulikotokea uchafu wa uchaguzi wote??.Siku ya uchaguzi waangalizi wote hamkuwepo Pemba hata ndege za kwenda Pemba mlizinunua tickets zote na kufanya kukosekana nafasi kwa watu wengine Na nyinyi wenyewe last minutes mkafuta safari za huko. Jee haki ya kufanya tathmini ya uchaguzi mumeipata wapi ikiwa eneo muhim Pemba kwa siasa za Zanzibar hamkuwepo siku ya tukio yaani siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 2015.
Katika taarifa hii ya EU. EUnimebainisha mazungumzo yaliyofanyika ikulu Zanzibar baina ya viongozi. Jumla ya mikutano 9 ilifanyika. EU kwenye ripoti inadai mazungumzo yalivunjika kutokana Na ombi la cuf kutaka Mwenyekiti wa ZEC aitwe ikulu ili ahojiwebl kwenye mkutano, Jambo lililoleta mvutano baina ya CCM Na cuf kutokana Na kuwa Na misimamo tofauti kwenye hilo Hali iliyopelekea mazungumzo hayo kuvunjika. Mimi nataka kuwauliza hawa EU. Hi ripoti waliandika wao waliwapa wale wahitimu wa Sheria Tunguu wakiongozwa Na Wanasheria Vilaza wa CUF??. Mazungumzo yalikuwa siri. EU haikuwahi hata siku moja kualikwa Ikulu kuhudhuria mikutano hiyo. Sasa hii taarifa wameitoa wapi? au ndio Drip walizopewa Na Cuf Na wao maskini
Na wao maskini wameingizwa kichwa kichwa bila ya kujijua. Unajua hawa wazungu SAA nyengine huyataka maswahiba yawakute wenyewe. Hivi kwenye ripoti kubwa kama hii utaandikaje habari za kuambiwa Na maswahiba badala ya kufuata vyombo husika??
Ni kweli tarehe 29 January 2016 wakuu wa Balozi za EU walitoa tamko juu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar, lakini mbona haijaelezwa kwamba tamko hilo kabla ya siku moja kutoka kulifanyika kikao cha siri baina ya maalim Seif Na mabalozi hao ndani ya Ubalozi Wa Canada Dar es Salaam. Hatua iliyopelekea Serikali kuwaita baadhi ya mabalozi hao Na kuwaonya juu ya vitendo vyao hivyo.Ki ukweli tamko la mabalozi hao lilikuwa la kisiasa zaidi halikuwa na uhalisia wowote. Zanzibar Ina Sheria zake ina mamlaka yake. Haiwezekani ujifungie Na Maalim Seif kwenye Ubalozi Wa Canada halafu asubuhi yake utoke Na Tamko tena uliite Tamko la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya Kichekesho kikubwa sana.
Katika ripoti ya Uchaguzi ya EU kuna mapendekezo yao wanayotaka kama Tanzania iyafuate. wanasahau kwamba masuala yote waliyoyaeleza yapo kisheria. Hii ripoti ya EU ni kuidhalilisha kwa makusudi Sheria za watanzania. Kana kwamba Watanzania hatuna uwezo wa kujipangia masuala yetu hadi EU ije kutia mkono wake. Hili haliwezekani na ni vyema likakemewa kwa kauli moja. Katika mapendekezo yao EU.
1.wametaka uwepo wa wagombea binafsi. Tunawaambia wasubiri Katiba Mpya.
2. Haki ya vyama vya siasa kuunda umoja wa kiuchaguzi. Swali langu kwa EU ili iweje?? Ukiisha uchaguzi umoja wa kiuchaguzi nao uishe??? Tanzania Ina Sheria zake Na ni lazima zifuatwe kulingana Na mazingira yetu. Haiwezekani na ni kosa kubwa kuifananisha demokrasia ya Tanzania sawa Na Norway au Sweden. Kila nchi Ina Sheria zake Ina katiba yake Na ndio mwongozo wa uendeshaji wa nchi husika.
3. EU wanadai katiba zote SMT Na SMZ hazitoi haki ya MTU kwenda mahakamani kupinga matokeo.ya uchaguzi wa urais. Mimi nilijua EU itapongeza uwepo wa haki ya kusikilizwa mashauri ya kesi za uchaguzi kwa uwazi Tanzania. lakini inaonekana EU kiu yao ni Urais tuuu. Hawana habari Na Udiwani wala Ubunge. Jibu kwenu EU. Huo ndio utaratibu tuliojiwekea Tanzania Na umewekwa Kikatiba haujawekwa kimabavu. Sijui kwa nini EU ni wavivu wa kufikiri.
4. EU imepiga kelele kuhusu Sheria ya makosa ya mitandaoni. kwamba inanyima fursa ya watuhumiwa kujitetea. Hivi hawa wenzetu wanataka nini haswa??? Watuleteee U David Cameron Tanzania?? Au wapuuzi wenzao waachiwe wakikashifu viongozi Na jamii kwa ujumla kwa kisingio cha Uhuru wa kujieleza?? EU wamesahau kwamba hata wao wanafika hadi kusikiliza simu za viongozi wao wakuu wa nchi. Mariel vs Obama Vs David Cameron Vs Sarkozy. Wao wenyewe wanafika sehemu hawaaminiani katika ngazi za viongozi wakuu Na kupelekea simu za viongozi hao kusikilizwa ili kujulikana nini kinaongelewa. Sasa Tanzania kuweka Tahadhari ya Sheria Kali dhidi ya matumizi mabovu ya Mitandao imekuwa dhambi??
5. EU ukisema kwamba sheria ya Zanzibar ya uandikishwaji Na sharti la kuwa Na kitambulisho cha mzanzibari liangaliwe upya. Ina maana EU mnataka Zanzibar iwe kama msikiti au kanisa anaetaka anaingia anafanya anachotaka Na kutoka. Kwa taarifa yenu Zanzibar ni nchi yenye mamlaka take kisheria. Zanzibar ni kisiwa haiwezekani ikawa jalala la watu. Kama ni rahisi kubadilishwa Sheria za uandikishaji Na kitambulisho cha mzanzibar basi Zanzibar itakuwa tayari kufanya hivyo siku ambayo EU Na nyinyi mtakubali kuiruhusu Uturuki iwe mwanachama wa EU Na kuwaondolea vikwazo vya viza kwenda Na kutoka katika Jumuiya ya Ulaya.
Kwa ujumla Jumuiya ya Ulaya EU imetoa ripoti mbovu kuliko kuwahi kutolewa katika historia ya Tanzania. maelezo yake mengi hayana uhalisia Na hayakuheshimu Sheria za Tanzania. As if kama watanzania bado wajinga Na hawajui nini demokrasia.
Nitoe wito kwa EU muache ushabiki wa kisiasa, hasa kuingilia siasa za ndani za nchi husika. nyinyi ndio sababu kuu ya migogoro Na chokochoko katika mataifa mengi. Hanna mamlaka ya kusema thus is right and this is wrong. Nyinyi sio above the law.
EU muheshimu Sheria za nchi za wenzenu. Tunayajua mengi Na dhambi nyingi mlizozifanya mwaka Jana wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nani asiejuwa kwamba mlikodisha hotel nzima Ramada ya Masaki ya kuigeuza kuwa ngome ya kufanyia dhambi zenu?? Nani asiejua kwqmba mlifadhili kwa fedha, vitendea kazi na nguvu kazi baadhibya wanasiasa wa upinzani ili washinde uchaguzi mkuu. EU kwa kushirikiana Na UNDP Tanzania na Zanzibar mliwapa kiasi gani cha fedha watumishi wa ZEC Zanzibar wakiwamo makamishna wa Tume ya Uchaguzi ili wafanye mnayoyataka kufanywa?? Dhambi hii imepelekea hadi maofisa wenu baadhi kutimuliwa Tanzania, nilijua mtaandika kutimuliwa kwa maofisa wenu kwa tuhuma za kuhonga fedha kwa matumizi mabaya ya uchaguzi hasa Zanzibar. Mumekaa kimya kama vile mko Safi kumbe mmejaa matope ya udanganyifu Na udalali wa demokrasia ya Tanzania mliyotaka kuipindisha kwa faida yenu.
Sasa basi. EU Na vibaraka wenu tunawaambia Tanzania iko macho dhidi ya chokochoko zenu. Hamu yenu zaidi Zanzibar kwasababu mnajua Zanzibar ni nini?? Kama mumekwazika Na historia ya Zanzibar mnazidi kuumia. Mtakumbuka mliitaka Zanzibar kijeshi 1960's akaja Karume mkubwa akawatimua Wamarekani Na kufunga kituo Chao cha Kijeshi Tunguu Zanzibar. Hali iliyopelekea EU Na Marekani kukasirika. Jengine hivi sasa. mnaitamani sana Tanzania. MNA hamu ya kupata kiongozi mtakae muendesha kwa remote control ili awape mnayoyataka yakiwamo maslahi yenu. kiongozi huyo kwa miaka mitano ijayo kwa Zanzibar Na kumi kwa Tanzania hayupo Si Magufuli wala Shein atakaekuwa dalali wa kuuza nchi. Kama mna ulevi wa Mafuta au gesi itawabidi mpange foleni hakuna upendeleo kwasababu wazungu. Na hizo kamouni zenu akina Shell, BP Na Stat Oil wambieni wasitikise kibiriti. Hasa Shell kwa Zanzibar. walikuwa Na kila haki ya kumiliki blocks za Mafuta Na gesi wamepoteza wenyewe. EU hebu jaribuni kuwa wastaarabu dunia imebadilika. hivyo VI misaada vyenu vya uzazi wa mpango Na vidonge vya HIV visiwatue kiburi Na kujiona ni Bora kuliko binaadamu engine. Ukoloni umekwisha EU TUHESHIMIANE.
Ahsante Sana
Wako
Mtandao wa Wanyonge waliowengi
Zanzibar
June 03, 2016
Sijakusoma unaweza kurudia?
 
Hawa ni mbumbumbu wa wapi waliotoa tamko hili? Serikali iliwaalika waangalizi .Mlitaka wasizingatie weledi wasifie ubakaji wa demokrasia

Halafu hivi vitaasisi vya mifukoni vya kutafutia vyeo vitaisha lini?

Serikali iwajibike.
 
Daa Huu Mtandao wa Wachumia Tumbo , Zao zimekwisha ...Zanzibar ilikua ndio last 'Iron Curtain' ilo baki na korea kazkazini.
wakati umefika wanyonge wa kweli watashinda tu. dunia inakua cheni na mnajidai na kujidai na majeshi tanganyika nayo ujue yamepewa hio kazi na hao hao wazungu..Kamuulize Nyerere Na Karume ..
hawa mtandao wa wasaka tumbo wangesoma historia ..na dunia inavo kwenda ..hua haifati utashi wa ubinafsi..kun ahesabu zake ...wana nchi wa Znz wamewakataa mtaondoka tu....time is over...
kwa faida yako angali namna hizi nchi ambazo ni muungano wa nchi za Warsaw pact..zote kila moja Kuanzia Romania, East German, Poland, Checkslovakia ,Yugloslavia. Hungary nk...zote hizo zilikua na na majeshi kutoka USSR zaidi ya 80,000 Kila Nchi..Lakini wakti ulipo fika yote yakarudi kwao ...na hivyo hivyo jeuri ya majeshi ya tanganyika itafika kikomo...watashindwa na raia wa Tanganyika hawatakubali kila mwaka kukalia na kukilinda kikundi kidogo cha waroho wa madaraka...Watanganyika hawatakubali ..na siku zinakaribia tu..upepo unabadilika...nani atakubali kupelekwa mahakama za ujahili na makosa ya kivita kwa sababu tu ya Kisonge? unafikiri Watanganyika wanakubali gharama hizo kila mwaka...

Bado tunamsubiri mtela Mwampamba na Kale kae'ngo' kao maana siku hizi imekua ndo fashion.
 
Kama hawa EU wangelitoa sababu ngeni na ya uongo ambayo Wazanzibari wazalendo hawajawahi kuitoa hata mimi ningeunga mkono wale wanaowashambulia. Ukweli ni kuwa Unafiki wa WaTz unatisha! Tunakuwa kama hatuoni ama hatuna akili! Nani asiyefahamu kuwa uchaguzi wa marudio Zenj ulikuwa wa kiini macho? Tufike mahali pa kuchukia uongo na kukubali ukweli!!
 
Mkuu usishikiliwe akili HUO NDIO UKWELI UMEZE UTEME hiyo ndiyo ripoti, waangalizi mliwaalika kama serikali na ni wafadhili wenu
 
Kwanza kasema anatoa mawazo kama raia wa Zanzibar mwishoni kawa ''MTANDAO WA WANYONGE'' acha kutuzuga,huo mtandao labda ni wako na familia yako
 
Kwanza kabisa kama mwananchi wa nchi ya Tanzania mwenye asili ya Zanzibar. sina budi na mimi kutumia haki yangu ya kujieleza au kutoa maoni kama mwananchi kuhusu ripoti ya waangalizi wa uchaguzi wa EU. Ripoti ya hawa wakubwa wa EU imejikita katika mambo mengi yanayohusiana Na uchaguzi na mengine ambayo yana ajenda ya siri katika kutaka mabadiliko ya demokrasia Tanzania.

Kwa maono Yangu nimepata hofu, hofu ya kuona baadhi ya makundi ya kimataifa kuingilia siasa za ndani za nchi yangu Tanzania na kujaribu hata kutoa mashindikizo nini kifanywe na nini kiachwe kwa faida ya nani sijui.
Katika ripoti yao. waangalizi wamekuwa kama refarii wa kuchezesha mechi ya mpira sio watazamaji, maana halisi ya muangalizi tunaielewa.

Nakumbuka wakati wa kampeni Na uchaguzi mkuu matukio mengi yalijitokeza Na mengine yakihusishwa Na kuingiliwa kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania Na mataifa ya kigeni. Kwa mfano kuna tuhuma kwamba EU ilitoa fedha nyingi sana kwa vyama vya siasa kwa siri ili viweze kufanya vizuri zaidi. EU ilitoa fedha kwa baadhi ya wanasiasa wa Zanzibar wakiwemo watendaji wa ZEC ili wafanye taratibu za kuhakikisha chama Fulani kinashinda. Fedha zilipitishwa kupitia account ya UNDP office za Zanzibar na kupelekea baadae Serikali ya Zanzibar kumtimua Mtendaji wa UNDP Bibi Hamida Na kumrejesha kwao Kenya kutokana Na tuhuma hizo.

Ni kweli EU Observers walifika Tanzania tarehe 11 September 2015 Na kukaa hadi 8 Desemba 2015. Swali la kujiuliza jee tunawajua waliowapokea Na kuwaongiza Observers wa EU tangu kuwasili hadi kuondoka kwao. Jibu ni vijana wa CUF Na Ukawa. EU ilitafuta wakalimani Na waongozaji wa kazi zao pamoja Na kuajiri vijana wq kusaidia shughuli zao kwa muda huo ambao wote ni wanatokana na chadema na cuf wapinzani. Ushahidi ni Waangalizi wa EU waliokuwepo Zanzibar. Waliowapokea kuanzia Airport wanajulikana.

walipokuwa wanalala wanajulikana Na hata waliokuwa wqkikutana nao wakati wa usiku Na mchana wanajulikana. Kwa ufupi EU observers kabla hawajafika Tanzania walikuwa tayari wameshafikia conclusion ya kazi yao. Sasa katika ripoti yao EU wameanza kwa kupinga MASHEHA wa Zanzibar kupewa mamlaka TETE. sijui wamekusudia TETE la nini. Masheha ni wawakilishi halali wa Serikali katika ngazi za shehia. wana jukumu la kuratibu shughuli zote za serikali katika ngazi hiyo ikiwa ni pamoja na kujua wakaazi wa eneo lake. Sasa EU mkisema wana mamlaka TETE mlitaka waachie tuu watu wahamie kiholela Na kuhama bila ya utaratibu.

Hivi Ulaya ndivyo mnavyofanya?? Mbona mnawaacha watu wanakufa Mediterranean Sea wakimbizi hamuwaekei safely passage ya kufika mainland Na kuomba hifadhi ya vurugu zenu za Libya, Syria Na Iraq??

Katika ripoti mumebainisha kufanya uangalizi majimbo 139 ya kampeni Tanzania. Lakini mbona Pemba hamkufika Na huko ndiko kulikotokea uchafu wa uchaguzi wote??.Siku ya uchaguzi waangalizi wote hamkuwepo Pemba hata ndege za kwenda Pemba mlizinunua tickets zote na kufanya kukosekana nafasi kwa watu wengine Na nyinyi wenyewe last minutes mkafuta safari za huko. Jee haki ya kufanya tathmini ya uchaguzi mumeipata wapi ikiwa eneo muhim Pemba kwa siasa za Zanzibar hamkuwepo siku ya tukio yaani siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 2015.

Katika taarifa hii ya EU. EUnimebainisha mazungumzo yaliyofanyika ikulu Zanzibar baina ya viongozi. Jumla ya mikutano 9 ilifanyika. EU kwenye ripoti inadai mazungumzo yalivunjika kutokana Na ombi la cuf kutaka Mwenyekiti wa ZEC aitwe ikulu ili ahojiwebl kwenye mkutano, Jambo lililoleta mvutano baina ya CCM Na cuf kutokana Na kuwa Na misimamo tofauti kwenye hilo Hali iliyopelekea mazungumzo hayo kuvunjika. Mimi nataka kuwauliza hawa EU. Hi ripoti waliandika wao waliwapa wale wahitimu wa Sheria Tunguu wakiongozwa Na Wanasheria Vilaza wa CUF??.

Mazungumzo yalikuwa siri. EU haikuwahi hata siku moja kualikwa Ikulu kuhudhuria mikutano hiyo. Sasa hii taarifa wameitoa wapi? au ndio Drip walizopewa Na Cuf Na wao maskini

Na wao maskini wameingizwa kichwa kichwa bila ya kujijua. Unajua hawa wazungu SAA nyengine huyataka maswahiba yawakute wenyewe. Hivi kwenye ripoti kubwa kama hii utaandikaje habari za kuambiwa Na maswahiba badala ya kufuata vyombo husika??

Ni kweli tarehe 29 January 2016 wakuu wa Balozi za EU walitoa tamko juu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar, lakini mbona haijaelezwa kwamba tamko hilo kabla ya siku moja kutoka kulifanyika kikao cha siri baina ya maalim Seif Na mabalozi hao ndani ya Ubalozi Wa Canada Dar es Salaam. Hatua iliyopelekea Serikali kuwaita baadhi ya mabalozi hao Na kuwaonya juu ya vitendo vyao hivyo.Ki ukweli tamko la mabalozi hao lilikuwa la kisiasa zaidi halikuwa na uhalisia wowote. Zanzibar Ina Sheria zake ina mamlaka yake. Haiwezekani ujifungie Na Maalim Seif kwenye Ubalozi Wa Canada halafu asubuhi yake utoke Na Tamko tena uliite Tamko la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya Kichekesho kikubwa sana.

Katika ripoti ya Uchaguzi ya EU kuna mapendekezo yao wanayotaka kama Tanzania iyafuate. wanasahau kwamba masuala yote waliyoyaeleza yapo kisheria. Hii ripoti ya EU ni kuidhalilisha kwa makusudi Sheria za watanzania. Kana kwamba Watanzania hatuna uwezo wa kujipangia masuala yetu hadi EU ije kutia mkono wake. Hili haliwezekani na ni vyema likakemewa kwa kauli moja. Katika mapendekezo yao EU.

1.wametaka uwepo wa wagombea binafsi. Tunawaambia wasubiri Katiba Mpya.

2. Haki ya vyama vya siasa kuunda umoja wa kiuchaguzi. Swali langu kwa EU ili iweje?? Ukiisha uchaguzi umoja wa kiuchaguzi nao uishe??? Tanzania Ina Sheria zake Na ni lazima zifuatwe kulingana Na mazingira yetu. Haiwezekani na ni kosa kubwa kuifananisha demokrasia ya Tanzania sawa Na Norway au Sweden. Kila nchi Ina Sheria zake Ina katiba yake Na ndio mwongozo wa uendeshaji wa nchi husika.

3. EU wanadai katiba zote SMT Na SMZ hazitoi haki ya MTU kwenda mahakamani kupinga matokeo.ya uchaguzi wa urais. Mimi nilijua EU itapongeza uwepo wa haki ya kusikilizwa mashauri ya kesi za uchaguzi kwa uwazi Tanzania. lakini inaonekana EU kiu yao ni Urais tuuu. Hawana habari Na Udiwani wala Ubunge. Jibu kwenu EU. Huo ndio utaratibu tuliojiwekea Tanzania Na umewekwa Kikatiba haujawekwa kimabavu. Sijui kwa nini EU ni wavivu wa kufikiri.

4. EU imepiga kelele kuhusu Sheria ya makosa ya mitandaoni. kwamba inanyima fursa ya watuhumiwa kujitetea. Hivi hawa wenzetu wanataka nini haswa??? Watuleteee U David Cameron Tanzania?? Au wapuuzi wenzao waachiwe wakikashifu viongozi Na jamii kwa ujumla kwa kisingio cha Uhuru wa kujieleza?? EU wamesahau kwamba hata wao wanafika hadi kusikiliza simu za viongozi wao wakuu wa nchi. Mariel vs Obama Vs David Cameron Vs Sarkozy. Wao wenyewe wanafika sehemu hawaaminiani katika ngazi za viongozi wakuu Na kupelekea simu za viongozi hao kusikilizwa ili kujulikana nini kinaongelewa. Sasa Tanzania kuweka Tahadhari ya Sheria Kali dhidi ya matumizi mabovu ya Mitandao imekuwa dhambi??

5. EU ukisema kwamba sheria ya Zanzibar ya uandikishwaji Na sharti la kuwa Na kitambulisho cha mzanzibari liangaliwe upya. Ina maana EU mnataka Zanzibar iwe kama msikiti au kanisa anaetaka anaingia anafanya anachotaka Na kutoka. Kwa taarifa yenu Zanzibar ni nchi yenye mamlaka take kisheria. Zanzibar ni kisiwa haiwezekani ikawa jalala la watu. Kama ni rahisi kubadilishwa Sheria za uandikishaji Na kitambulisho cha mzanzibar basi Zanzibar itakuwa tayari kufanya hivyo siku ambayo EU Na nyinyi mtakubali kuiruhusu Uturuki iwe mwanachama wa EU Na kuwaondolea vikwazo vya viza kwenda Na kutoka katika Jumuiya ya Ulaya.

Kwa ujumla Jumuiya ya Ulaya EU imetoa ripoti mbovu kuliko kuwahi kutolewa katika historia ya Tanzania. maelezo yake mengi hayana uhalisia Na hayakuheshimu Sheria za Tanzania. As if kama watanzania bado wajinga Na hawajui nini demokrasia. Nitoe wito kwa EU muache ushabiki wa kisiasa, hasa kuingilia siasa za ndani za nchi husika. nyinyi ndio sababu kuu ya migogoro Na chokochoko katika mataifa mengi. Hanna mamlaka ya kusema thus is right and this is wrong. Nyinyi sio above the law.

EU muheshimu Sheria za nchi za wenzenu. Tunayajua mengi Na dhambi nyingi mlizozifanya mwaka Jana wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nani asiejuwa kwamba mlikodisha hotel nzima Ramada ya Masaki ya kuigeuza kuwa ngome ya kufanyia dhambi zenu?? Nani asiejua kwqmba mlifadhili kwa fedha, vitendea kazi na nguvu kazi baadhibya wanasiasa wa upinzani ili washinde uchaguzi mkuu. EU kwa kushirikiana Na UNDP Tanzania na Zanzibar mliwapa kiasi gani cha fedha watumishi wa ZEC Zanzibar wakiwamo makamishna wa Tume ya Uchaguzi ili wafanye mnayoyataka kufanywa??

Dhambi hii imepelekea hadi maofisa wenu baadhi kutimuliwa Tanzania, nilijua mtaandika kutimuliwa kwa maofisa wenu kwa tuhuma za kuhonga fedha kwa matumizi mabaya ya uchaguzi hasa Zanzibar. Mumekaa kimya kama vile mko Safi kumbe mmejaa matope ya udanganyifu Na udalali wa demokrasia ya Tanzania mliyotaka kuipindisha kwa faida yenu.

Sasa basi. EU Na vibaraka wenu tunawaambia Tanzania iko macho dhidi ya chokochoko zenu. Hamu yenu zaidi Zanzibar kwasababu mnajua Zanzibar ni nini?? Kama mumekwazika Na historia ya Zanzibar mnazidi kuumia. Mtakumbuka mliitaka Zanzibar kijeshi 1960's akaja Karume mkubwa akawatimua Wamarekani Na kufunga kituo Chao cha Kijeshi Tunguu Zanzibar. Hali iliyopelekea EU Na Marekani kukasirika. Jengine hivi sasa. mnaitamani sana Tanzania. MNA hamu ya kupata kiongozi mtakae muendesha kwa remote control ili awape mnayoyataka yakiwamo maslahi yenu. kiongozi huyo kwa miaka mitano ijayo kwa Zanzibar Na kumi kwa Tanzania hayupo Si Magufuli wala Shein atakaekuwa dalali wa kuuza nchi.

Kama mna ulevi wa Mafuta au gesi itawabidi mpange foleni hakuna upendeleo kwasababu wazungu. Na hizo kamouni zenu akina Shell, BP Na Stat Oil wambieni wasitikise kibiriti. Hasa Shell kwa Zanzibar. walikuwa Na kila haki ya kumiliki blocks za Mafuta Na gesi wamepoteza wenyewe. EU hebu jaribuni kuwa wastaarabu dunia imebadilika. hivyo VI misaada vyenu vya uzazi wa mpango Na vidonge vya HIV visiwatue kiburi Na kujiona ni Bora kuliko binaadamu engine.

Ukoloni umekwisha EU TUHESHIMIANE.

Ahsante Sana
Wako
Mtandao wa Wanyonge waliowengi
Zanzibar
June 03, 2016

Balozi wao wa Norway alihangaika sana na liko wazi.
 
Hahah imebd uanzishe ka mada ujiweke bize kidogo. Kuna uzi flani unatembea kwa Mwendo kasi wa hatari unatafutwa kule huonekani.
 
Mmeshikw pabaya sana!! Inamfanya JPM na Shein wasiwez kwenda nje kwa kuogopa maswali magumu ya kubaka demokrasia! Poleni sana Zbar iko sawa na Kore kaskazini ni aibu sana! Na bado vibano vinakuja tu maana hamna namna! Nchi itasimama miaka 5 hata Bara haitaenda, tutaenda kwa kodi tu hakuna kitu chochote cha maendeleo makubwa tutafanya! Sababu kukubali kubaka demokrasia! Labda itasaidia kuwaachia demokrasia ya kweli! Pesa zote za maendeleo hakuna miaka hii 5!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom